Wizi wa magari Dodoma

Wizi wa magari Dodoma

Hiyo gari yako hawajaiamulia tu haina security yoyote wanaiba mapema kabisa kabla hata haujalala.

Wanaweza kutumia plastic pipe kukata to get those off. Inachukua sekunde mbili tu hakuna kelele tena
Wanakata nini na wapi

tuelimishane

Inahitaji sensor uwe nayo ndani ya gari karibu na usukani ili iwake...
Watawashaje?. Bila kuwa nayo
 
Tatizo ukitoa betri au ile fuzi ya powersuply kweli hawataweza kuliwasha ila inakuwa tatizo jingine kwamba hata kibaka akija akivunja kioo haitapiga ata alam n anaweza fungua chochote mfano taa, power window etc

Idea nzur madhani kifunga CAR TRACKING... kama kuna mwenye maujuzi atuambie how it works...

Insuarance kubwa ni nzuri.zaid ila garama sana... yaani unalipa 4% kila mwaka mfano kama gari ni 20M basi unalipa not less than laki 8 kwa mwaka...

yaani ma option yote hayo ni.full STRESS... leten mbinu mpya..

Sent using Jamii Forums mobile app
LKi 8 tu? Mbona kidogo!
 
Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisanduku cha fyuzi kina mchoro unaoonyesha fyuzi zote zilizomo katika gari. Fyuzi ya starter huwa ina amps kubwa kupita nyingine labda 40amps ndiyo unaitoa hiyo.
 
Immobilizer ndo nini?

so gari keyless ina faida kiusalama kuliko ya kuhitaji funguo?
Keyless cars zina faida hasa kibongobongo ila mimi nakuibia vitu vyako vya ndani ya gari vyote na nikitaka naiwasha.

Wezi professional wanatumia computer sisi wezi wa mtaani hatuna huo muda sana, wanachokifanya wana plug in via the obd port kwenye gari yako na wana code new key na kuwasha gari lako.

Kama huyo mwizi kadhamiria kweli anaondoka nalo ila anaweza kuamua kukutia adabu kama mwizi mimi naiba kila kitu ndani ya gari na ku-unlock steering yako kisha naondoka
 
Wewe utasubiri sana na roho yako mbaya na uchawi. Tumia uchawi wako na roho mbaya yako ili hilo utakalo litimie,lakini kumuhusisha Mungu si vyema,utachapwa makofi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh, punguza mihemko kamanda nilikuwa nanogesha mada tu. Ila wewe ndio umeonesha chuki ya hali ya juu, angalia sana usijepata vidonda vya tumbo bure jifunze kuheshimu mawazo ya wengine utaishi bila kuwa na mawazo yasiyo ya lazima.
 
Wanakata nini na wapi

tuelimishane

Inahitaji sensor uwe nayo ndani ya gari karibu na usukani ili iwake...
Watawashaje?. Bila kuwa nayo
Hiyo ni siri ila fahamu kuanzia sasa (steering wheel lock) doesn't work, naweza kuitoa ndani ya sekunde tu.

Ushauri wangu kwako tafuta lock ambayo ita hooks on kwenye brake pedal and NOT your steering wheel hii angalau itakusaidia kidogo maana wezi wenzangu nikiwemo na mimi hatuko advanced sana
 
Kisanduku cha fyuzi kina mchoro unaoonyesha fyuzi zote zilizomo katika gari. Fyuzi ya starter huwa ina amps kubwa kupita nyingine labda 40amps ndiyo unaitoa hiyo.
Ahaa sawa,ila mimi huwa ni mtundu kwenye mambo ye mechanics ila umeme naogopa hata kujaribu tena haya magari ya kisasa ya hybreed full electronics ndo sitaki kabisa mazoea nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keyless cars zina faida hasa kibongobongo ila mimi nakuibia vitu vyako vya ndani ya gari vyote na nikitaka naiwasha.

Wezi professional wanatumia computer sisi wezi wa mtaani hatuna huo muda sana, wanachokifanya wana plug in via the obd port kwenye gari yako na wana code new key na kuwasha gari lako.

Kama huyo mwizi kadhamiria kweli anaondoka nalo ila anaweza kuamua kukutia adabu kama mwizi mimi naiba kila kitu ndani ya gari na ku-unlock steering yako kisha naondoka
Utachomwa moto jmn siku moja.!
 
Back
Top Bottom