ngoja sasa nieseme wazi kwa
naima79 nini cha kufanya, wala huitaj kuniazima moyo mamii. fanya hivi...............
and believe me ita work out.............muassess mumeo ujue kwako ni nani, je ni mume rafiki?? kiasi kwamba uko free kuongea nae hata nasty words? je ni baba mwenye nyumba kwamba akiingia ndani nyote mnapiga kimya?? je ni mtu wa kuskiliza zaid maneno ya watu?? je anakuamini wewe na hujawah kuondoa uaminifu wa kwake hata kwa jambo dogo?? je ni mtu wa kuelewa ana ni wale watu walalamish na wanaopenda kuona wamenyanganyanywa haki zao ama wanao jizidishia haki??
ukisha ma yuko katika kundi gani fuata haya
- kama anajizidishia haki na mlalamishi, basi wewe usiumize kichwa chako kwenye namna utakavyo mridhisha iwapo atagundua kwuwa huyo ni x wako. sifa kubwa ya watu walalamish hata ufane nini hawaridhiki so na wewe kwa kulijua hilo jua hata ufanyeje hawez kuridhika na kadiri muda unavyosonga basi atasahau tu na kuona ni kawaida najua hataweza kulaumu milele ama mwaka mzima.
- kama ni rafiki, uko huru hata kuongea nasty words, ni muelewa na anakuamini na hujawah kushusha uaminifu wako kwake basi mweleze wewe tena kwa hali ambayo ataona ni kawada usiifanye formal sana itamstua but just tell hima kama utani tena ku mko zenu mahali mnapata raha, najua ataskiliza na kuipotezea as anaelewa kwamba yeye ndiye mume wako wa dhati.
- kama ni kinyume cha hiyo poinya pili basi usiseme jambo keep your mouth shut and talk na huyu x wako kwamba aawaambie ndugu wale wanakujua wasiseme lolote tena awatishe kwamba iwapo mchumba wake atajua hayo basi itamletea shida. uzuri ni kwamba hakuna mwenye ubavu wa kumface mumeo na kumwambia kwamba ahuyo alikuwa x wako direct. tena hakuna atakaye thubutu ku jeopardize uchumba wa huyu mdada eti kisa tu alitembeaga na wewe.
wasalaam
gfsonwin