Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,658
- 33,663
wanawake wa kichaga ndio wamezidi. na asilimia 99 wanakuwa sio waaminifu kwenye ndoa, huyo sio mke timua,
Mie nakupendaga Laki Si Pesa unajuaga kuachia shuzi linabadili hali ya upepo..Lol
wanawake wa kichaga ndio wamezidi. na asilimia 99 wanakuwa sio waaminifu kwenye ndoa, huyo sio mke timua,
Hatusikii sauti lol [emoji23][emoji23]
Aisee!...kwan mm kuchangia nyie mnasumbuka wap!na nitachangia ninapopenda aisee hatununuliani bando!chuki bila sababu sijui y
Cha kujiuliza ni kwanini bado wanang'ang'aniana kuendelea kuishi pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulazimisha beef!!Aisee!...kwan mm kuchangia nyie mnasumbuka wap!na nitachangia ninapopenda aisee hatununuliani bando!chuki bila sababu sijui y
Mie nakupendaga Laki Si Pesa unajuaga kuachia shuzi linabadili hali ya upepo..Lol
Ukigundua mkeo anajenga chumba kwa siri hata usimwulize.. hata aikijua unajua usijaribu kumwuliza..
Sema mwanamke wa hivyo anaweza kukuua kwa siri pia
Sent using Jamii Forums mobile app
umbeya huu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Da rebe unajua nikicheka kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siku hizi nimekua mgomvi dada yako, nikiona watu wanataka kupigana ndio kabisaa naleta mchanga wapute! Hahaaa seriously sameheaneni bana tumalize mwaka vizuri
Chief alikudanganya.Nakumbuka tukiwa kwenye "likumbi" babu yangu aliniambia kwa kilugha "Mjukuu wangu utakuja kuoa na kuanzisha familia, tambua kwamba katika familia yako ndani ya nyumba yako utaishi na makundi mawili ya watu utaishi na ndugu zako na pia utaishi na rafiki yako. Kuwa makini sana mkeo ni rafiki yako na wanao ndo ndugu zako"
Sijawahi kusahau haya maneno. RIP Chief
Manengeleo wanakuonea wivu ndio maana wanakusakama
Achana nao bando lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, wale ma failure ndio role modal waoUmesema kweli. Labda niseme kwa mtazamo wangu chanzo hasa ni huu utandawazi hasa kuenea kwa media eg magazeti, redio, TV na internet. Hivi vitu vinafanya wanawake wengi kudanganyana na kufuata mkombo. kwa mfano yule aliyekuwa mke wa Sugu ni mpotoshaji sana na mwanamke kama hajitambui anaweza akajikuta anafuata maelekezo yake kama msukule.
Acha unafiki!....hv kwan mie kukoment imekuwa shida!haya niambieni wap niwe nakoment jukwaa zipi!mnashangaza sana binadamu !
mimi ni mwanaume ilaa tabia tulio nayo wanaume wa sasa ni heri wana wake wakajiongeza kwa kweli tabia yete imekuwa mbaya mnoo