X Boyfriend anataka kumuoa wifi yangu

X Boyfriend anataka kumuoa wifi yangu

hahahahaaa naima weka wazi...utagegedwa tena...waache waoane kivyao..wewe wala usijali..kama humpendi nn kinakushughulisha?

Weka wazi kila kitu kwa kila mhusika, I mean mumeo, wifi yako, huyi x... Ila nijuwavyo, atakugegeda tu siku zijazo huamini subiri
 
naima79 tatizo ni nini haswa??

kwani mumeo alikukuta bikra?? je kama hakukuta si alijua kwamba yeye ni successor wa mwanaume mwingine?? to me wala nisingesema jambo manake toka mwanzo ningekuwa nimesha mgusia kwamba x wangu aliitwa nani etc. so ikitokea kaja kumposa tu kwenye familia why shld i care??

to me nimeona kama vile kuna jambo ambalo hukumweleza hubby wako mwanzoni na sasa wafikiri itakuwaje likibumburuka as may be ulimwambia niliwah kutembe na mtu mmoja tu tena na jina ukampatia halafu leo hii amekuja huyu na jina jipya. na kama ndivyo hiyo ni case nyingine na nakuambia tu mapema you wont win your hubby's trust kama ndivyo.
 
Last edited by a moderator:
Nimeact hivohivo sasa issue ni kwamba ndugu zake wananifaham mwisho wa siku wasije mjulisha wifi yao mtarajiwa ambae ni wifi yangu mpenzi pia

Hata akiambiwa hatosema. wewe endelea na 50 zako naye 50 zake.
 
sasa mambo mengi mnataka kumake something out of nothing
 
Mwambie mumeo mapema na usimuogope jamaa. Itabidi uji tune kumchukulia kama ndugu yako, usithubutu kuwaza ngono.
 
naima79 tatizo ni nini haswa??

kwani mumeo alikukuta bikra?? je kama hakukuta si alijua kwamba yeye ni successor wa mwanaume mwingine?? to me wala nisingesema jambo manake toka mwanzo ningekuwa nimesha mgusia kwamba x wangu aliitwa nani etc. so ikitokea kaja kumposa tu kwenye familia why shld i care??

to me nimeona kama vile kuna jambo ambalo hukumweleza hubby wako mwanzoni na sasa wafikiri itakuwaje likibumburuka as may be ulimwambia niliwah kutembe na mtu mmoja tu tena na jina ukampatia halafu leo hii amekuja huyu na jina jipya. na kama ndivyo hiyo ni case nyingine na nakuambia tu mapema you wont win your hubby's trust kama ndivyo.
Na wanavyojuwaga kujisifia.. we acha tu utawasikia.... Yaani mimi nimenusurika kuwa sista... nilivoacha nikakutana na kafala kamoja hata sijui kalinipate ... Yaani wewe ndo wa type yangu.........

Sasa baada ya muda jamaa akianza kupata list halisi, ndo yanatokeaga haya.... full wasiwasi....

Wanawake, yaani kama ma-X wako wanaweza jaa kwenye YUTONG moja au mbili ni bora uweke wazi mapema...!!! Si kujifanya mtakatifu wakati ni mtakavitu....Kumbukeni, WHAT GOES ARROUND, COMES BACK ARROUND....
 
Kwani wewe unatamani kuwa na huyo X wako kimapenzi?
Kama hutamani kuwa naye sioni tatizo lolote, kwani tayari wewe umeshapata mume na mnaishi vyema katika ndoa yenu, vipi kuhusu yeye(hutaki na yeye apate yule anayempenda).

Kwani nini kilifanya ninyi mtengane(i mean wewe na huyo X wako)?
 
Yaani ukimwambia 2 mumeo lazima aanze beef na huyo shemeji (mume mwenza) wake. Chezea kuchapiwa mke na dadako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dear unajua watu tupo tofauti, mimi namume wangu hatukai tukaongelea past kuwa yeye alipita wapi na mimi nilipita wapi, tulivokutana tuliongelea yanayotuhusu sisi ambayo yana manufaa kwetu tu, sio wote wanapenda kuzungumzia walikopita
And that is where the problem is...... KUMBUKA WE PREDICT THE FUTURE, BY KNOWING OUR PAST AND PRESENT.... Hata kama hapendi/hupendi kujuwa mwenzio alipita wapi, ni vizuri kufanya hivyo ili UWEKE MBALI NA TEMBO MAPEMAAAAAAA....
 
Na wanavyojuwaga kujisifia.. we acha tu utawasikia.... Yaani mimi nimenusurika kuwa sista... nilivoacha nikakutana na kafala kamoja hata sijui kalinipate ... Yaani wewe ndo wa type yangu.........

Sasa baada ya muda jamaa akianza kupata list halisi, ndo yanatokeaga haya.... full wasiwasi....

Wanawake, yaani kama ma-X wako wanaweza jaa kwenye YUTONG moja au mbili ni bora uweke wazi mapema...!!! Si kujifanya mtakatifu wakati ni mtakavitu....Kumbukeni, WHAT GOES ARROUND, COMES BACK ARROUND....

