Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

Mi nawashangaa sana wasanii, hakukua na haja ya ROMA kuweka maneno ya kubinya mapumb* kwenye huu wimbo! ni matamshi ya kijinga ambayo yanakupunguzieni credit tu na mtu mzima hawezi sikiliza wimbo wenye upuuzi ka huo! Yani Diamond and the like wataendelea shine coz hawaweki maneno ya kipuuzi yasiyofaa tamka kwa public ovyo ovyo kama alivofanya ROMA.. ROMA is losing...please edit ur song and omba msamaha kwa mashabiki wak

Sikujua kama ROMA NI MJINGA KUFIKIA KUWEKA MATUSI KWENYE WIMBO.
HANA JIPYA KILA LEO MALODY HILE HILE.

HIVI ROMA HANA MELODY NYINGINE? KINACHO NI KERA ZAIDI NI KITENDO CHAKE CHA KUPIGA KELELE HATA PASIPO HITAJIKA.
 
haha poor thinking!basi mwekee bit na godwin gondwe na salumu mkambala nao watoke!

mkuu jibu nilicho andika hao unaon wataja walichagua kutangza ,sisi tunamjadili aliye penda muziki.
Hao ulio wataja hawahusiani na mada kabisa.
 
huwezi elewa hiphop kama hujui mziki na hupendi kuumiza kichwa chako kufikiri,kwa jinsi nilivyofuatilia comment za watu hapa nimeona wengi ni chuki binafsi tu kumponda roma yaani bongo kila msanii hakosi maadui ukija kwa diamond wanamponda sijui nyumba yake hamalizi kujenga ukija kwa huyu roma anaefanya mziki wa tofauti kabisa nae unasikia wanasema eti kafulia hawezi toka tena huyo kaamua kufanya rap siasa so usitegemee wala yeye hategemei kupata show za nje coz anazungumzia siasa za bongo,kiukweli namuelewa sana roma na hii kkk ni bonge moja la pini hasa verse ya pili ndo kaua mbaya na yule jamaa aliyemshirikisha nicozola naye kamaliza kila kitu.

mkuu kuna utofauti wa melody kwenye wimbo wa mwaka jana na mwaka huu kutoka kwa roma?
Mkuu swala la mtu kushindwa kuimba na kuishia kutukana unalionaje?

Tuna mjadili roma kwa sababu tulitegea zaidi ya hiki kutoka kwake.
Mimi binafsi nlijua hipo siku roma anaweza kuishiwa cha kutunga lakini si kufikia kutukana.
 
ila mbona yy pia muislamu! Sema anajaribu kuonyesha ukwel kwa kla anachokiimba...ukifatilia hata R.O.M.A kama jina lake ni vifupisho vya majina ya ndugu zake ambao ni waislam kuna OMARY,MAIMUNA n.k

Ndo kawadanganya hivyo pitia page yake ya fb upate wasaha wa kumuuliza hayo maswali hata twitter pia Roma a.k.a baba Ivan ni Mkatoloki kama anavyojiita na December mwaka jana alimbatiza mwanae huyo mkoani Tanga
 
huu uzi unaendelea?!..kweli roma anawatia stress raia!wazee wa mixtape,wazee wa kilinge daily wanatoa ngoma wanasikiliza wao na washkaji wao na kulazimisha raia wanunue ila mkali roma kadondosha msiba mitandao na redio zote kaacha gumzo!!!!......roma ni msanii pekee wa hip hop ambaye unaweza ukaacha afunge show na raia wakabaki kumsubiri!..........washkaji zenu wa kilingeni wataendelea kuwa wafungua show yaani utangulizi au kuimba msasani club kuwaimbia wasanii wenzao!....askari wangu roma alichokosa yeye ni muonekano na kutupia pamba zikamkaa ila katika kinasa huyu mtu ni zaidi ya msiba!muulizeni kaka yenu Fid Q,au nassib abdul!kama hao wako mbali basi muulizeni IZZO B aibu aliyoipata DAR LIVE alipothubutu kutaka kutunishiana misuli na roma kwenye mic akidhani mic ni kuvaa masweta kwenye joto au kuvaa miwani stejini
 
na wewe kusanya matukio uende ukarekodi!
Tatizo la mitz ni kujua kila kitu,fanya wewe kama unaweza

kwani me msanii? ila nakubali kukosolewa kwenye proffessional yangu nikajirekebisha so nayeye aache kutuimbia taarifa za habari hata akina prof j wananyimbo nzur za kujifunza.
 
MI SIMKUBALI ROMA KWA SABABU ANAKATABIA KAKUKOSOA WAKRISTO NA VIONGOZI WAO HUKU YEYE AKIWA SI MKRISTO
MBAYA ZAIDI ANAJIITA roma MKATOLIKI, so he is fake!! kwanini asivae nafsi yake?? kwa nini atoke kwa mgongo wa watu wengine??

