Ruka kimanga, mwambie mumeo kuwa wewe alipokuoa ulikuwa bikira, ila tu ilitoka ulipokuwa unajifunza kuendesha baiskeliNimeact hivohivo sasa issue ni kwamba ndugu zake wananifaham mwisho wa siku wasije mjulisha wifi yao mtarajiwa ambae ni wifi yangu mpenzi pia
Weka wazi kila kitu kwa kila mhusika, I mean mumeo, wifi yako, huyi x... Ila nijuwavyo, atakugegeda tu siku zijazo huamini subiri
Wazima wapendwa, jamani X boyfriend wangu anataka kumuoa wifi yangu, walikkutana vp sifaham, wana uhusiano mda gani sifaham lakini juzi ndio tumetabulishwa rasmi nikiangalia mgeni ni Xboyfriend bado kidogo nizimie maana nilijikaza tu jamani mume wangu akijua yule alikuwa x wangu itakuwaje? vp nimwambie wifi yangu kama jamaa alikuwa x? ama kweli bongo kijiji sikulitegemea hili kabisa. Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.

hayo sasa matusi, mie nimeolewa na naheshimu ndoa yangu sana, ningekuwa wa kugegedwa nao ndani ya hiyo miaka 6 tungeshatafutana, asante kwa ushauri
Kwani huyo X wako alikuwa na matatizo yoyote ya kitabia, afya n.k?
Kama hana tatizo lolote na ni mtu mwema hapo sioni tatizo zaidi ya kutaka tu kuyakuza mambo.
Mwenzio kapendwa na kaonekana wa thamani acha aolewe kama ambavyo nawe umeolewa kwa sasa...
Sio X wala wifi ambaye ni ndugu yako hivyo hakuna ubaya wowote!!
We sema matusi tu... lakini ni hali halisi, inaonekana unapenda tuseme unayopenda kuyasikia... Kwani sababu ya kuachana ilikuwa ni nini?hayo sasa matusi, mie nimeolewa na naheshimu ndoa yangu sana, ningekuwa wa kugegedwa nao ndani ya hiyo miaka 6 tungeshatafutana, asante kwa ushauri
magari yamegongana sionimeact hivohivo sasa issue ni kwamba ndugu zake wananifaham mwisho wa siku wasije mjulisha wifi yao mtarajiwa ambae ni wifi yangu mpenzi pia
.Kwani huyo X wako alikuwa na matatizo yoyote ya kitabia, afya n.k?
Kama hana tatizo lolote na ni mtu mwema hapo sioni tatizo zaidi ya kutaka tu kuyakuza mambo.
Mwenzio kapendwa na kaonekana wa thamani acha aolewe kama ambavyo nawe umeolewa kwa sasa...
Sio X wala wifi ambaye ni ndugu yako hivyo hakuna ubaya wowote!!
Ninaemuwaza hapa ni mume wangu mpendwa, akijua hili atalielewa kama ambavo wewe umelielewa?