X Boyfriend anataka kumuoa wifi yangu

X Boyfriend anataka kumuoa wifi yangu

sema ukweli dada,inaonesha bado una kumbuka bahaz ya vitu vyake ndo mana hofu bado ipo kwako.angalia atakuchakaza tena
 
Wanaume wengine wanasababisha wapenzi wao wasiwe wawazi katika mahusiano yaliyopita au majanga wanayokutana nayo. Kuna rafiki yangu mmoja baada ya kumpata mpenzi wake ambaye ni mme sasa alijitahidi kuweka mambo yake wazi ili yasije leta shida siku za mbeleni. Historia ile aliyoweka wazi imekuwa fimbo kwa mme kila wanapishana kiswahili katika maisha yao ya ndoa. Mara ndiyo maana x bf wako alikuacha mara tabia yako siyo nzuri ndiyo maana fulani alikutenda hivi.

Kwa hali hii watu uwazi kwa wenzi wao unaleta shida siku za mbeleni kama utakutana na mtu hasiyeelewa.

hahahaaa, alijutaje kusema loh! ikawa nongwa. Mume mbaya huyo.
 
Wazima wapendwa, jamani X boyfriend wangu anataka kumuoa wifi yangu, walikkutana vp sifaham, wana uhusiano mda gani sifaham lakini juzi ndio tumetabulishwa rasmi nikiangalia mgeni ni Xboyfriend bado kidogo nizimie maana nilijikaza tu jamani mume wangu akijua yule alikuwa x wangu itakuwaje? vp nimwambie wifi yangu kama jamaa alikuwa x? ama kweli bongo kijiji sikulitegemea hili kabisa. Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.

mmh pole ila mi ndio ningekuwa mme wako unaniambia, naanza bifu na jamaa kwani haiwezekani agonge wife na sista
 
Ila bwashee noma mbele ya mmeo yan alimchungulia mkewe na sasa anaenda kumchungulia dadake

ushemeji wao lazima uwe wa paka na panya tu
 
Wewe si una mume wako, mwache wifi yako aolewe na huyo x boyfriend wako mbona tatizo halipo!
 
Dah!!...
I can only imagine how crappy this can feel [lol...I dont speak for all men]
Ila nita-mind sana kila nikimuangalia jamaa na kukumbuka kuwa amekula mke wangu na dadangu pia...sad😡
lazima utamchukia tu. Hata akimsogelea mama yako uta-mind, the bast:censored:
 
hayo sasa matusi, mie nimeolewa na naheshimu ndoa yangu sana, ningekuwa wa kugegedwa nao ndani ya hiyo miaka 6 tungeshatafutana, asante kwa ushauri

Hajakutukana mama..tuliza munkari...

Hizo ni hesabu...2+3=5 na siyo 23

Miaka sita mingi..lol
 
Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.

Pole mwanakwetu,
Kumuona x-wako tu, ukalowesha amana,
Ukajiandaa kuipokea dhakari,
Ukalegea huku umerembua macho.
Ukakumbuka mikito ya zamani;
Mikito bambam ya kuufikirisha mwili na roho;
Ukakumbuka ulikuwa ukifika orgasm mara tano kwa mshindo wake mmoja;
Ilhali sasa hivi mumeo anafika mara tatu ilhali wewe uko mshindo mmoja.​
Nimekupenda naima79 kwa kuamua kuuweka wazi ukweli;
Umelikumbuka likisima la zamani na hasa ukizingatia hukulifukia?
Ni raha kwa kwenda mbele.

Vipi unamuonea wivu wifi yako?
Kazi unayo.​

Lakini wakumbuke Msondo ngoma
"Usiuendekeze e moyo utakavyokutuma"
Unadanganya jaribu kushinda"
Usiposhinda;
Hunabudi kuumia;
Utajivika KITANZI pasina huruma"

Ndimi Bazazi asiye bazazi>
 
Last edited by a moderator:
japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.

