Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Angeenda mwananyamala hosp ungeyaona hayo makovu manake angeshonwa kama gunia la dagaa
 

Unauliza makovu ya mwanaume mwenzako umetoka kwa Trump?
 
 
Unadhani utaweza kutudanganya??? Wee acha mcezo wa editing
 
Vipi umeambiwa police hawajafanya uchunguz?

Mkuu Misuli hilo ni jibu ama ni swali? Sio kwamba tu hawajafanya na wala hawatafanya. Hii ndio Tanzania mpya, taasisi zinafanya kazi nje ya weledi kufurahisha mamlaka ya uteuzi.
 
Uwezi tibiwa hospital ile ukabaki na makovu. Hospital ile ina huduma ya kuondoa makovu yotote na unapona kawaida.
 

..nijibu swali langu kwanza.

..mbona hamkumkagua JK eneo alilofanyiwa upasuaji?

..hata Mzee Mkapa alifanyiwa upasuaji Switzeland. Mbona hamuulizi mshono ulipo?

..Spika Ndugai ametibiwa muda mrefu sana India, lakini tukiwauliza anaumwa ugonjwa gani hakuna anayefahamu.

..jambo la msingi ni kwamba TL alipigwa risasi. Madaktari wa serekali Dodoma Hospital wamethibitisha. Jeshi la Polisi wamethibitisha.

..Binafsi sielewi ubishi unaoleta ni wa kitu gani haswa. Nini zaidi unachotaka kujua?Kitasaidia nini? Kitabadilisha kitu gani zaidi?
 
Ivi nawewe unaishi kwenye dunia hii hii ambayo tunaishi wengine?

Ivi nawewe una akili hizi hizi Kama tulizopewa na Mungu au wewe akili zako ni aina tofauti?

Nauliza tu
Samahani Kama nimekukwaza mkuu
 
Sishangai maana hata mwenyekiti wako mnafanana mawazo
 
Daaaa!! kama mimi ndio ningekua mropokaji lissu, baada ya hosp ningeendelea kukontroo mwili wangu uwe kama ulivyo maana ulikua unaelekea MANYAMA UZEMBE
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Dogo mapingili yote ya shingoni yamekwisha. Ameimarika !!!
 
Basi sawa tuseme hajapigwa risasi kama utakavyo wewe.
 
Kwani Michael jackson alikuwa na Makovu?

Jifikirishe mwenyewe jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…