Una uhakika kuwa si Mkristo yani wadandia treni utawajua tu.
 
huu uzi unaendelea?!..kweli roma anawatia stress raia!wazee wa mixtape,wazee wa kilinge daily wanatoa ngoma wanasikiliza wao na washkaji wao na kulazimisha raia wanunue ila mkali roma kadondosha msiba mitandao na redio zote kaacha gumzo!!!!......roma ni msanii pekee wa hip hop ambaye unaweza ukaacha afunge show na raia wakabaki kumsubiri!..........washkaji zenu wa kilingeni wataendelea kuwa wafungua show yaani utangulizi au kuimba msasani club kuwaimbia wasanii wenzao!....askari wangu roma alichokosa yeye ni muonekano na kutupia pamba zikamkaa ila katika kinasa huyu mtu ni zaidi ya msiba!muulizeni kaka yenu fid q,au nassib abdul!kama hao wako mbali basi muulizeni izzo b aibu aliyoipata dar live alipothubutu kutaka kutunishiana misuli na roma kwenye mic akidhani mic ni kuvaa masweta kwenye joto au kuvaa miwani stejini

mkuu mbona huja zungumzia hoja hata moja ambayo tunaisema hapa?
Ni kweli Roma ana melody moja?
Ni kweli Roma hawezi kuimba mpaka apige kelele?
Ni kweli Roma alikosa cha kuandika mpaka akaweka matusi?
 
kwani me msanii? Ila nakubali kukosolewa kwenye proffessional yangu nikajirekebisha so nayeye aache kutuimbia taarifa za habari hata akina prof j wananyimbo nzur za kujifunza.

hakika umenena alaf swala la kutumia melody moja
 
Mkuu siyo lazima umkubali ila unaweza kumkosoa so go ahead with wrong critics.

Sikujua kama ROMA NI MJINGA KUFIKIA KUWEKA MATUSI KWENYE WIMBO.
HANA JIPYA KILA LEO MALODY HILE HILE.

HIVI ROMA HANA MELODY NYINGINE? KINACHO NI KERA ZAIDI NI KITENDO CHAKE CHA KUPIGA KELELE HATA PASIPO HITAJIKA.
 
weka singo yako tuone,usijifanye unajua!acha uboya

mkuu Dullysyks, mie sio msanii,so siwezi toa singo...mie ni shabiki tu kama nyinyi......ila kama kuusema ukweli ambao hautaki kuusikia eti kisa unamzimia sana roma ninakuwa boya basi wacha niwe ivyo.
 
Kama unashabikia Ujinga,na unaonywa Hutaki Unajidai
Kiburi!

Utaitwa tu Mjinga!

Ndio,
Nami nasema uitwe tu,maana hakuna jinsi.

Uitwe tu!

Ok,naona umeshinda shindano letu,sasa tuma salam kwa watu watatu uwapendao!
 
Kiboko


Labda nirudi darasani kukufunza wanaume wanavyojibu ishuz......roma ni mchovu,alibahatisha akapata jina,,,watu wakamwamini but anazidi kuwadisapoint ,,,,sasa ameshindwa kumaintain..mlichosubiri hamjakipata sasa mmebaki kumuonea huruma....mnaona kama sie tulioamua kusema ukweli kama vile tunamkwamisha ingawa ukweli mnauona...hajateleza ndio anapotea kama bado hamuamini.......subiri upepo wa 'singo mpya' upite ndio utanielewa
 
Last edited by a moderator:
Chuki binsfs tungeni za kwenu tuwasikie...jamaa amejitaidii....au mlitaka aimbe nyimbo za mapenz kama mashoga wale wanaojichubua? Usipo sikiliza nyimbo za roma atakuja sikiliza mtt wako
 
Kiboko


Labda nirudi darasani kukufunza wanaume wanavyojibu ishuz......roma ni mchovu,alibahatisha akapata jina,,,watu wakamwamini but anazidi kuwadisapoint ,,,,sasa ameshindwa kumaintain..mlichosubiri hamjakipata sasa mmebaki kumuonea huruma....mnaona kama sie tulioamua kusema ukweli kama vile tunamkwamisha ingawa ukweli mnauona...hajateleza ndio anapotea kama bado hamuamini.......subiri upepo wa 'singo mpya' upite ndio utanielewa

mimi nilichosubiri nimepata.tena zaidi ya nilivyotarajia.
 
Last edited by a moderator:
MI SIMKUBALI ROMA KWA SABABU ANAKATABIA KAKUKOSOA WAKRISTO NA VIONGOZI WAO HUKU YEYE AKIWA SI MKRISTO
MBAYA ZAIDI ANAJIITA roma MKATOLIKI, so he is fake!! kwanini asivae nafsi yake?? kwa nini atoke kwa mgongo wa watu wengine??

kama hujui mambo uliza mkuu usaidiwe na sio mkurupuko!
Aliyekwambia roma sio mkristu nani?roma ni mkatoliki pure!
Ila ukweli lazma usemwe
 
mkuu mbona huja zungumzia hoja hata moja ambayo tunaisema hapa?
Ni kweli Roma ana melody moja?
Ni kweli Roma hawezi kuimba mpaka apige kelele?
Ni kweli Roma alikosa cha kuandika mpaka akaweka matusi?

kunya anye kuku.....!
Akitukana ney wa mitego,madee,chid benz na kalapina sawa tu ila R.O.M.A .......na mtabana papuch.i sana tu lakini jamaa atawashika tu
 
mkuu Dullysyks, mie sio msanii,so siwezi toa singo...mie ni shabiki tu kama nyinyi......ila kama kuusema ukweli ambao hautaki kuusikia eti kisa unamzimia sana roma ninakuwa boya basi wacha niwe ivyo.
Tatizo watu hawataki kusikia ukweli hta kama una wauma.

Wanafikiri tuna chuki na Roma kumbe hakuna.
Mimi nilishakuwa mshabiki wa Roma lakini kuanzia mwaka jana na mwaka huu sijaona jipya.

Yani melody moja kila nyimbo
Alaf ameweka na matusi kunogesha wimbo tukisema watu wanaona chuki binafsi.
 
Back
Top Bottom