Napata mashaka makubwa na hiki chama cha ACT,, hiki chama kina malengo yake naona, sio siasa za kawaida tunazozijua. TISS agents wote naona wanajifungamanisha na hiki chama. Tufungue macho watanzania
unamatatizo wewe!? hao TISS unaowajua kweli au
Napata mashaka makubwa na hiki chama cha ACT,, hiki chama kina malengo yake naona, sio siasa za kawaida tunazozijua. TISS agents wote naona wanajifungamanisha na hiki chama. Tufungue macho watanzania
Hivi wewe uko nchi gani? Kupewa dhamana ndio kushinda casE? Hivi unafikiri case inayo mkabili gaidi Rwakatale imekwisha? hebu waulize wenzio Inatajwa lini tena ili ujue!Kama vyombo vya dola vya ccm vimeshindwa kuona kosa juu ya Rwaks, bado unasema ukweli unaweza kubadilishwa kuwa uongo! Ccm peke yake ndo inaweza kubadili uongo ukawa ukweli maana wao ndo watawala wanaweza kufanya lolote wanalotaka lakini Mungu tu ndo hayuko upande wao ndo maana mabaya yote wanayowafanyiwa wengine yanwarudi wao! "Chadema is protected by God, ccm is protected by gods"!
Ben sio level yako mbulukenge wewe!
Mkuu Gamaha usishangae,ACT ni mradi wa CCM.
ACT...Assist CCM Technically
Ludovick no kijana asiyejitambua msaliti muuaji wa mageuz. Mtu a anayejitambua katu hawezi kutumika kama tambala. Ludovic hebu tusaidie wengine tuelewe kama kweli we we so yuda act ulikuwa unafanya mini?
Duuu siamini macho yangu Ben Saanane kaingia mitini duuu kweli Ludovick ni kiboko ya bavicha.
Kaka Ludovick acha kujidhalilisha kamanda, Chagua chama kimoja kama ni ACT au CHADEMA, pia kwa jinsi nilivyokusoma hujui kujenga hoja sasa huyo Ben Saanane akija hapa atakuumba na kukuvua nguo mchana peupe.
Nahisi kila akiwaza jf lazima ameze mate ya uchungu!hahahaha shame on him!
Hahahaha leo kakimbia kama yuko kwenye mashindano!wamemkimbiza MTU wao hana jipya!
Hahahaha Ben amekuwa mkimbiaJi sasa....... Alizoea vya kunyonga sasa vya kuchinja vimemshinda-Tundu lissu!alafu nyie wapiga vigeregere wa ben ndio mnao haribu Huu mpambano mleteni basis huyo saa tisa wenu!
Ludovick ndiye alimrekodi lwakatare. alipojua mpango muovu wa lwakatare aliamua kumtafuta msaky kumueleza ili achukue tahadhari. msaky akamwambia Emmanuel Nchimbi aliyekuwa rafiki yake sana.
nchimbi ndiye alimwambia Mwigullu. so Mwigullu akamtafuta Ludo kwa simu na ndiyo maana walionekana wamewasiliana mara nyingi.hata elfu 50 aliyomtumia ilikuwa ya mawasilino.
kwa hiyo ni kweli kuwa lwakatare alikuwa anataka kumuua au kumdhuru msaky. ni kweli kuwa Ludo alimwambia Msaky. kisha akaambiwa Nchimbi naye akamwambia mwigullu. sasa kosa la ludo ni kumuokoa msaky? acheni unazi wa chadema
Mageuzi gani?Yale ya katibu ya kujukopesha pesa bila riba,wachaga kujipa vyeo na viti maalumu.wachaga kuongoza vitengo nyeti hapo ufipa.Hayo ndo mageuzi,basi acha tu awe msalitiMnafiki na Mganga njaa mkubwa!
Msaliti wa Mageuzi usiye na aibu!
Dhambi ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha nne!
Na bado!!
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.
Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.
Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.
Nataka niongee kidogo.
Nakupa ofa ukija na matusi mapya nakupa dola 50 cash sawa kamanda wa Bavicha.wewe hata JF isipokufa bado hutambuliki. Vp kundi lako la uamsho mbona halisikiki?
Hahahaha Ben amekuwa mkimbiaJi sasa....... Alizoea vya kunyonga sasa vya kuchinja vimemshinda-Tundu lissu!
Ben tafadhali jitokeze ukumbane na Mwamba Ludovick!
Mkuu Joseph Ludovick hadi sasa umethibitisha Ben saanane ni mzushi na ni muongo ndio maana kakimbia! Lakini naomba uenDelee kumvumilia pengine atajitokeza.Sasa nimetoa nafasi kwa huyu mzushi Ben Saanane aliyejifanya kuleta porojo hapa kuwa eti alijua mipango yetu. mwambieni aache kabiasa uongouongo. haumsaidii. ajue kuna maisha nje ya chadema, nje ya siasa.natoka mpaka nitakapoona kuna uhitaji tena