wont stop thinking about you lizzy-2011-2

wont stop thinking about you lizzy-2011-2

Muda wa kula-laaa! Acha basi kuvungavunga na kujibaraguza! Jibu hoja! Mshikadau ashakufia! Wajua kumuanzishia mtu Thread si kitu mzahamzaha, hivihivi waja sikia mtu kajitundika! Mwaka mpya ! Issues mpya!

oooh maaamaa.....kwa melody sound ya kisharobaro!!! (sosi; jajimenti)
 
Mkuu Lizzy anakupenda ila anazunga tu.

Boy: can i have a HUG ?
Girl : no !
boy : did you hear what i say ?
girl : yes
boy : what did i say?
girl : can i have a HUG?
Boy : yes yes you can​
 
Mkuu Lizzy anakupenda ila anazunga tu.

Boy: can i have a HUG ?
Girl : no !
boy : did you hear what i say ?
girl : yes
boy : what did i say?
girl : can i have a HUG?
Boy : yes yes you can​

mhhhhhh
 
Mkuu Lizzy anakupenda ila anazunga tu.

Boy: can i have a HUG ?
Girl : no !
boy : did you hear what i say ?
girl : yes
boy : what did i say?
girl : can i have a HUG?
Boy : yes yes you can​

Wazugaji wanaishia mtaani kwenu.
Wengine tulifundishwa maana ya hapana ni HAPANA na sio NDIO!!
 
siyo unaguna,we ungejibuje
Boy: can i have a HUG ?​

Girl : no !​

boy : did you hear what i say ?​

girl : yes​

boy : what did i say?​

girl : can i have a HUG?​

Boy : yes yes you can​
 
siyo unaguna,we ungejibuje
Boy: can i have a HUG ?​

Girl : no !​

boy : did you hear what i say ?​

girl : yes​

boy : what did i say?​

girl : can i have a HUG?​

Boy : yes yes you can​

ningeishia kwenye no nikachapa mwendo
 
naenda kusema kwa jirani kila siku nyumbani ni bifu
afu huyu unampa kuku
na hug hadharani
hadi TF kawa mshika mapembe

yasome hayo maneno kwa melody ya ule wimbo
Mali nimekua debe la mchele?
 
oooh maaamaa.....kwa melody sound ya kisharobaro!!! (sosi; jajimenti)

Utaniamshia maruhani waliolala kabla hata X-mass! Na wakiamka hao! wanafujo hadi wapewe atakachotaka jini!
 
Back
Top Bottom