gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,715
Nilimaanisha atakavojua ni tofauti na jambo ambalo hamjalizungumzia kabisa umeelewa? kama jambo hatujalizungumzia maana yake linakuwa unknown so haliwezi leta shida, hili litafahamika na linaweza msumbua
kwann limsumbue?? nafkiri unashindwa kuelewa jambo moja kwamba kama sio desturi yenu kuongelea past na kama ndivyo mlivyojizoeza hata akijua haya hatouliza as ataelewa kabisa kwamba mke wangu alikuwa na bf na bf sasa anamuoa mdogo wangu na mm ndie ninaye ish na mke wangu basi.
kwan kuna shida gani hapo?? hakuna shida hapo unless wewe ndio unataka kuicreate