Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,513
- 113,642
Paskali, unapendekeza azungumzie viwanja vya Pasua, kwani viwanja hivyo vina tatizo gani ili nasi tujue ambao hatutakuwepo.Wanabodi,
Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe fulani kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo, na Waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu umuhimu wa Chakula kwa binadamu.
Kwavile wote tunaamini Mungu, tunaamini tumeumbwa na Mungu, na kupatiwa zawadi ya uhai kwa kupuliziwa pumzi ya uzima,
Sasa kufuatia umuhimu wa chakula kwa binaadamu, Umoja wa Mataifa umeiteua siku ya October 16, kuwa ni Siku ya Chakula Duniani, "World Food Day", kitaifa maadhimisho hayo kwa Tanzania, yanafanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro, na inaadhimishwa kwa maonyesho ya vyakula, na teknolojia mbalimbali za uzalishaji wa chakula katika viwanja vya Pasua, mjini Moshi.
- Hivyo kitu muhimu nambari moja kwa binaadamu ni Mungu, The Almighty God, The Father, The Creator, who created us, and everything.
- Kitu muhimu nambari mbili ni hewa, pumzi, uhai, the air that we breath
- Na kitu muhimu nambari tatu ni chakula, the food that we eat, to live, to survive.
Kutokana na umuhimu wa siku hii, serikali ya Mkoa wa Kilimanjaro, ikaamua kulichagua eneo la Pasua, kuwa ndilo eneo stahiki la kufanyia maandhimisho hayo, na maonyesho hayo, hivyo mimi nami, kama Mtanzania mwingine yoyote, niko Mkoani Kilimanjaro, kuwaletea, kila kinachoendelea kwenye viwanja hivi vya Pasua.
Hapo katika viwanja vya Pasua, pamoja na mambo mengine yote, pia Chanjo ya Corona inatolewa bure.
Sasa imetokea tuu kama zali, maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani mkoani Kilimanjaro, yamepata bahati ya mtende, ku concide ya ziara ya mtu mmoja muhimu, kufanya ziara ya kiserikali mkoani Kilimanjaro. Kwa vile ziara zote za kiserikali ni ofisi ya Mkuu wa Mkoa ndio huratibu kwa kushirikiana na wizara husika, mgeni atembelee wapi na wapi, na kumpangia siku ya kuzungumza na wananchi. Sasa kwa vile ugeni huu ume coincide na Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani, sasa kufuatia umuhimu wa Chakula kwa binadamu na kwa nchi yetu, hili ni ombi langu kwa serikali ya Mkoa, kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo, na Wizara ya Mifugo, mleteni mgeni huyu viwanja vya Pasua. Tena ningekuwa mimi ndio RC wa Kilimanjaro, ile siku ya mgeni wetu kuzungumza na wana Moshi, ningempangia azungumzie viwanja vya Pasua, ili pia wana Moshi na wana Kilimanjaro, wajitokeze kwa wingi, sio tuu kumsikiliza mgeni wetu akizungumza na wana Moshi na wana Kilimanjaro, bali pia atahamasisha, wana Moshi na Wana Kilimanjaro, kujitokeza kwa wingi, kuchanja.
Hivyo huu ni wito wangu kwa RC wa Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo na Waziri wa Mifugo, kufuatia umuhimu wa chakula kwa uhai wa binaadamu na viumbe wote, ambapo baada ya umuhimu wa Mungu aliyetuumba, na pumzi ya uhai tunayoivuta, chakula ndicho kitu muhimu kuliko vitu vingine vyote, hivyo kwa niaba ya wana Pasua, tunawaomba, P'se mpitisheni mgeni wetu na kwenye viwanja vya Pasua, hata asipozungumza chochote, angalau atupungie tuu mkono, na sisi tumpungie kumjulisha tuko pamoja nae.
Ni Hayo Tuu.
Paskali, Pasua, Moshi, Kilimanjaro.
Mkuu elvischirwa , kwa vile mimi hapa Moshi ni mgeni, ukiwa ugenini, uka note vitu vyenye matatizo, hautangazi matatizo hadharani, tena wengine huwa wananyamaza kujifanya hawaoni, kwa vile ni serikali ya mkoa ndio ilipanga maadhimisho ya Siku ya Chakula, yafanyikie uwanja wa Pasua, na siku ya kilele yaani Tarehe 16 October, Moshi kutakuwa na ugeni, na mgeni atahutubia wananchi, ndio nimeshauri, aletwe na Pasua, wananchi tupo.Paskali, unapendekeza azungumzie viwanja vya Pasua, kwani viwanja hivyo vina tatizo gani ili nasi tujue ambao hatutakuwepo.

Nimekuelewa, ila Moshi hawataki maviwanja.Mkuu elvischirwa , kwa vile mimi hapa Moshi ni mgeni, ukiwa ugenini, uka note vitu vyenye matatizo, hautangazi matatizo hadharani, tena wengine huwa wananyamaza kujifanya hawaoni, kwa vile ni serikali ya mkoa ndio ilipanga maadhimisho ya Siku ya Chakula, yafanyikie uwanja wa Pasua, na siku ya kilele yaani Tarehe 16 October, Moshi kutakuwa na ugeni, na mgeni atahutubia wananchi, ndio nimeshauri, aletwe na Pasua, wananchi tupo.
P
Mkuu denooJ , kwanza ni kweli ratiba ya mgeni ime tight sana, ila kama ilivyo kanuni ya mgeni dunia nzima, anayepanga ratiba ya mgeni ni mwenyeji, tusimuingize Mungu kwenye hili, kama mgeni anafika mahali, amekuja kuhudhuria harusi, halafu ikitokea nyumba ya jirani kumetokea msiba, mgeni ataanzia kwa jirani kutoa pole ya msiba, kisha kuendelea na ratiba yake. Hoja yangu hapa, ni lipi ni tukio muhimu zaidi lenye maslahi makubwa na mapana kwa taifa?. Mgeni kaalikwa Moshi kuhudhuria jubilei ya miaka 50 ya KCMC, Jubilei imeangukia tarehe 16 October, ambayo pia ni siku ya Chakula duniani. Siku ya Kimataifa ya Chakula duniani, inasogezwa mbele kupisha Jubilei!. Wana Moshi tuko viwanja vya Pasua, jee kuna ubaya wowote kama mgeni atapitishwa?. No matter how tight the program is, or how busy she is, akapita tuu Pasua na kutupungia mkono nasi tukapunga?.Inaonekana ratiba imebana sana, muombe Almighy God akutendee muujiza.
Mkuu nguvu , kwenye uendeshaji wa nchi, huwezi kukwepa gharama!, ila pia kuna matukio hayaongezi gharama yoyote, mfano gari lako lina seats 4, ukiliendesha wewe mwenyewe from point A to point B, utatumia mafuta lita kadhaa, ukimpandisha mtu, hadi wanne, bado utatumia mafuta yale yale. Mgeni akiwa Moshi, kumpitisha Pasua, costs not a penny more, not a penny less!.Sawa mkuu paskali, lakini nikwambie hao jamaa masafari yao yanaligharimu taifa huku faida kiduchu kupatikana, safari ya PM inatumia gharama kubwa samahani kwa kutoka nje ya mada ila usishangae huyo mgeni kwenda viwanja vya pasua akatumia milioni850
Leo Saa 7:05 pm on ITV, ujumbe huuWanabodi,