Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

mkuu kuna utofauti wa melody kwenye wimbo wa mwaka jana na mwaka huu kutoka kwa roma?
Mkuu swala la mtu kushindwa kuimba na kuishia kutukana unalionaje?

Tuna mjadili roma kwa sababu tulitegea zaidi ya hiki kutoka kwake.
Mimi binafsi nlijua hipo siku roma anaweza kuishiwa cha kutunga lakini si kufikia kutukana.

swala la melody hiyo ndo style yake ya kuimba ulitaka abadilike vipi na wakati washabiki ndo wanayoipenda na kuikubali?? Kwa nini aingie risky kuimba style nyingine ambayoo atabahatisha either itapendwa au isipendwe,na kama ulishawahi kusikiliza nyimbo za country music utaona kwamba nyingi melody hufanana so kwa roma kinachosubiriwa sana ni ujumbe kama zilivyo country music na wala sio kubadili melody

kuhusu kutukana to be honest kidogo amechemka lakini yeye sio msanii wa kwanza kutukana bongo hii wengi tu wametukana na stil mpk hamna kuzungumziwa like nothing happened,so kwa hapo im sure next time atabdilika,ila cha msingi ni ujumbe ambao umo humo ndani katika verse zake
 
kunya anye kuku.....!
Akitukana ney wa mitego,madee,chid benz na kalapina sawa tu ila R.O.M.A .......na mtabana papuch.i sana tu lakini jamaa atawashika tu

Mkuu kwa hiyo Makosa ya hao ulio wataja ndio yana halalisha makosa ya Roma.

Kwa hiyo Roma ametukana kwenye wimbo kwa kuwa ndio mtindo wa kuimba?
Hivi swala la melody umelionaje?
Je Roma haihitaji mtunzi wa melody?

Hivi kweli kwenye hule wimbo umeona mpangilio mzuri wa mambo ? Hivi hakuna neno ambalo linge kaa badala ya lile tusi?
Hivi kama angesema nendeni kwa waganga hisinge faa au kuweka neno lingine?
 
swala la melody hiyo ndo style yake ya kuimba ulitaka abadilike vipi na wakati washabiki ndo wanayoipenda na kuikubali?? Kwa nini aingie risky kuimba style nyingine ambayoo atabahatisha either itapendwa au isipendwe,na kama ulishawahi kusikiliza nyimbo za country music utaona kwamba nyingi melody hufanana so kwa roma kinachosubiriwa sana ni ujumbe kama zilivyo country music na wala sio kubadili melody

kuhusu kutukana to be honest kidogo amechemka lakini yeye sio msanii wa kwanza kutukana bongo hii wengi tu wametukana na stil mpk hamna kuzungumziwa like nothing happened,so kwa hapo im sure next time atabdilika,ila cha msingi ni ujumbe ambao umo humo ndani katika verse zake
Mkuu @mdengereko wewe ni muungwana kabisa na kushukuru kwa hilo.

Kwani tumekubaliana mimi na wewe kuwa kuweka matusi hakukuwa na msingi na alichemka.

Kwa swala la melody uoni linachangia kuonekana naimba kilekile na nyimbo zinakuwa na radha inayo fanana kila leo?

Mkuu huoni kuna haja ya Roma kupata mtunzi mzuri wa melody?
 
sasa we jamaa hiyo mi X X ya nini tenaaaaaaaaaaa...au unacheza porn?ndio mana humwelewi roma kwa akili hizo..

Mkuu huu uandishi wa huyo jama ni wa kitoto na una kera sana tena sana.
 
Mkuu @mdengereko wewe ni muungwana kabisa na kushukuru kwa hilo.

Kwani tumekubaliana mimi na wewe kuwa kuweka matusi hakukuwa na msingi na alichemka.

Kwa swala la melody uoni linachangia kuonekana naimba kilekile na nyimbo zinakuwa na radha inayo fanana kila leo?

