Wizi wa magari Dodoma

Wizi wa magari Dodoma

Murotooo now days kapoa au
Anazidiwa kete

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sirro alimwambia mzee we endelea tu kuwaonyesha hao watuhumiwa kwenye vyombo vya habari/mbele ya waandishi kuna siku watakuburuza mahakamani muda huo ukiwa tayari umestaafu huku serikali haina muda na wewe ndipo utaelewa hua inakuaje.

Mroto akafyata baada ya hapo.
 
Jaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''
We jamaaa umenichekesha sana

Idea yako mkuu nimekubali. Bonge la wazoo!

Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka.

Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha wanavunja kufuli na kifungua gari...

hawa jamaa inaelekea ni wajuzi sana kiasi kwamba wanaweza washa gari lolote na hata kama lina alarm zinakuwa disabled.

Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k

Ushauri
Tufunge car tracking, japo sijui kama wanaweza.kuzi.disable au kujua kama ipo

Funga kamera nyumbani au motion detector

Kama kuna mwenye ujuzi zaid tujuzane maana hii hali ni hatar kw mkoa wa DODOMA kwa sasa... Polisi naona ni kama wameanza mishe za kuyasaka.. Mungu atusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa naona kweye Tv mnasema mwizi akiingia Dom hatoki akajaribu mikoa mingine, sasa imekuwaje tena? Au mmejisahau!
 
Mbinu za wazee wa mwaka 47!
Dear tunaomba mbinu za kulinda wasifanye chochote
Kwa gari aina zote ,za funguo na keyless entry pia

nachojua mi ni kulock steering wheel tu

gps tracking sijui zinasaidia?
Alarm?.
 
Tracking inasaidia sana. Wezi wa Tz sio advanced kivile,sidhani kama wamefikia level za kuiba gari zenye immobilizer au keyless. Ukiweka tracker hata ikiibiwa dakika chache tu mnajua iko wapi.
 
Humo kwenye 'na kadhalika (n.k.) sio kuwa kuna aina zote za magari yaliyobaki- yaani wanapenda magari aina zote?
Hayo magari aliyotaja ndio yale ukichonga funguo unawasha na kuondoka. Au ukiwa na funguo kumi za magari aina hio mojawapo inawasha.
 
Jaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona kama unanafasi kwny uwanja wako mbinu nziri na effective ni kulijengea gari banda lake na kukifungia humo usiku sio kibanda mbavu za mbwa unajenga vizuri chumba cha tofari na unatengenezea geti kama fremu vile ambalo unaliwekea intruder alarm mtu akigusa getu ya banda la gari alarma inalia..

Kama una gari ya milion 20 sidhan ka utashindwa hilo mana ningharama ya mara moja tu ukishaweka basi..
Tatizo ukitoa betri au ile fuzi ya powersuply kweli hawataweza kuliwasha ila inakuwa tatizo jingine kwamba hata kibaka akija akivunja kioo haitapiga ata alam n anaweza fungua chochote mfano taa, power window etc

Idea nzur madhani kifunga CAR TRACKING... kama kuna mwenye maujuzi atuambie how it works...

Insuarance kubwa ni nzuri.zaid ila garama sana... yaani unalipa 4% kila mwaka mfano kama gari ni 20M basi unalipa not less than laki 8 kwa mwaka...

yaani ma option yote hayo ni.full STRESS... leten mbinu mpya..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom