Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Nimependa sana ushauri huuUnapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Nimependa sana ushauri huuUnapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Sijui kwa nini hawapatishi tabu sana.Dodoma Ni Jiji
Afande Muroto Yupo Ama Kastaafu
Ukitaka kumaliza mchezo kabisa. Wakati wa kulala jioni unashusha engine na gear box. Au unavua kabisa na body. Washenzi hapo utakuwa umewaweza sana...watu wana mambo mengi kuana kuanza kuharibiana ratiba si sawa hata kidogo.






hapana, mfuniko wa engine (ni kwa ajili ya Oil), wewe fungua bonet au labda ndio unamaanisha hivyo, utakuta vibox vidogo vya fuse za umeme, vipo nyuma ya Betri tu hapo, fungua ndani chomoa relay, nyingi kwa gari za petrol ni rangi ya blue au nyeusi, chomoa weka mfukoni kalale asubuhi rudishia washa gari nenda,Unaipata wapi hiyo... Unafungua mfuniko wa kwenye engine?
Asante Jombaa.hapana, mfuniko wa engine (ni kwa ajili ya Oil), wewe fungua bonet au labda ndio unamaanisha hivyo, utakuta vibox vidogo vya fuse za umeme, vipo nyuma ya Betri tu hapo, fungua ndani chomoa relay, nyingi kwa gari za petrol ni rangi ya blue au nyeusi, chomoa weka mfukoni kalale asubuhi rudishia washa gari nenda,
View attachment 1662776
View attachment 1662777View attachment 1662779
Kama wewe umeishajua, na wao tayari watakuwa wanajua!Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
wala haipotezi memory kwani hiyo relay ni ya start, yaani umeme unakuwepo ila unapoanza kuliwasha gari moto wa kwanza unaoenda kwenye ignition, fuel pressure nozell na zile plug ndio unatokea hapo, zipo pia fuse zinazotawala switch ila uchomoaji wake ni mgumu unaweza shindwa zirudishia mwisho gari ikapiga shotAsante Jombaa.
Out of Curiosity: Kuna jamaa hapo juu ameziponda sana hizi njia za analogia. Anasema magari ya siku hizi, ukichomoa fuse/battery gari inapoteza kumbukumbu. Kwahiyo ukija kurudisha tena inaanza na default settings. Wewe unasemaje kaka mkubwa?
kwa muda gani, mpaka nazeeka au ?Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
alafu uitoe kuitega utaiweza ..meno yna oili ikijizungusha utafute fundi wa kuitega au unaidumbukiza tu..ushauri inategemea gari yako ni gari gani unaweza ukadiscoect mafuta kama ina lift pump mbele kama ina tenk nyuma unaweza kuuziba pipe ya mafuta kuichomoa na kuiziba wakiondoka getini tu linazingua....Uko sahihi kabisa , gari za siku hizi zina mfumo wa magneto ambayo timing signals zinasomwa na sensor iliyopo kwenye flywheel, very accurate ,
Distributor zilinitesa sana miaka ya nyuma enzi hizo niaendesha landrover 109 ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa inakuwa kwenye fuse box ya upande wa engine。Unaipata wapi hiyo... Unafungua mfuniko wa kwenye engine?