Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Mwanamke kujenga nyumba kwa siri inategemea na tabia za mume wake, unakuta mwanaume hamshirikishi mkewe Katika kitu chochote, hata kadi ya bank hajui namba zake za siri, hata simu Ina password mda wote Anna miradi msingi lakini hajWah kumuonyesha mkewe, hata sehem anapofanyia kazi mkewe hajui, hivi kwa nn huyu mwanamke asifannye na yy mambo yake kwa siri? Ikitokea wamegombana na mumewe c a napata PA kukimbilia na watoto? Mi nawaheshim sana wanawake wa namna hii aise

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama sakayo alivyosema hakuna bila ya sababu!nasema hakuna!
 
Kama siyo mwizi wala sitamuuliza kitu, tena naweza mpa zawadi ya nyumba nyingine ziwe 2. Ila nadhani wengi wanaofanyiwa hivi ni ile mianaume chapombe isiyopenda maendeleo ya familia, wao ni pombe na vimada

Sent using Jamii Forums mobile app
Tembea uone acha kuhisi Mimi mjomba wangu amejaaliwa Mali anaijali familia yake na amejenga nyumba mbili nzuri tu na mkewe anajua ila mkewe kaenda kujenga kwao kwa siri baada ya kumaliza ujenzi magombano ndani ya nyumba hayaishi mwanamke anataka kuachana naye wagawane Mali mjomba kwenda kwao kusuluisha kwa wazee wake wakamwambia huwezi kukanyaga kwenye nyumba aliyojenga mwenetu mjomba alilia sana hadi Leo hayuko sawa familia imeparaganyika mwanamke yuko na mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia kinywaji gan mamy!
Asbh ya leo wifi yangu ghafla ananiambia habari hizi .!wifi kumbuka kujenga nyumba yako🤣! Imagine wifi anakuambia hvyo😆😆😆! Niliishia kucheka nikakumbuka na jf kuna mada km hii!lahaulaa!
Smirnoff iceee mamiiii🥰
 
Kazaa nje kwa mfano au anachepuka umejua?
Humo ndani hata maongezi yapo?.sembuse ya kusema unajenga!
Tatizo lenu mnajistukia sana, kuzaa nje wanaume hawajaanza leo, wanawake mkiolewa tu mnaanza kuwaza urithi na mkishazaa ukasikia jamaa anamtoto nje ndo mnachanganyikiwa kabisa unaona urithi utapungua unaanza vituko.
 
Ishu sio urithi nyie..issue ni mapenzi kukosekana kwny familia na dharau na resources kupelekwa kusikojulikana
Ni fedheha kubwa sana..
We mkeo akizaa na another man utajiskiaje?.
 
Ishu sio urithi nyie..issue ni mapenzi kukosekana kwny familia na dharau na resources kupelekwa kusikojulikana
Ni fedheha kubwa sana..
We mkeo akizaa na another man utajiskiaje?.
Mapenzi hayakosekani tatizo la wanawake wanataka kujua kila kitu cha mwanaume wakati ya kwenu mnaficha, ndo maana nikakwambia kama unajiamini kwanini usimwambie kuwa unajenga nyumba au umenunua kiwanja au umefungua duka, saloon nk?
 
Sina shida kusema mana najali welfare ya familia..

ila sitosema pale ninapojiridhisha beyond reasonable doubt kuwa mwenzangu umeweka pembeni maslahi mapana ya familia yetu
Mf:usaliti na dharau waziwazi nk
 
Sheria zetu watanzania zinawabeba sana wanawake hasa mwanume anapokuwa mfanyakazi na mke hana kazi pindi wanapoachana,kwa hiyo kama wewe mwanaume unafanya kazi ni bora ukafanya hivyo ili siku mkiaachana usiumie sana katika mgawanyo wa mali,maana haiwezekani pesa unatafuta wewe na kufanya kazi za hatari halafu mgawanyo unakuwa pasu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kujenga nyumba kwa siri inategemea na tabia za mume wake, unakuta mwanaume hamshirikishi mkewe Katika kitu chochote, hata kadi ya bank hajui namba zake za siri, hata simu Ina password mda wote Anna miradi msingi lakini hajWah kumuonyesha mkewe, hata sehem anapofanyia kazi mkewe hajui, hivi kwa nn huyu mwanamke asifannye na yy mambo yake kwa siri? Ikitokea wamegombana na mumewe c a napata PA kukimbilia na watoto? Mi nawaheshim sana wanawake wa namna hii aise

Sent using Jamii Forums mobile app
True say.
 
Haya mambo yameanza si miaka mingi sana iliyopita
Kuna kisa kimoja nakijua jamaa alikuwa na biashara yake na mke wake akimsaidia pindi anapoendea mzigo mpya
Siku moja akaijiwa na jamaa wawili na kumkuta mwenye duka yupo dukani peke yake
Wakamuuliza mama Fulani tumemkuta?
Jamaa akawaambia hayupo amesafiri kaenda kwao
Kwa hasira wakageukiana na kusema sasa itakuwaje
Kabla hawajaondoka jamaa akawauliza kwani kuna shida gani
Wakamwambia usijali
La ikabidi awabane na kusema lazima mniambie kuna nini baina yenu
Mwisho wakamwambia tumepungukiwa misumari ili tumalizie bati
Wapi?
Kwenye nyumba yake
Iko wapi?
Twende
Mwisho wake ulikuwa mbaya

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hiki kisa ni cha Morogoro bila shaka.
 
Nakupia siyo lazima wanaume wawe cha pombe. Kuna mfano mmoja ninao. Mwanamme ni mtulivu kuliko utulivu wenyewe. Mwanamke kwa sasa anajenga nyumba kwa siri. Halafu ukiangalia ni mwanamke mjanja mjanja sana na anadanga kishenzi. Hiyo nyumba inasemekana kuna buzi linamjengea na hapo hapo fundi mkuu mjenzi wa nyumba naye anatoka na huyu mwanamke. Buzi linatoa gharama za ujenzi wakati fundi anajenga kwa gharama nafuu sana. Mwanamke amekuwa jeuri na anawambia mashoga zake kabisa... akiona simfai aniache...
Ndiyo maana wanauawa kwa kwakupigwa shoka kichwani kama kitimoto [emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya nyuma Yuko Mama mmoja DAS akaona ampate mwenza...ambaye ameishia la Saba mganga njaa tuu Kama Mimi ..

Kahangaika akamtafutia kazi ya ukarani mahakamani

Huyu jamaa asivyo muungwana,mshahara ukawa unaishia kwenye pombe na wanawake,akawa anazaa hovyohovyo,jioni akirudi,mke wake Ni vipigo,kaanza kuiba pesa ndani na kuuza vyombo vya ndani

Kazini akatemwa,akawa mtu wa konyagi mwitu na pombe zote za kienyeji,kiasi akawa anamuabisha yule mama,Mama kwa uwezo wake kawa anajitahidi kumkeep smart na kumnunulia nguo,yule jamaa Kama hakuziuza kilabuni ,kesho yake hizo nguo usingemtamani

DAS Mama kakubali ku write off hasara kwa mume,akabaki anaishi agano la ndoa kanisani

Kwa ajili ya future ya watoto wake na yeye mwenyewe,akaona asimshirikishe Tena kwenye mipango yake ikiwamo ya Siri,jamaa alishaharibikiwa

Kaanza ujenzi wa nyumba kwa Siri,kumbe duniani hakuna Siri,kwa ufupi nyumba ilikuja kuchukua uhai wa yule mama DAS[emoji19][emoji19][emoji19]

Apumzike kwa amani

Shukrani ya Punda mateke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom