Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

mi ananiboa anavyouponda uislam ye anazani mashabiki wake ni wakatoliki pekee, aende wakamlawiti kabisa

ila mbona yy pia muislamu! Sema anajaribu kuonyesha ukwel kwa kla anachokiimba...ukifatilia hata R.O.M.A kama jina lake ni vifupisho vya majina ya ndugu zake ambao ni waislam kuna OMARY,MAIMUNA n.k
 
mziki unataka ujiamini....huyu bingwa roma ninapomkubali mimi hanaga papara kutoa wimbo mara kwa mara!anakaa chimbo mwaka analeta msiba anazama tena chimbo akija anakuja na pini la dakika 6 au 7......siyo kama mwanangu kina izzo kila wiki wimbo mpya tena wa dakika 2 anaogopa unaweza kosa airplay
 
Awe anapangalia mistari na jinsi anavyoimba,yaan ni kelelee tu maneno yake ni mazuriii
 
ila mbona yy pia muislamu! Sema anajaribu kuonyesha ukwel kwa kla anachokiimba...ukifatilia hata R.O.M.A kama jina lake ni vifupisho vya majina ya ndugu zake ambao ni waislam kuna OMARY,MAIMUNA n.k
ni
Ryms Of Magic Attraction(R.O.M.A)
 
Jamaa ana ujumbe mkali sana,huwezi fananisha na hao wazee wa nje ya boxer,playboyer,miss business n.k
 
Na hawezi kupata shows za njee (hata hapo kwa majirani zetu) coz watu hatomuelewa....
Mfano nani ktk nchi hizo anae jua veta au kibonde sijui nini...yaan hua anaimba msmbo yaahapa hapa alafu ni yenye msimu.
Muimbaji mzuri inabidi utunge mashair yatakayo ishi muda mrefu na bila kupitwa na wakati!

unajua kazi za msanii?
Wengine mnakurupuka tu dah!
Sasa marekani wana shida gan?yani kwako kunaungua wewe unaenda kuzima kwa jirani?
Ya marekani wapo kina jay z,t.i,eminem n.k watayaongelea na ya tanzania wapo kna roma wanayazungumzia
 
ila mbona yy pia muislamu! Sema anajaribu kuonyesha ukwel kwa kla anachokiimba...ukifatilia hata R.O.M.A kama jina lake ni vifupisho vya majina ya ndugu zake ambao ni waislam kuna OMARY,MAIMUNA n.k

you are wrong ma dia roma ni mkatoliki pure labda hao ndugu zake
 
WATZ SJUI TUPOJE SOMTYMS???

tangu rapa aitwaye R.hymes O.f M.agic A.ttractions au ‪#‎R‬.O.M.A alivotoa wmbo wake K.K.K nmegundua
‪#‎Kwanza‬ ndo msanii ambaye anavotoa wmbo watu huisubiria kwaham na kwa attention kubwa kuliko msanii yeyote Tz
‪#‎pili‬ kuna watu wanamu-overcriticize xana uyu jamaa na vng wanavomdis ata havstaili kudisiwa yaan tunamdis tu bilapoint yamaana.
Wametoa nymbo akna Sheta,AY, FA,Izo B, Shilole, Mr Blue etc ila sjaona wakidisiwa kama ROMA japo anaimba vitu vyenye "sense" kuliko hao hapo juu, nmejiulza kwann inakuwa hiv na spat majibu. Kwaiyo mnabagua wakudis!!
.
ANYWAY IKO HIV

Muzk wa Hiphop una genre kadhaa e.g Hardcore hiphop, Horrocore ,gangstar hiphop, gospel hiphop e.t.c ila nataka nzungumzie matawi mawil tu, ‪#‎POLITICAL_HIPHOP‬ na ‪#‎CONSCIOUS_HIPHOP‬ kwanza mizk yote 2 inaendana na yote inalenga zaid kuu-challenge mfumo uliopo wa utamadun,siasa, falsafa na uchumi, kiufup sio lazma ubez ktk siasa tu ata kuelezea mambo yakijamii, kukemea maovu na kuwatetea watu wa kpato cha chn.
‪#‎MALENGO‬ YA POLITICAL/CONSCIOUS HIPHOP ni ‪#‎Kuitaarifu‬ na ‪#‎kuiabarisha‬ jamii matatzo na Issue mbalmbal na jamii ijaj yenyewe bila msanii kuforce mawazo yake yy ndo yafanyiwe kaz bal wananch ndo watengeneze opinions wao baada ya kufumbuliwa macho na msanii/emcee kuusu ktu flan
N.B: political na conscious hphp hazna tofaut ila labda ni v2 vdogo kama mdundo, Conscious hiphoP<C.P> song inatumia bit nyepes xana e.g Siri ya mchezo[FID Q] akat Political Hiphop <PH> song mara &#8234;#&#8206;nyng&#8236; zna "militant fashion" afu mara nyng msanii anakuwa amebez zaid ktk socio-political issues xana anakuwa kama ana ideology eg Marxism, socialism, libertarian e.g KRS1 na Individualsm e.t.c.<kasomenizaid>
Utagundua kila nymbo ya P.H ni nymbo ya C.H ila sio kila nymbo ya C.H ni ya P.H

N.B SIPO HAPA KUMTETEA ROMA ILA NATAKA KUWAONYESHA VNG MNAVYOMPONDA NI VYA &#8234;#&#8206;KPUMBAVU&#8236; KAMA IFWATAVYO;

