Wazima wapendwa, jamani X boyfriend wangu anataka kumuoa wifi yangu, walikkutana vp sifaham, wana uhusiano mda gani sifaham lakini juzi ndio tumetabulishwa rasmi nikiangalia mgeni ni Xboyfriend bado kidogo nizimie maana nilijikaza tu jamani mume wangu akijua yule alikuwa x wangu itakuwaje? vp nimwambie wifi yangu kama jamaa alikuwa x? ama kweli bongo kijiji sikulitegemea hili kabisa. Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.
nakushauri usimwambie mumeo kwan kwa vyovyote vile hatakuwa na iman na wewe kila mara utapokuwa upo karibu na huyo jamaa na ndoa utaanza kuiona chungu na wifi akijua uliwah kudo na mumewe hapo ndo balaa na undugu unakufa.mi naona panga cku tena mapema onana na x wako mwambie kama mnaamua kuwa cool iwe hivyo manake we unaweza kaa kimya mwenzio akaropoka na hao ndugu wakisema ila nyie wahusika mlichokipanga kiwe msimamo mfano mnaweza amua wewe ukamwambia mumeo huyu kaka na x wangu walikuwa pete na kidole hadi ikafikia hatua watu walikuwa hawajui nani nado nae na upande wa pili akiulizwa msipishane maneno hapo mtajenga undugu wewe na wifi yako mmeo na x wako bila hivyo kwa kuwa wengi wanaamin x huwa anakula hamtaaminiwa na yeyote hata familia nzima ya wifio.