Albert_2010
Member
- Feb 8, 2020
- 14
- 8
Wezi wa magari nao wanapitia tu huu uzi kupata maujanja zaidi, tehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wezi wakishindwa kuiba baadhi yao huwa wanakunya Mavi, sijui kwaniniwezi ni wapumbavu sana kuna wakati walitaka kuiba pick up ya mzee mmoja ila mipango yao ikafeli wakanya nyuma ya pick up ya yule mzee ili tu asubuhi ashike hata mavi. wapuuzi sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na emergency hapa unatoboaje??Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣
kinga ni bora kuliko tibaMbinu za wazee wa mwaka 47!
Haa😅😄Yupo. Tunatazamia akiwa-arrest watapata kipigo cha mbwa koko.




Jaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''
Watakubaka humo na gari wachukueDawa yao ni moja tu nawe lala humohumo ndani ya gari wakija iyo usiku unawapigia honi wenyewe wanakimbia,Mbinu ya kisasa iyo
Unapiga honi na unakua na filimbi kama zile za maaskari unazipiga
Gari za zamani ndio zilikuwa na distributor. Gari za kisasa hazina distributor. Electronic fuel injection imeondoa distributor.
Mfano GX100 kavu ina distributor ila GX100 VVTi haina distributor. Maybe I'm wrong.
Namimi nasema ukialala fungua tairi zote za gari kalale nazo chumbani...Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Unamjua RRONDO vizuri linapokuja suala la Magari au unamsikia tu? Maana naona unaanzisha ligi ambayo sidhani kama utaiweza.......in short RRONDO yupo vizuri sana kwenye Magari.unajua kazi ya distributor kwenye gari??
Gari za sasa nyingi hazina distributer.zinayo mkuu bila hiyo gari haiwezi kuwaka kamwe
Jioni njema.
View attachment 1397057
Lakini mbona nasikia Lema kaachana na hii biashara? Au kasoma majira ya nukta kaona inasoma -2,-3
Ukitaka usiibiwe Gari lako chomoa fuel injection relay(Au imeandika EFI).Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka.
Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha wanavunja kufuli na kifungua gari...
hawa jamaa inaelekea ni wajuzi sana kiasi kwamba wanaweza washa gari lolote na hata kama lina alarm zinakuwa disabled.
Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k
Ushauri
Tufunge car tracking, japo sijui kama wanaweza.kuzi.disable au kujua kama ipo
Funga kamera nyumbani au motion detector
Kama kuna mwenye ujuzi zaid tujuzane maana hii hali ni hatar kw mkoa wa DODOMA kwa sasa... Polisi naona ni kama wameanza mishe za kuyasaka.. Mungu atusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuga mbwa,german sherphard,miriki bastola,funga cctv/motion camera,Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka.
Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha wanavunja kufuli na kifungua gari...
hawa jamaa inaelekea ni wajuzi sana kiasi kwamba wanaweza washa gari lolote na hata kama lina alarm zinakuwa disabled.
Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k
Ushauri
Tufunge car tracking, japo sijui kama wanaweza.kuzi.disable au kujua kama ipo
Funga kamera nyumbani au motion detector
Kama kuna mwenye ujuzi zaid tujuzane maana hii hali ni hatar kw mkoa wa DODOMA kwa sasa... Polisi naona ni kama wameanza mishe za kuyasaka.. Mungu atusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app