GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,430
- 20,063
Sawa mkuu
Sawa mkuu
Siku hizi unakasirika haraka sana
Hujakosea popote bana
Una uhuru wa kuchangia popote
Umekuwa ka pilipili jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Madam manengelo punguza hasira ni Kweli kakukwaza fanya tu kumpotezea.pengine alikua anakutania wewe umechukulia siriasi,Jifunze kusamehe na kuachilia wanadamu ndivyo tulivyo kila mtu na mapungufu yake.Makwazo hayana budi kuja usikwazike chukulia poa tu.Ni Kweli kakukwaza ila potezea tu jisikie uko huru.Humu ni mtandaoni negative attitude or positive attitude azikosekani.Vitu vyengine ni kupoteza tu utakwazika na mangapi.?.maneno ni mengi yasemwayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseme hapaHivi ulimnyimaga nini? Several times naona kakukalia kooni[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mpotezee tu ni Kweli amezoea kukukwaza lakini wewe jaribu kujishusha,unapojishusha na kukaa kimya sidhani Kama ataendelea kukukwaza tena.Sio mara yake ya kwanza au ya pili! Anikome kbs yaan! Akamfanyir mamake
Mpotezee tu ni Kweli amezoea kukukwaza lakini wewe jaribu kujishusha,unapojishusha na kukaa kimya sidhani Kama ataendelea kukukwaza tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli amezoea kumkwaza ni kwanini ampotezee? Ingekuwa busara ungemwambia jamaa aache kumkwaza manengelo bila sababu.Mpotezee tu ni Kweli amezoea kukukwaza lakini wewe jaribu kujishusha,unapojishusha na kukaa kimya sidhani Kama ataendelea kukukwaza tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ili kujua nimecheka nini ngoja kupambazukeKwa kifupi ni kwamba watoto wa kike wanaubinafsi sana siku hizi. Wanataka wao wapate kile wanachotaka kwanza, ndio maana mwanamke anaweza kuanzisha mahusiano nje ya ndoa kisa tu kasifiwa ana kucha nzuri.
Mtu wa namna hiyo ukijua anajenga kwa siri, lipa watu pesa wakabomoe hiyo nyumba ikisha kamilika. Halafu kama yeye jeuri aanze tena upya pumbavu huyo.
Mtu unapambana unawekeza kila senti kwake na kwa watoto halafu yeye akipata anawekeza kwake.... Huo ni ubinafsi na uhujumu.
Marekani mtu kama huyo ukimshtukia unamshitaki ananyang'anywa hiyo nyumba unapewa wewe mwanaume na watoto wako kisha yeye unamtaliki......
Sent using Jamii Forums mobile app
Madam manengelo Kweli Leo wamekutibua sijawahi kuona ukikasirika kiasi hiki.Tunaelekea kuumaliza mwaka msamehe mwenzio unapoanza mwaka mpya uanze na mambo mapya.Hata Kama yeye hajakuomba msamaha wewe muachilie tu.Jisikie Amani kukosea kupo ndio Mana Kuna usahihi,hata penseli iliwekwa ufuto kwa ajili ya kufuta makosa.Hajakuomba msamaha wewe msamehe bure tu.Mpotezee tu.Amani na Upendo watanzania sote ni wamoja.Nijishushe kwake ndo ananipa kula!? Au anadhan mie nimemchukulia bwanake!
Madam manengelo Kweli Leo wamekutibua sijawahi kuona ukikasirika kiasi hiki.Tunaelekea kuumaliza mwaka msamehe mwenzio unapoanza mwaka mpya uanze na mambo mapya.Hata Kama yeye hajakuomba msamaha wewe muachilie tu.Jisikie Amani kukosea kupo ndio Mana Kuna usahihi,hata penseli iliwekwa ufuto kwa ajili ya kufuta makosa.Hajakuomba msamaha wewe msamehe bure tu.Mpotezee tu.Amani na Upendo watanzania sote ni wamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh jamaa mwenyewe naona Yuko kimya hata sioni sehemu alipo jibu mpaka saizi kamkwaza mwenzie harafu katulia tu Kama vile hayupo online.Kama ni kweli amezoea kumkwaza ni kwanini ampotezee? Ingekuwa busara ungemwambia jamaa aache kumkwaza manengelo bila sababu.
Duuuh jamaa mwenyewe naona Yuko kimya hata sioni sehemu alipo jibu mpaka saizi kamkwaza mwenzie harafu katulia tu Kama vile hayupo online.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ukali wa maneno madame,daaah yaaan kusuruhisha ugomvi wa wanawake kazi ngumu Kweli.[emoji848]hata sijui nianzie wapi na niishie wapi.?Ninarudia tena..sio mara ya kwanza hii!yaan mtu usikoment unachojiskia !aafu mm napenda sana utan lakini sipend mtu anipangie maisha hum!
Yaan km kaachika apambane huko huko!mie sijamchukulia bwana!!
Ujue mie sio mswazi..sipend kbs ujinga ujinga! Sijamkoseaga lakini kuutwa kunifata fata bila sabbu!anikome!sijawah muomba hata ped!kama kaishiwa pedi aseme!
Punguza ukali wa maneno madame,daaah yaaan kusuruhisha ugomvi wa wanawake kazi ngumu Kweli.[emoji848]hata sijui nianzie wapi na niishie wapi.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku wakishaharibu wanakuwa na stress na hatima yake wanakimbilia dating sites Kama Badoo,Tinder,Hitwe kutafuta wanaume!Sahihi kabisa mkuu, wanawake siku hz wanadanganyana na kutiana ujinga kwenye magroup yao mbali mbali. Mwanamke anachukua experience ya mtu mwingine hata Kama alikuwa hafanyiwi vitu vibaya, na kujipa yeye, huwa wanaji victimize hata Kama ndani kwake kuko poa. Siku hizi wanatundishana na ku embrace u single mother kuliko namna ya kudumu kwenye ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app