Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,701
- 3,664
Hata ki ''like'' basi duh.. Nilisikia huwa Hutoi kumbe ni kweli!! na ukitoa kama dakika mumi una unlike oi..Wowwww. . . .thanks BAK.
That's gonna go directly to my fav tunes!!
Hata ki ''like'' basi duh.. Nilisikia huwa Hutoi kumbe ni kweli!! na ukitoa kama dakika mumi una unlike oi..Wowwww. . . .thanks BAK.
That's gonna go directly to my fav tunes!!
Hehehehhe ahsante darling. . . kwahiyo niendelee kukumaliza?cwezi kukuacha maana upendo wangu kwako ni mithili ya Mate na ulimi..i real lv u Lizzy! Mwaah!
Kwani LIKE lazima uione wewe?Hata ki ''like'' basi duh.. Nilisikia huwa Hutoi kumbe ni kweli!! na ukitoa kama dakika mumi una unlike oi..
mwacheni lizzy wangu jamani msimuumize tafadhali tunajauana kwa vilemba tafadhali ati
Hahahahah. . . Usiongee na mimi tena.Kwa kifupi tusijuane, huyo P nani sijui mchukue kama unamtaka.
kumbe kuponda kote kule hawa dada zangu kuwa ni hatari kama simba umening'inizwa na mmoja wapo.
Si wanafanyaga hadithi za sungura na sizitaki mbichi hizi!!
Hollaa...!! Amechagua jela ya mapenzi yako Lizzy, kwa sababu hapo ndipo ilipo furaha yake! Hata ukisema hutaki, ye anasikia umesema unataka.....lolzz!!!
badluck sijakutana na binti wa kimachame sikunitakutana nae huyu nilienae lazima nimtupe kule kila mtu ninaemkuta nae chemba anamwita kaka yangu
Siuje Machame aisee. . . .
Hehehehhe ahsante darling. . . kwahiyo niendelee kukumaliza?
Heheehe. . .atajijua!!!
cwezi kukuacha maana upendo wangu kwako ni mithili ya Mate na ulimi..i real lv u Lizzy! Mwaah!
Mpe japo kifungo huru basi.....lol!!!
Nadhani nitamfunga Ngwini. . . .na jela yangu inatosha mtu mmoja tu!!
Haya bana mie sina neno..... nawaacha, pdidy mwenyewe sijui amekimbilia wapi!!