Mkuu huoni kuna haja ya Roma kupata mtunzi mzuri wa melody?

sioni haja ya kuhitaji mtunzi wa melody coz hiyo ndo style yake na hijatuchosha nikiongelea kwanza mimi binafsi na pili muitikio wa watu juu ya huu wimbo watu wameupoke kwa mikono miwili na kama nilivyokwambia roma kaamua kuimba rap siasa so kinachotizamiwa kwake ni ujumbe tu na sio kuja na melody nzuri.ambayo lets say itachezeka ama vipi....
 
Tatizo la wabongo hawataki mtu awe ana identity yake,wanataka kuwe na universal sytle ya kurap kitu ambacho hakiwezekani kabisa Eminem,50 Cent,NAS,Jay Z kila mtu ana style yake lakini still wanapewa respect kwenye Hip Hop
 
ndo hicho nilichokuwa najaribu kumwambia ndugu yangu japo juu kwamba kila mtu style yake ya kuimba so its better akaenda nayo kuliko kila siku kubadilikabadilika.
 
Si kila aliepata zero ni zezeta ata kama alikua anatafuta vina ila kumuita aliepata zero ni zezeta si sawa. Hao anaowaita mazezeta ndio mashabiki wake mfyuuuu sielewi huwa anaimba nini

mi imeniuma sana kwnz ye alipata ngp maana angekua T.O tungemjua dharau hizo broo tutaona huyo Ivan wko atapata ngp malipo ni dunian
 
Jamaa anajua,ila kurudia style ile ile inachosha,nyimbo zote utadhani beat ile ile.
 
Mkuu kwa hiyo Makosa ya hao ulio wataja ndio yana halalisha makosa ya Roma.

Kwa hiyo Roma ametukana kwenye wimbo kwa kuwa ndio mtindo wa kuimba?
Hivi swala la melody umelionaje?
Je Roma haihitaji mtunzi wa melody?

Hivi kweli kwenye hule wimbo umeona mpangilio mzuri wa mambo ? Hivi hakuna neno ambalo linge kaa badala ya lile tusi?
Hivi kama angesema nendeni kwa waganga hisinge faa au kuweka neno lingine?

Mkuu kwa mara ya kwanza nakuunga mkono.
Roma ni zezeta kama wengine hakuna hiphop wala nn ni ush.. nze mtupu apo.

Afadhali aimbe kama weusi hii hiphop ngum awaachie wenzake.

Najua wanampamba hawajui wanalopbosha, roma mjinga amekuwa na expect kubwa sana japo anaandika kwa uzembe sana.

Ona 2030 ilikoishia he is nothing at al.
 
"Hip hop ni concious si sharobaro kubeba nondo mm nasaka hela ya kula ww unamcheki tu Aljendro" ni ngumu sana kumuelewa uyu mjamaa hasa kwa wale wa mlengo ule wa kumsimkiliza Diamond akitaja majina ya mama wa mademu zake afu ww unashangilia hip hop ni utamaduni tofauti acha ataje matusi km ww ulivoyamalizia ndo asili ya huu muziki hanangwa ROMA leo ila mnakubali kua akidondosha ngoma lazima kuwe na vikao mbona wengine wengi wametoa ngoma hakukua na mjadala wa kukosoa wala kusifia huu uzi ukiwa unaendelea FM redio zinapata tabu huku maana kila muda uko hewani kule wa bodaboda ndo dawa sasa kwa wateja kimenukaaaa.....DTP na masikio KKK.
 
