HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,316
- 103,577
mimi ni mwanaume ilaa tabia tulio nayo wanaume wa sasa ni heri wana wake wakajiongeza kwa kweli tabia yete imekuwa mbaya mnoo
Mtu muongo lazima awe na hasira sana, ukweli hauhitaji nguvu kuaminisha watuSiku hizi unakasirika haraka sana
Hujakosea popote bana
Una uhuru wa kuchangia popote
Umekuwa ka pilipili jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli hauhitaji nguvuHivi ulimnyimaga nini? Several times naona kakukalia kooni[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sio mara yake ya kwanza au ya pili! Anikome kbs yaan! Akamfanyir mamake
Sioni kosa mke wangu akijenga kisirisiri, kwani akifariki Mali si zitakuwa za watoto nliozaa nae.. Dinazarde
Mtu muongo lazima awe na hasira sana, ukweli hauhitaji nguvu kuaminisha watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo sio ya siku hizi, ukiona wadada wa siku hizi wanafanya ujue wamekuwa trained.Haya mambo yameanza si miaka mingi sana iliyopita
Kuna kisa kimoja nakijua jamaa alikuwa na biashara yake na mke wake akimsaidia pindi anapoendea mzigo mpya
Siku moja akaijiwa na jamaa wawili na kumkuta mwenye duka yupo dukani peke yake
Wakamuuliza mama Fulani tumemkuta?
Jamaa akawaambia hayupo amesafiri kaenda kwao
Kwa hasira wakageukiana na kusema sasa itakuwaje
Kabla hawajaondoka jamaa akawauliza kwani kuna shida gani
Wakamwambia usijali
La ikabidi awabane na kusema lazima mniambie kuna nini baina yenu
Mwisho wakamwambia tumepungukiwa misumari ili tumalizie bati
Wapi?
Kwenye nyumba yake
Iko wapi?
Twende
Mwisho wake ulikuwa mbaya
Sent from my iPhone using Tapatalk
Haya mambo sio ya siku hizi, ukiona wadada wa siku hizi wanafanya ujue wamekuwa trained.
mama mkwe wangu alijenga nyumba kisiri siri, siku mme mme wake anakuja kuambia akaenda kumuuliza ukatokea ugomvi
nyumba imefikia kwenye renta na akasitisha ujenzi toka siku hiyo.
hiyo ni mwaka 1990, mpaka leo nyumba imekuwa pagala. yule mama hagusi pale lakini mji mzima unajua ni nyumba yake.
Umenitahadharisha kwa hawa walinzi wetu wa nyumba......nafanyia kazi!Awali nilikuwa nikisia kama simulizi flani, lakini kuanzia miaka ya 2015 mpaka sasa, nime shuhudia na kuthibisha hizi taarifa za wana ndoa kujenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua kuwa ni za kweli.
Wengi katika hawa nilio waona ni wanawake, kwani Kupitia hizi saccos au vikoba wana kopeshana huko na kuingia kwenye huu uwekezaji.Nimeona kwa majirani, nimeona kwa marafiki, na nimeona kwa kampuni zinazo uza maeneo kwa mikopo.Wana nunua maeneo/viwanja kwa mikopo na wanalipia kidogo kidogo bila mume kujua.
Pia kuna hili la waangalizi wa nyumba (walinzi) kuwa wamiliki wa nyumba baada ya wenye nazo (walio jenga kwa siri) kufariki.
Je sababu ni nini?
1. yawezekana ndoa za sasa hazina utulivu kiasi watu wana amua kujihami?
2. Yawezekana ni kutokana na mwanamke kuwa ni mtafutaji na yeye?
Yawezekana hata wewe unajua sababu kadhaa wa kadhaa, ebu tushirikishane. Kuna mtu anaweza saidika...
Karibu
Maisha ya ndoa siku hizi ni kizungumkuti, watu wanafanya harusi tu(maana hawaoani) baada ya hapo kila mtu ana lake kichwani.
Kweli kabisa.
Na hakuna usawa kati ya viumbe hao wawiliMwanamke (Hawa/Eva) aliihalifu amri ya Mungu kwa siri.
“Once made equal to man, woman becomes his superior.”
― Socrates