wont stop thinking about you lizzy-2011-2

Alafu hua una kimzizi au maufundi gani ? Mbona huyu amekua wa pili anakushukia kihivi ? Au mambo ya kwa Bibi Sumbawanga ?
 
Alafu hua una kimzizi au maufundi gani ? Mbona huyu amekua wa pili anakushukia kihivi ? Au mambo ya kwa Bibi Sumbawanga ?
Wala sio wapili, thread nyingine zipo mbali huko.
Watu wanataka LIKE na THANKS za bure. . . .
 
naenda kusema kwa jirani kila siku nyumbani ni bifu
afu huyu unampa kuku
na hug hadharani
hadi TF kawa mshika mapembe

yasome hayo maneno kwa melody ya ule wimbo

Umeamka? Sijui ulizimikia wapi ! Kama umeamka cheza nao, acha na mie nishushe net
 
yale mashushu unadhani kazi ndogo
kuyavumilia hadi uwe na kichwa cha mwendawazimu
kama ......
Wala sio wapili, thread nyingine zipo mbali huko.
Watu wanataka LIKE na THANKS za bure. . . .
 
Ya kweli haya jamani??, hahahah Pdidy kaza mwendo aisee!! 2012 yako na Lizzy.....

Kilawalawa! Nilikua naanza kusinzia nikaona unawagaia tu watu mizigo! Tena ile ya ukweli, usingizi ukanipaa! Pdidy umemtupia Nyama!
Haya namie wanifikiriaje? Mbona umenivalia miwani ya mbao? Alaa! Nani kakwambia sijui/sitaki nami kugaiwa?
 
Wewe naomba uangalie maandishi yako ehhh. . . nyama nimekua ng'ombe mie?
Kichwa kama nyama!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom