Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Huyo baba kah
Ilikuwa ni ugomvi mkubwa sana uliosababisha kuachana na nyumba ilibidi mama akubali kuwa hela ni za mmewe
Waliamua kumuandika mtoto wao kama ndio mmiliki wa nyumba
Yaani dunia hii
Mtoto kapata nyumba hata kazi hajaanza [emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kuu ni hizo ulizozitaja.

Ila Kuu zaidi ni wimbi la wanawake wanaokimbili mahakamani kila mara kudai taraka ili wakigawana na mumewe wanakuwa na pesa za marejesho kwenye vikoba(inaweza kuwa utani lakini its true)

Pia wanaume wengi kwa sasa wanajihami sana kwa kujenga na kununua mali kwa siri au kificho ili awe na freedom of economic (yaani awe na uhuru wa kuamua niuze hiki ili kukuza mtaji au kununua kitu kingine ambacho ni cheap na cha faida)

Pia wanawake wa sasa ni majeuri sana na huwa hawafiki mbali au wanaibiwa au wanatapeliwa na mwisho wa siku wanabaki palepale.

Hata sisi baada ya kuona wanawake ameota mapembe kuna nyumba ya wote na mimi nina nyumba nyingine na viwanjwa 3 vya siri ambavyo yeye hajui.

Unajua hii ilitokea vipi?
Ninafanya biashara ghafla ikatokea deal la biashara nzuri yenye faida nikataka kuuza gari ili tuwahi deal, songombingo lilipotokea mpaka nikapelekwa polisi na vikao vya familia kibao. deal likayeyuka. Sasa ya nini shida, sasa hivi ninauza , na ninanunua uchumi wangu unakwenda kama ninavyotaka.

Yeye na vikoba vyake ana kiwanja kina miaka 10 sasa hata msingi hakina.

My take.

Wanawake acheni mashindano ninyi kwa ninyi. Muwaheshimu waume zenu. Na kama hamjui wanaume ni dhaifu mno wao wana taka wawe viongozi tu na wapewe heshima. lakini mume kabindika kabeba magunia kanyeshiwa na mvua kwenye biashara kapanda maloli leo kajenga nyumba ya familia inauzwa kwa deni la vikoba!
Mmhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ninyi mbona mnaandika majina ya ndugu Zenu badala ya watoto wenu Mwenye Mali mwisho mnadhulumiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo unaposema “nyinyi’ naona mimi simo kabisaaa
Maana nyumba yangu moja nimeishamuahidi mtoto wangu akiwa bado mdogo sana
Siwezi kuandika jina la ndugu kama nina mke na watoto na wife ana nafasi kubwa katika maisha na tunayajenga pamoja ila mali tunajua ni ya watoto tu kwani ni muhimu kujua kuna kufa na wote tunajua circle of life
Kuandika mirathi ni muhimu sana na ukiona bado umeishi tena mda unaweza kubadili jinsi unavyojisikia ila kuandika ni muhimu sana

Mmekuelewa wapo waungwana wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa zimekuwa ni sehemu hatari ya binadamu kuishi, nawahurumia tu watoto wanaopatikana kama mazao ya hizi ndoa.
 
Kuna nyumba hpa mtaani ina mwaka wa 18 huu nyumba ilipigwa hadi bati, ilibakia finishing ya vioo ila sijui kilimkuta nini mjengaji sahizi kuta zimeanguka na bati zimeisha kwa kutu....huwa nawaza nijilipue nipandishe ukuta nihamie kabisa hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute alijenga kimyakimya akafariki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alafu hakuna anaejuaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya nyuma Yuko Mama mmoja DAS akaona ampate mwenza...ambaye ameishia la Saba mganga njaa tuu Kama Mimi ..

Kahangaika akamtafutia kazi ya ukarani mahakamani

Huyu jamaa asivyo muungwana,mshahara ukawa unaishia kwenye pombe na wanawake,akawa anazaa hovyohovyo,jioni akirudi,mke wake Ni vipigo,kaanza kuiba pesa ndani na kuuza vyombo vya ndani

Kazini akatemwa,akawa mtu wa konyagi mwitu na pombe zote za kienyeji,kiasi akawa anamuabisha yule mama,Mama kwa uwezo wake kawa anajitahidi kumkeep smart na kumnunulia nguo,yule jamaa Kama hakuziuza kilabuni ,kesho yake hizo nguo usingemtamani

DAS Mama kakubali ku write off hasara kwa mume,akabaki anaishi agano la ndoa kanisani

Kwa ajili ya future ya watoto wake na yeye mwenyewe,akaona asimshirikishe Tena kwenye mipango yake ikiwamo ya Siri,jamaa alishaharibikiwa

Kaanza ujenzi wa nyumba kwa Siri,kumbe duniani hakuna Siri,kwa ufupi nyumba ilikuja kuchukua uhai wa yule mama DAS[emoji19][emoji19][emoji19]

Apumzike kwa amani

Shukrani ya Punda mateke

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh msala sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanume wenyewe walivyo mafurushi siku hizi tuacheni tu tujenge jamani. Msiumie, mbona nanyi mna yenu mengi tu ya siri na mnayatetea kwa kushupaza shingo kabisa!!![emoji134][emoji134]
 
Wanume wenyewe walivyo mafurushi siku hizi tuacheni tu tujenge jamani. Msiumie, mbona nanyi mna yenu mengi tu ya siri na mnayatetea kwa kushupaza shingo kabisa!!![emoji134][emoji134]
Unastahili shoka la kichwa na kuteketezwa na gunia 7 za mkaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanume wenyewe walivyo mafurushi siku hizi tuacheni tu tujenge jamani. Msiumie, mbona nanyi mna yenu mengi tu ya siri na mnayatetea kwa kushupaza shingo kabisa!!![emoji134][emoji134]
Naunga mkono hoja na nakazia kwa comment bora ya mwaka 2019😍
 
Back
Top Bottom