X Boyfriend anataka kumuoa wifi yangu

X Boyfriend anataka kumuoa wifi yangu

huna haja ya kumwambia yeyote, just watch ur movment currently mek sure huna mawasiliano wala makutano tatanishi na huyo x, mme wako hawezi mek decision kwa base ya vilivyopita ataangalia currently unamuhandle vipi huyo x.
kwa upande wangu naona ningekuwa na amani sana kama nikimwambia husband..... wengine hawanihusu
 
Tatizo lako ww unapenda kusikia mambo mazuri,lkn ukweli unabaki kuwa ww utakuwa hujatulia maana kwa namna uluvyoandika ni kama unaona wivu hivi,acha na mwenzako aolewe kama wewe ebo,na usipotumia busara suala hili litapelekea kuachika asp
 
Huna sababu ya kumwambia mumeo. Nina uhakika hakukukuta bikira, hivyo anajua kuwa ulikuwa na X bf kabla yake. Wala usifikiri atafurahia kusikia habari hii.

ONYO: Ni kosa kubwa sana kuzungumzia mahusiano yako ya zamani kwa mumeo bila kuulizwa.
 
Hapa inaonekana;
1. x akikuomba utampa, baadhi ya wanawake ni dhaifu sana kwa x zao
2. unamuonea wivu dada anayechumbiwa
3. ulidanganya/ulificha kwa mumeo shughuli zako kabla hamjakutana/ulisema wewe ni bikra

Hii itasababisha;
1. jamaa kumchukia shemeji yake, hata mimi ningemchukia sana, anamjua mke wangu na sasa dada yangu
2. kutoaminiwa sana, akizaliwa mtoto DNA TEST inaweza ikawa considered mtoto asipofanana na baba yake
3. baada ya miaka mingi let say 20-30 watoto wenu wakisikia mama yao alitembea na anko kisha baba yao hawataichukulia vizuri, watajisikia aibu sana


Kutosema hakutakuwa na msaada, kwani ndugu za x wanakufahamu hivyo habari zitasambaa.
Hivyo ni muhimu kusema ukweli, ila mambo yatabadilika na itakuwa hivyo daima
 
hayo sasa matusi, mie nimeolewa na naheshimu ndoa yangu sana, ningekuwa wa kugegedwa nao ndani ya hiyo miaka 6 tungeshatafutana, asante kwa ushauri

Mimi sioni kama ni tusi alivyoandika, wewe kushtuka naona ndio unaonyesha kuna kskitu rohoni kamekukamata ukiachana na sijui wifi sijui nani.

Huyo wifi mpenzi angekuwa wifi wake mpenzi basi si angekueleza hata kukutajia jina la mchumba wake jamani.

Kama ulivyoshauriwa mwambie mumeo, ukichelewa itaonyesha una wivu au feelings nae bado. Ukimwambia wifi utakomaje na yatakayotokea akisema au kutwist maneno kwao.

Na ndio hapo maneno, na kupata mke mwenza kutaanza.

Duh mume mkiwa dinner atamwangalia shemeji aliekula mkewe na kula sister.

Pole maana mmmhhh bado ungekuwa hujaolewa labda ndie angekuwa mumeo, as umesema miaka
ndio hamkuonana.
 
Ni hakika kama huyo X wako ni mwanaume wa kisawa sawa basi hawezi "thubutu' kumwambia huyo mke wake mtarajiwa (wifi yako) habari za mahusiano yenu. Hivyo basi wewe pamoja na nia njema ya kutaka kubainisha ukweli wa mambo pasipo kuulizwa nina hakika kuwa mwisho wa siku utakuwa umesababisha "destruction' kubwa sana kwa mahusiano yako na mumeo na yale ya X wako na wifi yako.