Kama ni hivyo mkuu tatizo liko wapi? muache jamaa ajilie vyake inawezekana ulikuwa unamzingua ndo maana kachukua uamuzi huo.
 
Wazima wapendwa, jamani X boyfriend wangu anataka kumuoa wifi yangu, walikkutana vp sifaham, wana uhusiano mda gani sifaham lakini juzi ndio tumetabulishwa rasmi nikiangalia mgeni ni Xboyfriend bado kidogo nizimie maana nilijikaza tu jamani mume wangu akijua yule alikuwa x wangu itakuwaje? vp nimwambie wifi yangu kama jamaa alikuwa x? ama kweli bongo kijiji sikulitegemea hili kabisa. Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.

mavi ya kale hayanuki atii!!!
 
Bazazi lako andiko kwa ustadi umelifuma
ushauri pasipo ubazazi umeweka wazi
ingawa kauli tata na matusi umeremba
mtoa mada tabu kapata ila moyo mgumu
sishawishiki na yake maneno
wasiwasi wangu ndoa yake na wifie kuisaliti
aupige moyo konde atazame yake ndoa takatifu
Pole mwanakwetu,
Kumuona x-wako tu, ukalowesha amana,
Ukajiandaa kuipokea dhakari,
Ukalegea huku umerembua macho.
Ukakumbuka mikito ya zamani;
Mikito bambam ya kuufikirisha mwili na roho;
Ukakumbuka ulikuwa ukifika orgasm mara tano kwa mshindo wake mmoja;
Ilhali sasa hivi mumeo anafika mara tatu ilhali wewe uko mshindo mmoja.​
Nimekupenda naima79 kwa kuamua kuuweka wazi ukweli;
Umelikumbuka likisima la zamani na hasa ukizingatia hukulifukia?
Ni raha kwa kwenda mbele.

Vipi unamuonea wivu wifi yako?
Kazi unayo.​

Lakini wakumbuke Msondo ngoma
"Usiuendekeze e moyo utakavyokutuma"
Unadanganya jaribu kushinda"
Usiposhinda;
Hunabudi kuumia;
Utajivika KITANZI pasina huruma"

Ndimi Bazazi asiye bazazi>
 
Wazima wapendwa, jamani X boyfriend wangu anataka kumuoa wifi yangu, walikkutana vp sifaham, wana uhusiano mda gani sifaham lakini juzi ndio tumetabulishwa rasmi nikiangalia mgeni ni Xboyfriend bado kidogo nizimie maana nilijikaza tu jamani mume wangu akijua yule alikuwa x wangu itakuwaje? vp nimwambie wifi yangu kama jamaa alikuwa x? ama kweli bongo kijiji sikulitegemea hili kabisa. Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.
tatizo liko wap hapo
 
miaka 6 imepita bila kumtia machoni huyo x, kinachokufanya udate ni nini? au you are still in love?
 
Wazima wapendwa, jamani X boyfriend wangu anataka kumuoa wifi yangu, walikkutana vp sifaham, wana uhusiano mda gani sifaham lakini juzi ndio tumetabulishwa rasmi nikiangalia mgeni ni Xboyfriend bado kidogo nizimie maana nilijikaza tu jamani mume wangu akijua yule alikuwa x wangu itakuwaje? vp nimwambie wifi yangu kama jamaa alikuwa x? ama kweli bongo kijiji sikulitegemea hili kabisa. Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.

Acha wivu, pengine useme unalengo la kukumbushia
 
so why being bothered na akijua hayo?? si huwa hamuongelei ya nyuma?? f that is the case hata akijua hatakuuliza as ni past. ama ??

may be The Boss atanisaidia jambo hapa nashindwa kuelewa ulimaanisha nini.

hujaelewa nini hapo ?
au Naima unamuelewa zaidi? lol
 
huna haja ya kumwambia yeyote, just watch ur movment currently mek sure huna mawasiliano wala makutano tatanishi na huyo x, mme wako hawezi mek decision kwa base ya vilivyopita ataangalia currently unamuhandle vipi huyo x.
 
Back
Top Bottom