1.Et "ANAIMBA VTU VNG KTK NYMBO kwaiyo haelewek anaimba nn!"
point mbov xana hii.
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=kwanza]#kwanza [/URL] hakuna kaz ya fasihi e.g hadith,tamthlia, na nymbo za hiphop zenye dhima/theme moja.Juz akat anatambulisha iyo ngoma pale Magic fm ROMA alisema KKK ni kama anawakarbsha ktk kalam wale wananch wanaopenda kumfwata aeleze tatzo flan ktk nymbo zake na ktk iyo kalam ndo wanadiskas ayo matatzo so apa katmiza malengo ya Political/conscious hiphop

2.Et "ROMA ANAIMBA TAARIFA YA HABARI". sizan kama taarifa ya habar inaimbwa ila anachofanya ni &#8234;#&#8206;kuipasha&#8236; habar jamii kuptia midundo juu ya matatzo yao kama defnition ya P.H na C.H inavomtaka msanii kuipasha habar jamii

3.ANATUMIA MANENO MAKALI. Jana nliptia wall ya msanii mmoja toka Tamadun ambaye kwa cku 2 mfululzo anatumia kumchambua Roma na akasema wasanii kutumia maneno makali haitakiw ktk mzk akmlenga zaid Roma.Yap ni kwel Roma kakosea lakn kwann Roma tu!!! nashukuru kuna mdada alikuja kumuumbua uyo jamaa akamwambia uyo jamaa kuna nymbo katoa ina maneno makali. nami nkamuuliza mbna Tz hakuna wasanii wanaotoa maneno makal kama One na Nii Mbsh alonao "kund moja" Tamadun, au kwann hawasemi Kalapna na Hashm wanaoweka matus yaloptlza na bado wanaamin hakuna kama Hashim Tz?? Kwawanahiphop wa mbele waskzen Geto boyz nymbo ya Point of No return hawakuogopa kuitukana serkal yao ya US,vyombo vya habar e.t.c kwa matus makal
sana, je huwa mnazdis nymbo kama hiz au mnazsfia tu kwa7bu ni wasanii tuwapendao!

4.K.K.K=KARIBU KWNY KILINGE
Wapnzan wakubwa kumponda Roma kwaxaxa ni fans&wasanii wa Tmadun na wameamua kuirefusha KKK waijuavyo wao tofaut na Roma.
huku wakmtaka audhurie kwny kilinge!
Najiulza kwann msiwaalike wasanii e.g Diamond au Dully,Darasa,Stamina kwann mnamwandama Roma,mmemganda kila cku aje kilingen??

5."ROMA ANAPGA MAKELELE TU" -haiitaj uwe na akil nyng ujue diss hii ni chuk tu co diss yenye point kmzk

6."ROMA ANAUNGAUNGA MISTARI"
Na hii inaongelewa kwa 7bu anaimba v2 vng ndan ya wmbo mmoja had wa2 wasoujua mzk wa Hiphop wanadhan ni vbaya wmbo kuongelea matatzo meeeng ya wananch. Ebu chekn nymbo ya &#8234;#&#8206;Why_rmx&#8236; ya Jadakis ft Common, Nas, styles P.2004 iyo. Ukchunguza kila msanii anahoj mambo meng xana hasa dhid ya serkali e.g Common anasema
"Why we build more police station than schools?,
why I gotta have a religion if i believe in God?
why is Bush acting like he is trying toget Osama?
Why dont we impeach him and elect Obama?...
Kwaiyo kwaakil zenu fup Common aliungaunga mistar apa?? Kama hakuunga kwann ukmblie kumdis Roma

N.B
-Siwakataz kumkosoa ROMA nataka mnapomkosoa muwe na point ya maana na kwann ukosoaj unaenda kwa Roma sana!!! Hapo ndpo mwanshangaza
-nmeandka hii posts co kama mshabk wa Roma! hapana nmeandka baada ya kuona unafik umezd iv hamuon kama tunamvunja moyo kjana mwenzetu aleamua kushka mic na kuimba matatzo au mnataka abane pua kama Barnaba ili msimponde?? Mi ni mshabk mkubwa wa Tamadun muzik na wik ilopta hum fb nmemsfu xana NIKKI MBISHI ktk birthday yake na kusema ni naamin Nik ni the most talented MC Tz na nshaponda wanaomdis STEREO hafany hiphop kisa kaimba mapenz
 
Si kila aliepata zero ni zezeta ata kama alikua anatafuta vina ila kumuita aliepata zero ni zezeta si sawa. Hao anaowaita mazezeta ndio mashabiki wake mfyuuuu sielewi huwa anaimba nini

ulipata 0 nini?mbn povu?
 
Nilikuwa simkubali Roma but kupitia huu wimbo mpya nimegundua sina sababu ya kutomkubali kwavile anachokifanya ndicho Hip hop inatakiwa ifanye.Jamaa ataendelea kuwa juu hata mkiminya mapu.....
 
Nipo kwenye boti yake,bahati mbaya sana au nzuri sana ni kwamba hamna hata watu wangu wa karibu waliowahi kukubali wasanii wa hip hop ninaowakubali,big up kwa ROMA,MAPACHA,FANANI,KALAPINA,SOLO na WATENGWA
 
Back
Top Bottom