Pili, Mahusiano ya X wako na wifi yako ndio kwanza mambo yako kwenye hatua za kwanza. Hujui kama watakuja kuona kweli au kuwa huyo X wako nae anaeza kuja kuishia mitini pengine kama ilivyotokea kati yenu. Yaani mahusiano yasiishie kwenye ndoa. Sasa huoni wewe ukinza kupayuka saa hizi haina maana ikiwa jambo lenyewe lilikuwa la kupita tu? Kwani vijana siku hizi hawaogoipi kwenda kutambulishwa japo ndoa inaweza kugeuka kitendawili sasa hivi🙂

Tatu, Ni hakika hata X-wako amepata mstuko mkubwa kuona ndio Mama mwenye nyumba wa fiance wake na si ajabu yuko njia panda (Kimawazo) kama wewe ulivyo. So, why don't you wait a bit and see how things goes? Na pengine inawezekana hata akawa anatafuta njia ya kuwasiliana na wewe ili kuona mnaweka mkakati wa kueleweka kama watu wazima bila kuchafua hali ya hewa kwenye familia. Ni hakina kuwa ana wazo hilo pengine ni kinachoshindikana ni 'logistic' ya kuweza ku channel hayo mawasiliano.

Hivyo tulizana uone uchumba wa wifi yako unavyokwenda. Na wanapokuja kumitembelea nyumbani kwenu wapookeeni kwa uchangamfu wote na kumfanya hata X wako ajisikie amani moyoni. Mazungumzo yako kwenye dinner table yawe yenye kuwajenga wifi yako na mchamba wake (yaani X wako). Wasisitizie kuwapa msaada na ushirikiano wenu wote watakao uhitaji kutoka kwako na mumeo. Ni hakika X wako atajisikia amani na yeye hatothubutu kulingumzia jambo hilo. Atakuchulia kama dada, shemeji na rafiki.
 
Wazima wapendwa, jamani X boyfriend wangu anataka kumuoa wifi yangu, walikkutana vp sifaham, wana uhusiano mda gani sifaham lakini juzi ndio tumetabulishwa rasmi nikiangalia mgeni ni Xboyfriend bado kidogo nizimie maana nilijikaza tu jamani mume wangu akijua yule alikuwa x wangu itakuwaje? vp nimwambie wifi yangu kama jamaa alikuwa x? ama kweli bongo kijiji sikulitegemea hili kabisa. Naombeni mawazo yenu naona huu mtihani utakuja kunikorofisha na familia mbeleni japo sina wazo wala siwezi kudate tena na huyo X na wala hatukuwa na mawasiliano kwa almost 6 yrs.
Acha wivu...
 
Kwanini usimwambie ukweli mume wako ili akija kujua baadae isije ikawa soooooooooooooooo? Au ulimdanganya enzi zile kwamba yeye ni mwanaume wako wa kwanza?
kama ulimwambia kwamba ulikuwa una mahusiano zamani, jest tell him that, "yule mwanaume niliyekuwa nakuambiaga ndiyo huyu anayetaka kumuoa dada yako".
 
Ex kumuoa wifi yako hayakuhusu. Just to be on the safe side mwambie mume wako akae akijua. As for wifi, huna haja ya kumwambia, mtu wake atamwambia mwenyewe akiona kuna umuhimu wa yeye kujua.
Because he was your ex and he is now part of the family ni bora ku-avoid kua nae karibu, kuzungumza nae in private na mengine kama hayo. Soon utasahau kua mliwahi ku-date.
Asante mwalimu
 
Kwani huyo X wako alikuwa na matatizo yoyote ya kitabia, afya n.k?
Kama hana tatizo lolote na ni mtu mwema hapo sioni tatizo zaidi ya kutaka tu kuyakuza mambo.
Mwenzio kapendwa na kaonekana wa thamani acha aolewe kama ambavyo nawe umeolewa kwa sasa...
Sio X wala wifi ambaye ni ndugu yako hivyo hakuna ubaya wowote!!
Sisi wanaume bwana.Huyu jamaa ipo siku atamkumbushia naima79 enzi zile!!!!!!!!!!! ili aone reaction yake.
 
Last edited by a moderator:
Dear unajua watu tupo tofauti, mimi namume wangu hatukai tukaongelea past kuwa yeye alipita wapi na mimi nilipita wapi, tulivokutana tuliongelea yanayotuhusu sisi ambayo yana manufaa kwetu tu, sio wote wanapenda kuzungumzia walikopita
Hatimaye umefika wakati wa kuulizana mlipitia wapi.
 
so why being bothered na akijua hayo?? si huwa hamuongelei ya nyuma?? f that is the case hata akijua hatakuuliza as ni past. ama ??

may be The Boss atanisaidia jambo hapa nashindwa kuelewa ulimaanisha nini.
Kwa tukio hili, wakati wa kuulizana umewadia.
Najaribu kujiweka kwenye nafasi ya mume wa naima79 ili nione kama nitaweza kulifumbia macho suala hili ila naona ugumu wake.
Wanaume WIVU uko kwenye damu eti.
Ni vigumu sana kurahisisha suala kama hili.
 
