Wizi wa magari Dodoma

samito

JF-Expert Member
May 16, 2011
631
176
Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka.

Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha wanavunja kufuli na kifungua gari...

hawa jamaa inaelekea ni wajuzi sana kiasi kwamba wanaweza washa gari lolote na hata kama lina alarm zinakuwa disabled.

Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k

Ushauri
Tufunge car tracking, japo sijui kama wanaweza.kuzi.disable au kujua kama ipo

Funga kamera nyumbani au motion detector

Kama kuna mwenye ujuzi zaid tujuzane maana hii hali ni hatar kw mkoa wa DODOMA kwa sasa... Polisi naona ni kama wameanza mishe za kuyasaka.. Mungu atusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unapolala toa distributor gari haitawaka
 
Gari za zamani ndio zilikuwa na distributor. Gari za kisasa hazina distributor. Electronic fuel injection imeondoa distributor.

Mfano GX100 kavu ina distributor ila GX100 VVTi haina distributor. Maybe I'm wrong.
unajua kazi ya distributor kwenye gari??
 
Back
Top Bottom