excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,450
- 17,918
Bora unyamaze kweli mana unefulia
unasemaje we mwana'nnke?
Bora unyamaze kweli mana unefulia
Uzibe huoooooo!We mwache ajifanye kidume kama sijaeka uzibe kwa huyo malaika.
mhhhhhhhhhhhhhhhh hapa asije akajinyonga Angelicious
Mke nimtoe wapi ndugu yangu nipo tu nang'aa sharubuhivi kijana, una mke? au bado unatuulia watoto bafuni?
Tamu ya kupewa kwa mafungu hata siitakiEbu nyamaza nisije nikakunyima tamuu
Niliamua kumuachia jamaa alilalamika mno mpaka aliposingizia kuwa alikuwa bondeni si unajua watoto wakisikia bondeni network zinakatahahahaaaa!!! yaligomaje wewe? huna zana ama?
sema nikuazime sera ufanye mapinduzi salama!
Mke nimtoe wapi ndugu yangu nipo tu nang'aa sharubu
Mmmmh! huyu tena kawa sheri?we nae kwa kunimanga!!!!!! hujambo lakini mamii?
nimekusalimia tuu jamani! wasiwaze zaidi ya hapo eenh! sawa sheriiii?
hebu limwage bebii bana!!! mi najisikia kuzimia zimia tuuu!!
niokoe bebii!
Sharubu zimeng'aa mpaka zinapauka sasa akipatikana wa kuzipiga brash itakuwa poaahaaaa.. hapo sawa! kwa hio uko unataka mke wa kuoa au ndo unazidi kung'a sharubu?
na miss neddy anasemaje?
mwaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaàaaaàaaaaaaaaaa hapo je
Sharubu zimeng'aa mpaka zinapauka sasa akipatikana wa kuzipiga brash itakuwa poa
ewaaaaaaa!!!!! sasa.... kwa spidi hiyo hiyo ya 120km/dakika... waambie woooote waliovimba macho kuangalia hilo busu kwamba, wajinyonge kwa wivu!!!