Wakati Roma anatoka nilimkubari sana, kuna baadhi ya nyimbo alikuwa anabadilika kimelody na kuna wimbo flani kashirilishwa na kala jeremiah mke kaghani vizuri pia.
lakini siku zinavyokwenda nikaja gundua jamaa anaimba kitu kile kile kwa style ile ile ikawa inaniboa hata kusikiliza. Mfano mziki wake wa 2030 mimi niliona ni makelele hakuna mpangilio wowote kuanzia beat na yeye anavyoimba kama makelele tu.
Lakini kama kawaida ya kipendacho roho kuna watu hawataki kukubari ukweli wanakupa hadi mifano ya eminem lakini mbona eminem anabadilika wimbo wa I am not afraid haufanani na the way you are wala cleaning up my closet.
Roma anapotea na ndiyo ukweli na mwisho wa siku mtakuja sema kapotezwa na clouds kumbe maskio ya watu yatakuwa yamechoshwa na makelele yake.
Mtu kama Fid anatoa ujumbe na nyimbo zake hazifanani mfano propaganda mbona full ujumbe lakini haifanani na sihitaji marafiki japo ana sttle yake ya ku flow lakini style ya kuflow haimaanishi mtu atumie same melody.
Roma amenikumbusha jebby.
 
mi imeniuma sana kwnz ye alipata ngp maana angekua T.O tungemjua dharau hizo broo tutaona huyo Ivan wko atapata ngp malipo ni dunian
Huyu Roma mwenyewe alichemka Form six,akaenda ualimu wa Voda Fasta,alikua anafundisha njia ya kwenda Horohoro
 
Mkuu @mdengereko wewe ni muungwana kabisa na kushukuru kwa hilo.

Kwani tumekubaliana mimi na wewe kuwa kuweka matusi hakukuwa na msingi na alichemka.

Kwa swala la melody uoni linachangia kuonekana naimba kilekile na nyimbo zinakuwa na radha inayo fanana kila leo?

Mkuu huoni kuna haja ya Roma kupata mtunzi mzuri wa melody?

wewe sikiliza melody sisi tunasikiliza ujumbe wa maneno yaliyomo,
kwani wacheza viduku ndio wanataka melody hao hawajali ujumbe ni kurukaruka tu
 
Wakati Roma anatoka nilimkubari sana, kuna baadhi ya nyimbo alikuwa anabadilika kimelody na kuna wimbo flani kashirilishwa na kala jeremiah mke kaghani vizuri pia.
lakini siku zinavyokwenda nikaja gundua jamaa anaimba kitu kile kile kwa style ile ile ikawa inaniboa hata kusikiliza. Mfano mziki wake wa 2030 mimi niliona ni makelele hakuna mpangilio wowote kuanzia beat na yeye anavyoimba kama makelele tu.
Lakini kama kawaida ya kipendacho roho kuna watu hawataki kukubari ukweli wanakupa hadi mifano ya eminem lakini mbona eminem anabadilika wimbo wa I am not afraid haufanani na the way you are wala cleaning up my closet.
Roma anapotea na ndiyo ukweli na mwisho wa siku mtakuja sema kapotezwa na clouds kumbe maskio ya watu yatakuwa yamechoshwa na makelele yake.
Mtu kama Fid anatoa ujumbe na nyimbo zake hazifanani mfano propaganda mbona full ujumbe lakini haifanani na sihitaji marafiki japo ana sttle yake ya ku flow lakini style ya kuflow haimaanishi mtu atumie same melody.
Roma amenikumbusha jebby.

mpoto ananata na bit.
Ktk i'm not afraid pia eminem kapiga mikele.
 
kama hujui mambo uliza mkuu usaidiwe na sio mkurupuko!
Aliyekwambia roma sio mkristu nani?roma ni mkatoliki pure!
Ila ukweli lazma usemwe

hahahhahahahahahahaah sasa mnabishana nae au?? ashahojiwa na akasema yy ni muislam tena ilikua kipindi cha ramadhani na akasema kafunga ramadhani, infact wengi wanajua roma ni mkristo lakini ni mwislam hata kirefu cha roma ni majina ya familia yao yani yeye na ndugu zake, ramadhani omary etc etc fanya research kabla ya kukurupuka....:majani7:
 
"...nina msimamo kama mugabe kwenye mambo yakis**..."

huyu ny*ko anajua, daaaaah!!!
 
Back
Top Bottom