Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Wanume wenyewe walivyo mafurushi siku hizi tuacheni tu tujenge jamani. Msiumie, mbona nanyi mna yenu mengi tu ya siri na mnayatetea kwa kushupaza shingo kabisa!!![emoji134][emoji134]
Sister wangu anajenga nyumba kimya kimya maana mumewe zipu haifungi akipata pesa anachojua ni starehe na michepuko
 
Sister wangu anajenga nyumba kimya kimya maana mumewe zipu haifungi akipata pesa anachojua ni starehe na michepuko
Safi, ndo kilichobaki. Maana ukicheka na nyani unavuna mabua.
 
Kwa kifupi ni kwamba watoto wa kike wanaubinafsi sana siku hizi. Wanataka wao wapate kile wanachotaka kwanza, ndio maana mwanamke anaweza kuanzisha mahusiano nje ya ndoa kisa tu kasifiwa ana kucha nzuri.

Mtu wa namna hiyo ukijua anajenga kwa siri, lipa watu pesa wakabomoe hiyo nyumba ikisha kamilika. Halafu kama yeye jeuri aanze tena upya pumbavu huyo.

Mtu unapambana unawekeza kila senti kwake na kwa watoto halafu yeye akipata anawekeza kwake.... Huo ni ubinafsi na uhujumu.

Marekani mtu kama huyo ukimshtukia unamshitaki ananyang'anywa hiyo nyumba unapewa wewe mwanaume na watoto wako kisha yeye unamtaliki......

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli! Ila sio wote wanaoekeza kila senti kwake na kwa watoto! Ndoa zina mambo mengi Sana ndani yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna kisa kipo mbeya new forest .....kuna mama alikua mwenyeji wa dar aiishi huko na mmewe lakini alikua anajenga mbeya kinyemela hivyo alikua anamuaga mumewe kuwa anaenda mbeya kusalimia kumbe anaenda kuangalia mjengo wake . ndio hivo mjengo ukaisha na mjengo wa maana tu lakini cha ajabu hakuna alie kuwa anajua zAIdi yake na mafundi basi awamu ya mwisho anarudi dar majinja ikafanya yake na yeye akafa ...huwezi amin hadi leo hii nyumba anaimiliki mlinzi alafu anashindwa kuihudumia hahahah
 
Haa ha ha ha... Masiharaa hayoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Yaani ndio ukweli wenyewe. Nimeishi na mwanamke kama miaka 10 bila kubariki ndoa. Nimebariki Mwaka 2019 Mwezi wa tisa. Baada ya hapo ni vimbwanga mwanzo mwisho. Hadi nachanganyikiwa. Hii ndoa siielewi tena.
Maisha ya ndoa siku hizi ni kizungumkuti, watu wanafanya harusi tu(maana hawaoani) baada ya hapo kila mtu ana lake kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi ndoa zinakuwa ngumu kutokana na Elimu Dunia..... Kila mtu anatumia utashi sana kufikiri kila jambo.
Moyo wa mwanadamu ni kichaka Hakuna ajuaye umeifadhi Nini.Mtu mme na mke wanafunga ndoa lkn hawaaminiani one hundred percent kila mtu anawaza kumtime mwenzie.Mke au Mme hujihami kwa kujenga nyumba kwa Siri pembeni kwa sababu ndoa za saizi muda wowote huweza kuvunjika.Tulipofikia ni pabaya mwanaume hamwamini mwanamke na mwanamke hamwamini mwanaume.Yaani imekuwa Kama maadui wanaoishi pamoja na kulala kitanda kimoja ndani ya chumba kimoja.Je,Nini maana ya mwili mmoja?.Je,ni wapi wanandoa tunapoferi?.Ndoa inafungwa Leo kanisani au mbele ya mchungaji au shehe kwa maagano lakini usiku wa ndoa vituko vinaanza kila mtu anamuwazia mwenzie mabaya yaan unaanza kumhisi tu.Mwanamke anakosa kujiamini anaamua kujenga nyumba pembeni kwa siri kwa kuhofia ndoa ikivunjika asije akakosa pa kujiifadhi.Kuna haja ya kuwatafuta walimu wa ndoa Tena wazee waliodumu kwenye ndoa zao kwa muda mrefu kuanzia ujanani mpaka uzee.Watufundishe waliwezaje kuvumiliana,kuaminiana,kuchukuliana na kudumu kwa muda mrefu pasipo kuzungukana.Mpaka imefikia hatua wanaume wana msemo usemao mwanamke wa kumuamini ni mama ako mzazi na si mke wako,Wanaume tuulizane Nini maana ya mwili mmoja???.je,Kuna mtu alikuchagulia si ulimpenda mwenyewe kumbuka ulipokuwa ukimuaprochi kwa Mara ya kwanza.Kujenga nyumba pembeni Tena kwa Siri pasipo mmojawapo kujua ni kukosa uaminifu na kuaminiana kwa kiwango Cha lami. Ndoa ni Elimu ambayo unapewa cheti Kwanza alafu mtihani ndio unafuata.Tulejee kwenye vitabu vya dini vinafundisha Nini kuhusu ndoa.[emoji2958][emoji848][emoji1774][emoji141][emoji179][emoji183]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Yaani ndio ukweli wenyewe. Nimeishi na mwanamke kama miaka 10 bila kubariki ndoa. Nimebariki Mwaka 2019 Mwezi wa tisa. Baada ya hapo ni vimbwanga mwanzo mwisho. Hadi nachanganyikiwa. Hii ndoa siielewi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mwezi wa 9 tu vimbwanga vianze?[emoji848][emoji848]
 
wanawake wa kichaga ndio wamezidi. na asilimia 99 wanakuwa sio waaminifu kwenye ndoa, huyo sio mke timua,
Naam,
na waongoza kwa kulitaja jina la Bwana mara kwa mara, ndio waudhuriaji wakubwa wa Morning Glory!!
Mathayo 7:21
 
Back
Top Bottom