Bwire Emanuel
Member
- Jan 29, 2013
- 25
- 7
hayo sasa matusi, mie nimeolewa na naheshimu ndoa yangu sana, ningekuwa wa kugegedwa nao ndani ya hiyo miaka 6 tungeshatafutana, asante kwa ushauri
USHAURI MKUU
fanya yafuatayo,
1.mwombe Mungu akusaidie kulishinda jaribu lililombele yako.
2.Si mweleze mume wako ukweli wote wala usiogope kuachwa na Mumeo wakati unapo ueleza ukweli,
3. Jitahidi kutokuwa nakumbukumbu yoyote juu yake na msahau kiakili, muone kama ndugu yako nasi x wako.
4. Usimpe nafasi nyingine hasa ya kukaanaye karibu muda wowote mtakapo kutana mkiwa wawili tu.
5. Jitahidi kutokuwa na hisia zozote juu yake.
6. Mwamini mumeo sana na zidisha mapenzi kwa mumeo.
7. Ipende sana familia yako kuliko kitu kingine.
8. Zungumza na wifi yako kwa karibu zaidi na mfanye kuwa dada yako wa damu nasi wifi yako kimtazamo. Ili x wako awe shemeji yako kwa dada yako wa damu kimtazamo.
9. Zingatia ratiba yako na usiache kutekeleza hata moja ndani ya ratiba yako.
10. Mwamini mungu. Na epuka ushauri mbaya wa marafiki.