excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,450
- 17,918
hahahahahahHahahhahahah watanuachia radhi kuna dada zangu na ntuzu kati yao
mamiiiiii!!! mbona hivyo lakini?
unajua kuna vimtu humu vina macho kama indiketa ya trekta!!!
wasione jema tu...!
hahahahahahHahahhahahah watanuachia radhi kuna dada zangu na ntuzu kati yao
Km Hawa maparoko hawataki Si bora ukamtorosha tu!
mamiiiiii!!! mbona hivyo lakini?
unajua kuna vimtu humu vina macho kama indiketa ya trekta!!!
wasione jema tu...!
unasemaje we mwana'nnke?
Wewew si una mume?
Akuuuu! ukiwa naye huwa unajifanya hunijui sasa mfate huko huko mimi siyo wa spare tyreApa tunaongea mi nawe,mume wangu hakuhusu. Sasa ni hiviii......
Akuuuu! ukiwa naye huwa unajifanya hunijui sasa mfate huko huko mimi siyo wa spare tyre
Nini? ndo sitaki hivyooo habari ya kuchezeana akili haipo tenaAi wewee
Wewe njoo tuongee vizuri upate pumziko la moyo wala hamtakuwa wawili utakuwa peke yako,huyo valentina siyo wangu
Nasema hivi,uache ubazaz
miss neddy, please badili avatar yako mama......please
ni maoni yangu binafsi, sijatumwa na mtu
hata hivyo, kama kuna wana CC wananiunga mkono basi na wa reply hapa:coffee::bored::coffee::coffee:
Tyta hebu saidia avatar nzuri kwa huyu Miss
mwaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaàaaaàaaaaaaaaaa hapo je