Jamaa kachukua changudoa
kaingia nae gest. Katikati
ya shughuli changu kapiga
ukelele na kuzimia. Wakati
jamaa kapanik hajui afanyeje
simu ya changu ikalia,
jamaa akapokea..
SAUTI: Haloo sikiliza huyo demu
uliyemkaba mpaka
akazimia ni mtoto wa Mzee
mmoja mjeshi, akifa
utaipata
JAMAA: Lakini mie sijamfanya
kitu, ilikuwa ni
mambo yetu tu
SAUTI: Sawa hiyo stori
utawambia polisi ngoja
niwataarifu
JAMAA:Ngoja kwanza rafiki
nisaidie hii ishu
SAUTI:Ntumie laki tano, tena
naweza kukusubiri hata
uende ATM,unajua mie ni mfanya
biashara sina
haraka.
JAMAA: Sikiliza hata mie ni
mfanya biashara,
nawajua jamaa wachuna ngozi,
nikiwauzia mwili fresh
kama huu watanilipa milioni
mbili we utachukua
milioni yako safi..........g hafla
changudoa akazinduka
CHANGU: Mshenzi mkubwa nani
achunwe ngozi