wont stop thinking about you lizzy-2011-2

wont stop thinking about you lizzy-2011-2

hujanitisha bado! Pdidy kasema kama wengine ni miamvuli na wewe ni mvua, atachohitaji yeye ni kulowa tepetepe!!! Lol

Hahahahah. . . Usiongee na mimi tena.Kwa kifupi tusijuane, huyo P nani sijui mchukue kama unamtaka.
 
Jamani!Huruma ntawaonea wangapi?



12885780.gif
 
Ning'inia.
Naomba usiendelee kuuliza maswali ya kijinga, kama lugha inasumbua tafuta kamusi.

Nilitegemea ungefika hapo! Na wewe acha kujianzishia thread za kujisifu ujinga!
 
Back
Top Bottom