Last edited by a moderator:
ina maana mme wako,mkewe ambaye ndio wewe kagegedwa na jamaa,na pia sasa anaenda kumgegedea na dada yake!khaaaa!mmeo akijua hilo atamchukia jamaa milele

mwambie mumeo,akijua mwenyewe ni mbaya sana
Hiki ndiyo kinakochomkuta mumewe.ni bora naima79 amwambie mapema ili asikutane na swali hili" Hivi wewe mwanamke(na sio sweetie) una nia nzuri na mimi, sasa kwanini ulinificha?"
 
Last edited by a moderator:
nakushauri usimwambie mumeo kwan kwa vyovyote vile hatakuwa na iman na wewe kila mara utapokuwa upo karibu na huyo jamaa na ndoa utaanza kuiona chungu na wifi akijua uliwah kudo na mumewe hapo ndo balaa na undugu unakufa.mi naona panga cku tena mapema onana na x wako mwambie kama mnaamua kuwa cool iwe hivyo manake we unaweza kaa kimya mwenzio akaropoka na hao ndugu wakisema ila nyie wahusika mlichokipanga kiwe msimamo mfano mnaweza amua wewe ukamwambia mumeo huyu kaka na x wangu walikuwa pete na kidole hadi ikafikia hatua watu walikuwa hawajui nani nado nae na upande wa pili akiulizwa msipishane maneno hapo mtajenga undugu wewe na wifi yako mmeo na x wako bila hivyo kwa kuwa wengi wanaamin x huwa anakula hamtaaminiwa na yeyote hata familia nzima ya wifio.
Heheheheheheh! umenikumbusha kitabu cha "Juma Na Roza"
 
Au kama vipi acha usimwambie baadae akija kukuuliza na kama ikitokea kajua basi huo ndio utakua wakati muafaka wa kumjulisha for now just keep quiet. Utaulizwa kwanini hukusema toka mwanzo wewe utawaambia hukuona kama palikua na umuhimu. Manake wanaume wengine wakorofi bwana na huwezi jua ukorofi wake mpaka kue na jambo la kuattract temper yake
Kazi anayo.Mie nasubiri mrejesho.Moto ukiwaka huko ndani ya nyumba arudi tena humu JF tumpe kitchen party
 
Wanaume wengine wanasababisha wapenzi wao wasiwe wawazi katika mahusiano yaliyopita au majanga wanayokutana nayo. Kuna rafiki yangu mmoja baada ya kumpata mpenzi wake ambaye ni mme sasa alijitahidi kuweka mambo yake wazi ili yasije leta shida siku za mbeleni. Historia ile aliyoweka wazi imekuwa fimbo kwa mme kila wanapishana kiswahili katika maisha yao ya ndoa. Mara ndiyo maana x bf wako alikuacha mara tabia yako siyo nzuri ndiyo maana fulani alikutenda hivi.

Kwa hali hii watu uwazi kwa wenzi wao unaleta shida siku za mbeleni kama utakutana na mtu hasiyeelewa.
ni kweli.Naamini naima79 anajua reaction ya mumewe kwa kuwa wameishi muda mrefu.
Bahati nzuri hawakuwa wameelezana maisha yao ya nyuma.
Ila Kama huyu muoaji(ex) anakunywa bia kama mimi, na mume wa naima79 naye ni mnywaji, kuna siku watakaa bar na kusimuliana habari za huko nyuma.Busara ya huyu jamaa ndiyo itakayomjengea heshima naima79 mbele ya mume wake.
ila kama jamaa ataharibu, nyumba zote moto utawaka.
 
