Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake leo jumapili. Wabunge wanaendelea kujadili miswada mitatu ya mafuta na gesi asilia kwa pamoja.

Jana na juzi wabunge mbalimbali wa upinzani, wamefukuzwa na kufungiwa kuingia bungeni kwa siku tano. Huu mjadala kwa kiasi kikubwa unajadiliwa na Wabunge wa CCM tu kwani wale wa upinzani wote wanapinga miswada hii kwa kile wanachodai hawawezi kujadili miswada yenye manufaa makubwa kwa taifa kwa hati ya dharula. Wanataka wapate muda mrefu wa kuisoma hiyo mikataba na kuielewa kuliko hivi sasa ambapo wabunge wengi hawajaisoma na kuielewa.

Hili taifa linahtaji doz nzito ili libadike.kwanza una onekana msomi sjui Tatzo ni nn?ushabik Wa vyama au?ishu kubwa kama hii sio ya kukurupuka.kwaushabiki huu taifa hill lina angamia.natamani tuwaachie huu uchaguzi watoto wa shule ya msng wapige kula maana wakubwa tumeshndwa nahii yote nisababu ya mkono uende mdomon na hasila sana nawatu wanao shabikia kuibiwa kwa taifa letu.
 
wabunge wa ukawa wameambiwa kupitia backchannels kuwa kiinua mgongo kitaota mbawa wakileta mchezo,imebidi wawe wapole....WHAT IS BETTER THAN MONEY?......

Usilete hekaya za Abunuas weka facts hapa,maana kama Katibu wa bunge alisema hata ZZK atalipwa kiinua mgongo chake sembuse hawa?

Msipende kuzungumzia hisia zenu mkazipa uhalali.
 
Sifa ya mbunge ajue kusoma na kuandika sasa nashangaa mnawalazimisha wasome mikaratasi yote ile ya nini wao kazi yao ni ndioooooo maana ata wakipewa walale nato week au mwezi bado hawatoelewa lugha za umo ndani....dah kwa kweli Tanzania kichwa cha mwendawazimu sio kwa team ya taifa tu
 
CCM ni kama kansa ya kibofu ikikupata unakojoa kojoa hovyo tu
 
yaani jambo muhimu hivi la Nchi .limepitishwa na rage ,chilolo,mlata ,chenge.naomba Mungu hawa vibaka na wafumaniwa wasirudi bungeni tena.Amen
 
Tuombe Mungu October haya majitu tuyapunguze kwenye bunge.

Mkuu kuyapunguza tu haitoshi, ningetamani yapukutishwe kabisa, yafutiwe mbali, ni vile tu haiwezekani, maana miafrika miandazi ndivyo tulivyo kama hiyo mioukutishi huku
 
"Ndiyoooo kinaaafikiiwaaaa....na hata na uchi wangu mkitaka ongezeeni kwenye hicho kifunguuuu....." Hayo ni maneno ya Martha Mlata akipaza sauti yake bungeni

FFF.jpg



Martha Mosses Mlata [Chama Cha Mapinduzi]

 
Vipi wale wana ukawa wengine ambao hawajafukuzwa?
 
Kwani fat alikuwa nazo, na kilichompeleka jela ni nini sasa1?

akiwa katibu mkuu wa FAT pamoja na mambo mengine alikwapua mipira 50 tu mali ya umma yenye nembo ya adidas , ambayo kwa wakati ule mpira mmoja ulikuwa na thamani ya tsh 2500 ! hata hivyo akitoka gerezani kwa msamaha wa rais , wala hakutoka kwa rufaa kama anavyopotosha .
 
Nimemshanga sana na mchango wa Dr. Asha rose migilo leo bungeni eti anasema kosa kubwa alilofanya spika wa bunge ni kuwavumilia wapinzani pia anasema mswaada wa sheria maana yake ni mda kweli leo nimeamini ndani ya ccm hata usome degree kumi utabaki kufuata upepo kama puto watanzania kazi kwenu huyu mama nae anautaka urais

Akafie mbali
 
Duh! Spika amewaamsha wabunge anadai wanasinzia kama watoto wa marehemu! Vifungu tisini vimepita bila mbunge yeyote kuhoji kitu! Ni ndiyooo mpaka raha! Wanalala wanaitika ndiyoooo!!

ina maana wamelala?
 
Simple logic kijana swala nyeti kama hilo una wezaje kulipitisha ndani ya siku moja...

Halaf ningekuwa mbunge ningehoji swala rahisi sana kwa spika, kwamba mimi nimetumwa kuwakilisha wananchi walionichagua, maamuzi nitakayofanya yatatoka moja kwa moja kwa wananchi, je swala la dharula kama hilo ningepata wapi mda wakwenda kwa wapiga kura wangu kuhoji huo mswada? Na kwani wabunge wote mle wanajua mambo ya kisheria? Kwanini wasitoe room kwa wabunge kurudi kwa wanaowawakilisha kuhoji juu ya hiyo miswada inayohusu moja kwa moja maisha yao ambapo huko ndipo walipo wapiga kura wao wenye uelewa na mambo ya kisheria? Huku ni kuingizana chaka aisee
 
Back
Top Bottom