Seems una matatizo ya kisaikolojia umeyahamishia hapa kwangu omba msaada JF itakusaidia tu, maana umeshika comment -----, jitahidi kutoa comment zinazojenga na kufundisha kama wenzako
 
Dear unajua watu tupo tofauti, mimi namume wangu hatukai tukaongelea past kuwa yeye alipita wapi na mimi nilipita wapi, tulivokutana tuliongelea yanayotuhusu sisi ambayo yana manufaa kwetu tu, sio wote wanapenda kuzungumzia walikopita

so why being bothered na akijua hayo?? si huwa hamuongelei ya nyuma?? f that is the case hata akijua hatakuuliza as ni past. ama ??

may be The Boss atanisaidia jambo hapa nashindwa kuelewa ulimaanisha nini.
 
Last edited by a moderator:
hiyo ni noma,
ukimwambia mumeo ndo atakuona kumbe ulikuwa unanahiii sana
ukimwambia wifi ndo yataenea familia nzima,
we kula jiwe tu jifanye kama yule alikuwa pacha wako na siyo wewe kamwe.
 
Seems una matatizo ya kisaikolojia umeyahamishia hapa kwangu omba msaada JF itakusaidia tu, maana umeshika comment -----, jitahidi kutoa comment zinazojenga na kufundisha kama wenzako
Inawezekana unasema kweli au si kweli, ila unapohitaji msaada wa ushauri usije ukwaweka aina comments uzipendazo, haitakusaidia. Kuna zingine chungu lakini ni dawa. Hiyo post unayoiona kuwa ni mbaya kwa ujumla wake inakushauri
1. Kusema nyendo zako za siku za nyuma kabla ya kuingia kwenye ndoa. NA HII NDO INABEBA WASIWASI WAKO WOTE WA JAMAA AKIJUWA ITAKUWAJE. UNADHANI KAMA ANGEKUWA AMEJUWA MAPEMA UNGEPATA HUO WASIWASI?
2. Waelezeni ukweli wenzi wenu maana ukidanganya leo, kesho linaweza likatokea la kudhihirisha uwongo wako.

Kama hayo yamekukera kiasi cha kuona nina matatizo ya kisaikolojia, NISAMEHE BURE... YOU JUST IGNORE THE COMENTS na usifuate za hao wengine wanaokufurahisha
 
Ukichukua huo ushauri hebu Muombe Mungu akupe hekima namna ya kufanya hapa huwa naona hutoa njia rahisi ambayo hata hukutegemea....je kuna jambo gani gumu asiloliweza Bwana?.
 
so why being bothered na akijua hayo?? si huwa hamuongelei ya nyuma?? f that is the case hata akijua hatakuuliza as ni past. ama ??

may be The Boss atanisaidia jambo hapa nashindwa kuelewa ulimaanisha nini.

Nilimaanisha atakavojua ni tofauti na jambo ambalo hamjalizungumzia kabisa umeelewa? kama jambo hatujalizungumzia maana yake linakuwa unknown so haliwezi leta shida, hili litafahamika na linaweza msumbua
 
Last edited by a moderator:
And that is where the problem is...... KUMBUKA WE PREDICT THE FUTURE, BY KNOWING OUR PAST AND PRESENT.... Hata kama hapendi/hupendi kujuwa mwenzio alipita wapi, ni vizuri kufanya hivyo ili UWEKE MBALI NA TEMBO MAPEMAAAAAAA....

the issue here is wengi wa vijana huwa wana ishi maisha ya illusions ambayo wakija kuingia ndoan wakakutaa na maisha halisi wanapata vigugumizi.

sioni mantiki ya keeping quite wakati wa uchumba pasi kusema as story za kawaida tu kwamba x wako walikuwa wangapi na kwamba kwa sasa umechagua maisha ya aina gani. unless muwe mnaogopana ila kama mko friends mnaelezana ukweli na hii haitawapa tabu in the long run.

ukweli X wa hubby ni good friend of mine na huwa sion kama ni mbaya ( sishauri ukafanye hivyo) but kwangu mm ilikuwa past has gone and present is what i live.
 
Wazima wapendwa, jamani X boyfriend wangu anataka kumuoa wifi yangu, walikkutana vp sifaham, wana uhusiano mda gani sifaham lakini juzi ndio tumetabulishwa rasmi nikiangalia mgeni ni Xboyfriend bado kidogo nizimie maana nilijikaza tu jamani mume wangu akijua yule alikuwa x wangu itakuwaje? vp nimwambie wifi yangu kama jamaa alikuwa x? ama kweli bongo kijiji sikulitegemea hili kabisa. Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.

Kama humtaki tena why ulitaka kuzimia? Acheni n.yege za kijinga nyie
 
Mwambie mumeo kuwa uliwah kuwa na mahusiano na huyo mkaka, na hamkudumu na hujawah kumsikia tena tangu kupindi hicho na sasa ni miaka 6 na kuhusu wifi, ataambiwa na jamaa yake...
 
Back
Top Bottom