Last edited by a moderator:
the issue here is wengi wa vijana huwa wana ishi maisha ya illusions ambayo wakija kuingia ndoan wakakutaa na maisha halisi wanapata vigugumizi.

sioni mantiki ya keeping quite wakati wa uchumba pasi kusema as story za kawaida tu kwamba x wako walikuwa wangapi na kwamba kwa sasa umechagua maisha ya aina gani. unless muwe mnaogopana ila kama mko friends mnaelezana ukweli na hii haitawapa tabu in the long run.

ukweli X wa hubby ni good friend of mine na huwa sion kama ni mbaya ( sishauri ukafanye hivyo) but kwangu mm ilikuwa past has gone and present is what i live.
sehemu hii ya MOYO wako ungemuazima mume wa naima79 ungepata shukrani za pekee from naima79.
 
Last edited by a moderator:
Kwa tukio hili, wakati wa kuulizana umewadia.
Najaribu kujiweka kwenye nafasi ya mume wa naima79 ili nione kama nitaweza kulifumbia macho suala hili ila naona ugumu wake.
Wanaume WIVU uko kwenye damu eti.
Ni vigumu sana kurahisisha suala kama hili.
you have said it well.
wewe sasa umeshaona koas ambalo wao walishalitenda toka mwanzo...............
to be honest ni vyema pale wapenzi wanapochumbiana kuambiana ukweli juu ya past life zao. huwa ninaamini keeping silent may worsen the situation. sasa angalia huyu naima79 anapopita kwasasa.

to me ningesema wote waliokuwa ma x wangu, and ningeunga ukurasa wa ma x na kubaki na mume/mchumba wangu. hii inakupa ujasiri sana na hata ikitokea X wako kaja kuwa memba wa family ama msaada kwenye familia wewe haitakutatiza hata kidogo.

nakuambia wazi mm nilimweleza hubby bf zangu wote niliokuwa nao, na yeye akanieleza na mapaka leo huwa haitupi shida hata kidogo kwani wale walikuwa zilipendwa. haya mambo ya kuwa na secrecy muda mwingine hukutia majaribuni sana pasi kujijua.
 
Last edited by a moderator:
sehemu hii ya MOYO wako ungemuazima mume wa naima79 ungepata shukrani za pekee from naima79.

ngoja sasa nieseme wazi kwa naima79 nini cha kufanya, wala huitaj kuniazima moyo mamii. fanya hivi...............
and believe me ita work out.............muassess mumeo ujue kwako ni nani, je ni mume rafiki?? kiasi kwamba uko free kuongea nae hata nasty words? je ni baba mwenye nyumba kwamba akiingia ndani nyote mnapiga kimya?? je ni mtu wa kuskiliza zaid maneno ya watu?? je anakuamini wewe na hujawah kuondoa uaminifu wa kwake hata kwa jambo dogo?? je ni mtu wa kuelewa ama ni wale watu walalamish na wanaopenda kuona wamenyanganyanywa haki zao ama wanao jizidishia haki??

ukishajua kama yuko katika kundi gani fuata haya
  • kama anajizidishia haki na mlalamishi, basi wewe usiumize kichwa chako kwenye namna utakavyo mridhisha iwapo atagundua kuwa huyo ni x wako. sifa kubwa ya watu walalamish hata ufanye nini hawaridhiki so na wewe kwa kulijua hilo jua hata ufanyeje hawez kuridhika na kadiri muda unavyosonga basi atasahau tu na kuona ni kawaida najua hataweza kulaumu milele ama mwaka mzima.
  • kama ni rafiki, uko huru hata kuongea nasty words, ni muelewa na anakuamini na hujawah kushusha uaminifu wako kwake basi mweleze wewe tena kwa hali ambayo ataona ni kawada usiifanye formal sana itamstua but just tell him kama utani tena huku mko zenu mahali mnapata raha, najua ataskiliza na kuipotezea as anaelewa kwamba yeye ndiye mume wako wa dhati.
  • kama ni kinyume cha hiyo haya hapo juu ya pili basi usiseme jambo keep your mouth shut and talk na huyu x wako kwamba aawaambie ndugu wale wanaokujua wasiseme lolote tena awatishe kwamba iwapo mchumba wake atajua hayo basi itamletea shida. uzuri ni kwamba hakuna mwenye ubavu wa kumface mumeo na kumwambia kwamba huyo alikuwa x wako direct. tena hakuna atakaye thubutu ku jeopardize uchumba wa huyu mdada eti kisa tu alitembeaga na wewe.
wasalaam
gfsonwin
 
Back
Top Bottom