darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,337
- 18,415
Hizi ndio Aina za wanawake wanaojenga kwa Siri
1:Ukiona nyumbani kwako ndugu zako
hawaji. Umefitinishwa jua huyo mwanamke ni wale
wanenwao hapa.
2. Umeishi vizuri na wazazi wako lakini mwisho baada ya ndoa unaona wazazi wako wanakuroga na wachawi. Zinduka braza!
3.Safari zake kwa waganga haziishi.Jua umeoa mshirikina. Weka tahadhali.
4.Anakusema vibaya pembeni kwa kebehi au kejeli. Jichunge.
5. Wanasema wengi wanawake wa kanda hiyo ni wapenda Mali na pesa' kuliko utu' hasa wakiolewa na kabila nyingine. Kuwa mjanja.