Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

Mtaona ukifika wakati wa kuptisha vfungu, wamebaki wenye uelewa mdogo sn ktk hii miswada kazi yao itakuwa moja tu, ya kuitikia ndioooo! Majembe yote yametimuliwa….!Spka kaona abaki tu na vilaza wake tu ili apumue…!
 
Rage ana matatizo sana, tutamuonyesha October.
 
Nilitaraji wabunge waingie kwenye vifungu huko ndani kwenye muswada lkn sioni hata mmoja akifanya hivyo na wameamua kuacha km ilivyo na ni hatari sana. Kuwakosa wawakilishi wa wananchi UKAWA ni pigo kubwa sana. Tutawanyoosha Octoba
 
Grace anaipoingeza serikali kuleta miswada!

Anapendekeza kuwe na mitaala mashuleni kuhusu sheria za mafuta na gas...!
 
Polen watu wa Mufindi kwa kuwa na mbunge wa hivi.
Du... Yani Huyu mbunge wa mufindi kaskazini sijui Yani inaelekea haelewi hata anachochangia ni kupiga blah blah tu
 
Anasema kuwe na mfuko maalum wa kuwasomesha wataalam kwenye mambo ya mafuta na Gas...
Anapendekeza kuwepo na uwiano wa wataalam watakao somea mambo ya mafuta na Gas..
 
yaani mkuu umeacha meza yako pale tanganyika stand kupoteza mda kujiandikisha?

Niko makoroboi mkuu ila hawa majitu bila hii kadi tutawadhibiti vipi?
Leo ni siku ya bvr maana toka saa 11 nasotea hii kitu
_hapa nimeshajaza fomu bado kadi sasa mkuu
 
Utanishangaa na utaendelea kunishangaa kwasababu siko hapa kutumikia watu fulani na ndio maana niko huru kukosoa hata walioko katika chama nachokipenda.

Itikadi,chuki binafsi,ushabiki wa kisiasa,kusujudia watu na vyama bila kujali maslahi ya taifa ni ugonjwa wa watanzania wengi na ni mtaji mzuri kwa CCM- endeleeni hivyo hivyo!

apo nakubali umeanza kukoomaa kisiasa...
 
Mlata anasema muswada huu ni suluhu kuhusu uwazi kwenye mikataba ya mafuta!
 
Kuna mbunge mmoja anasema wanachokifanya ukawa ni makusudi eti kisa tu spika ni mwanamke na kama angekuwa mwanaume wasingefanya vurugu...
du.... Kazi kweli ipo
 
Hilo ndio jambo linalo shangaza badala ya kujadili hoja za msingi wanajadili walio toka nje nakuishia kuwatukana kiukweli spika ametukosea watanzania yampasa atube ladhi.
 
Makinda anapaswa kupewa ndumu ya kyela maana ya njombe alidai sio Kali.
 
wengi wanaipaisha ukawa,dk saba anaongelea ajenda ya ukawa,nina hofu spika anaweza kuahirisha bunge kwa kukosa wachangiaji, naona wamebaki wanne tu ambao hawajaongea na bunge linaisha saa tisa
 
Niko makoroboi mkuu ila hawa majitu bila hii kadi tutawadhibiti vipi?
Leo ni siku ya bvr maana toka saa 11 nasotea hii kitu
_hapa nimeshajaza fomu bado kadi sasa mkuu
Komaa tu vumilia ulipo sipabaya oktoba kieleweke sawa ee
 
Bila kutarajia na kwa s
usiri wa hali ya juu wapinzani wakitegemea kikao cha bunge kitaendelea wiki ijayoJumatatu 6/7/2015 badala yake kimefanyika jumapili na wabunge wengi wa upinzani wakiwa mikoani na mjadala unaendelea kama kawaida kama kawa na UKAWA nje ya bunge.kumekucha na inawezekana jioni wakapitisha bila shida yoyote.
Theluthi mbili ya wabunge wote yaani bara theluthi na zanzibar theluthi mbili watazipata wapi?
Wakipitisha ni batiri huo mswaada.
 
Mchangiaji aliye maliza ana wataka waliogoma waseme wazi ni vifungu gani kwenye miswada hii ni vibovu na havifai?
 
Cha ajabu nasikia wanataka kuweka kipengele cha uadilifu kwenye miswada hiyo wakati kwenye bunge la katiba walikataa usiwepo kwenye tunu za taifa. Ni vituko tupo....Business as usual
 
Back
Top Bottom