Wizi wa magari Dodoma

Wizi wa magari Dodoma

Duh umenikumbusha kisa fulani
Kitambo Sana tuliendaga moshi
Tulipopaki Gari ilikuwa land crusher hardtop
Mwenzangu usiku alifungua taili akaingia nalo gesti nlicheka sanaaa
Aliskia story za sambeki

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahha Bob Sambeki zama zile ilikuwa hatari, ila hapo unakuwa umewakomesha wale wazee wakuchinja noah na ist fasta.
 
Itabidi Architects wa bongo waanze kubuni ramani zenye garage ndani kwa ndani kwa ajili ya ku-park gari walau moja au mbili.

Kama wameweza kwenye mapaa marefu ambayo ni urembo tu huku kwetu basi wachukue na garage ya ndani ambayo ni common sana kwa floor plans za huko "barafuni"
 
Hahahahha Bob Sambeki zama zile ilikuwa hatari, ila hapo unakuwa umewakomesha wale wazee wakuchinja noah na ist fasta.
Dah siku ya kwanza kufika moshi tu kaenda malindi bar tko na hardtop, Kuna mzee mmja na wenzake wakawa wanasema sambeki gar kama hzi yeye anatuma vijana wake wna chkua tu kwa ngv jmaa aliposkiaa story zile presha
Usik kwenda gesti si a kafungua taili
Moja la nyuma kaingia nayo Ndani
Mm nkabaki hoi sna mbavu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''

Nadhani hapo unakua unalala garage na sio chumbani tena.
 
Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Chini ya usukani pale Kuna fyuz iko au katika bonet pale karibu na betri Kuna fyuz ziko ukichomoa tu hakuna kuwasha gari kabisa

kilicho akilini kitumie
 
Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.

Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.

Inategemea na gari na gari.Kwa magari ya kizamani inaweza ikawa sio inshu ila magari ya kisasa kidogo unaweza kupata baadhi ya changamoto kwa kutoa battery kwny gari.

Kuna gari ukichomoa battery then ukija kuirudisha ina reset saa,seat memory, unapoteza car radio codes,AC inazirudisha kwny default settings.

Pia kama gari yako ina factory alarm inaweza kupelekea alarm kwenda kwny Panic mode,magari mengine ukitoa battery huku umesahau kutoa funguo kwenye starter inaweza sababisha mpk Funguo kutokufanya kazi tena na ikahitaji funguo kwenda kua coded tena(ilishanikuta kwny nissan hii).
 
Itabidi Architects wa bongo waanze kubuni ramani zenye garage ndani kwa ndani kwa ajili ya ku-park gari walau moja au mbili.

Kama wameweza kwenye mapaa marefu ambayo ni urembo tu huku kwetu basi wachukue na garage ya ndani ambayo ni common sana kwa floor plans za huko "barafuni"

Yale mapaa wanayaita mgongo wa tembo ni uharibifu wa resources kabisa aisee.
 
Back
Top Bottom