Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Dawa yao ni moja tu nawe lala humohumo ndani ya gari wakija iyo usiku unawapigia honi wenyewe wanakimbia,Mbinu ya kisasa iyo



Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yao ni moja tu nawe lala humohumo ndani ya gari wakija iyo usiku unawapigia honi wenyewe wanakimbia,Mbinu ya kisasa iyo



Funga Track Solid. Ikifungwa inafungwa sehemu ambayo mtu hawezi kuona kwa Urahisi.. Kokote Linakoenda, Unakuwa Unaliona, hadi Spidi linayotembea
katika zote hizi nazipa 100%Mbinu mpya hii
CHUKUA SIMU HATA NDOGO AMBAYO HUITUMII... ifiche ndani.ya gari mahali pasipojulikana... wakiiba basi watu wa cyber wanai truck simu kirahisi sana
Kwa udadisi wangu minaona nyie ndo wezi km cyo kutisha watu ili muuze ving'amuzi vyenu.katika zote hizi nazipa 100%
maana hawa wezi wanakukamata getini kwako unapoenda / kusubiri geti ifunguliwe wanaingia na wewe au wanakusubiria, aidha mnaondoka wote na wanakutupilia mbali sasa lazima uwe na access nyingine ya ktrack gari au familia yako ikufuatilie
km unayo mwenyewe kwenye simu basi watakutupa na watokomee na kigari chako
kwanza huna gari ndio maana unasema hivyoKwa udadisi wangu minaona nyie ndo wezi km cyo kutisha watu ili muuze ving'amuzi vyenu.
Ila mjue kama siyokweli! Basi mnalichafua jeshi la police chini ya kamanda N S siro. Akisaidiwa na kamanda muroto.
Kwa udadisi wangu minaona nyie ndo wezi km cyo kutisha watu ili muuze ving'amuzi vyenu.
Ila mjue kama siyokweli! Basi mnalichafua jeshi la police chini ya kamanda N S siro. Akisaidiwa na kamanda muroto.
huyu masanja One kila mahali anadakia naona kaonja au zimemzidi za ulabuKwa kupenda kutaja taja majina ya vigogo kila thread mara katibu mkuu kiongozi,mara Sirro.
Acha ushamba Manka.
Sasa kwa mfano huyo mdau wako akiamua kuwa mwizi, si anakuja na kiwaya tu anaweka hapo palipotolewa fyuzi then anawasha na kusepa..!! SI anapajuaKuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni marupurupu ya Dodoma kuwa jiji.Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka.
Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha wanavunja kufuli na kifungua gari...
hawa jamaa inaelekea ni wajuzi sana kiasi kwamba wanaweza washa gari lolote na hata kama lina alarm zinakuwa disabled.
Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k
Ushauri
Tufunge car tracking, japo sijui kama wanaweza.kuzi.disable au kujua kama ipo
Funga kamera nyumbani au motion detector
Kama kuna mwenye ujuzi zaid tujuzane maana hii hali ni hatar kw mkoa wa DODOMA kwa sasa... Polisi naona ni kama wameanza mishe za kuyasaka.. Mungu atusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishakusoma wanakuja na stealing yao tu!!Dawa Usiku chomoa stealing kama Mr Bean unaiweka uvunguni unalala
Mkuu hapo labda uwe unaishi Somalia.Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wakija nazo hizo fyuzChini ya usukani pale Kuna fyuz iko au katika bonet pale karibu na betri Kuna fyuz ziko ukichomoa tu hakuna kuwasha gari kabisa
kilicho akilini kitumie
ua washenz hawaJaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''




Yule Mtangazaji wa ITV kule Zanzibar FAROUQ KAREEM ndiye Kiboko ya hawa Wezi wa Magari,Mungu akinijaalia kupata Gari nitamfuata anipe maujanja yale.Yale mapaa wanayaita mgongo wa tembo ni uharibifu wa resources kabisa aisee.
Kwa hivyo hili ni zoezi la kila siku!!!?Na ili kuwakomesha iache chini kabisa
View attachment 1397725
Ww ni mwivi!!Keyless cars zina faida hasa kibongobongo ila mimi nakuibia vitu vyako vya ndani ya gari vyote na nikitaka naiwasha.
Wezi professional wanatumia computer sisi wezi wa mtaani hatuna huo muda sana, wanachokifanya wana plug in via the obd port kwenye gari yako na wana code new key na kuwasha gari lako.
Kama huyo mwizi kadhamiria kweli anaondoka nalo ila anaweza kuamua kukutia adabu kama mwizi mimi naiba kila kitu ndani ya gari na ku-unlock steering yako kisha naondoka
Unaipata wapi hiyo... Unafungua mfuniko wa kwenye engine?Ukitaka usiibiwe Gari lako chomoa fuel injection relay(Au imeandika EFI).
hapo mwizi labda aje kutow hilo gari. Maana halitowaka.