elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
mpoto ananata na bit.
Ktk i'm not afraid pia eminem kapiga mikele.
Mpoto yeye anaghani mashairi ndiyo maana yeye huwezi sema anaimba hip hop wala bongo fleva wala takeu yeye ni mshairi na ndiyo maana ana tuzo ya mshairi bora.