Nashangaa Sana pale mwanaume unapoanza au unapotaka kushindana na mwanamke.
Daima yakupasa kuelewa kuwa huyo mke uliyemuoa amekuja tu hapo au anaendelea kuishi hapo kwa ajili ya kulea hao watoto.
Kwa hiyo na wewe mwanaume pambana na ujenge nyumba zako kwa Siri na sio kubaki kulalamika lalamika Kama mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakuta kifusi tu huko, jamaa wakishanionyesha baadae narudi na mabaunsa.... Navunja kila kituHaya mambo yameanza si miaka mingi sana iliyopita
Kuna kisa kimoja nakijua jamaa alikuwa na biashara yake na mke wake akimsaidia pindi anapoendea mzigo mpya
Siku moja akaijiwa na jamaa wawili na kumkuta mwenye duka yupo dukani peke yake
Wakamuuliza mama Fulani tumemkuta?
Jamaa akawaambia hayupo amesafiri kaenda kwao
Kwa hasira wakageukiana na kusema sasa itakuwaje
Kabla hawajaondoka jamaa akawauliza kwani kuna shida gani
Wakamwambia usijali
La ikabidi awabane na kusema lazima mniambie kuna nini baina yenu
Mwisho wakamwambia tumepungukiwa misumari ili tumalizie bati
Wapi?
Kwenye nyumba yake
Iko wapi?
Twende
Mwisho wake ulikuwa mbaya
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nakupia siyo lazima wanaume wawe cha pombe. Kuna mfano mmoja ninao. Mwanamme ni mtulivu kuliko utulivu wenyewe. Mwanamke kwa sasa anajenga nyumba kwa siri. Halafu ukiangalia ni mwanamke mjanja mjanja sana na anadanga kishenzi. Hiyo nyumba inasemekana kuna buzi linamjengea na hapo hapo fundi mkuu mjenzi wa nyumba naye anatoka na huyu mwanamke. Buzi linatoa gharama za ujenzi wakati fundi anajenga kwa gharama nafuu sana. Mwanamke amekuwa jeuri na anawambia mashoga zake kabisa... akiona simfai aniache...Kama siyo mwizi wala sitamuuliza kitu, tena naweza mpa zawadi ya nyumba nyingine ziwe 2. Ila nadhani wengi wanaofanyiwa hivi ni ile mianaume chapombe isiyopenda maendeleo ya familia, wao ni pombe na vimada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasira hasara. Unaweza kuishia sehemu mbaya kwa jambo kama hili. Mwanamke wa namna hiyo unamlia timing ya kikomandoo, huku unajifanya unampenda. Weaka mambo yako vizuri, na asijue baadhi ya mali zako ziko wapi. Siku unakuja kumwacha anakuwa haaminiHuyo atakuta kifusi tu huko, jamaa wakishanionyesha baadae narudi na mabaunsa.... Navunja kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasira hasara. Unaweza kuishia sehemu mbaya kwa jambo kama hili. Mwanamke wa namna hiyo unamlia timing ya kikomandoo, huku unajifanya unampenda. Weaka mambo yako vizuri, na asijue baadhi ya mali zako ziko wapi. Siku unakuja kumwacha anakuwa haamini
Ndiyo nimekueewa. Na mimi sisemi eti uachane naye kwa ugomvi. Ila kwenye mali ni lazima mwanamme awe mjanja ili asijejikuta amebakia mtupu. Kumbuka yeye mwanamke anatumia njia za haramu kujilimbikizia huku akijua kuwa mkiachana anachukuwa tena fungu kutoka kwa mumeNi wanawake wachache sana watakaoshindwa kusurvive ! Maana sie tunapenda kuspeak out!mwananke km huyo hata ukimwacha lazima atasurvive tu!labda awe mvv sana!nyie ndo hamuwezi!dawa achana naye kiroho safii!roho itamsuta
Umesema kweli. Labda niseme kwa mtazamo wangu chanzo hasa ni huu utandawazi hasa kuenea kwa media eg magazeti, redio, TV na internet. Hivi vitu vinafanya wanawake wengi kudanganyana na kufuata mkombo. kwa mfano yule aliyekuwa mke wa Sugu ni mpotoshaji sana na mwanamke kama hajitambui anaweza akajikuta anafuata maelekezo yake kama msukule.Awali nilikuwa nikisia kama simulizi flani, lakini kuanzia miaka ya 2015 mpaka sasa, nime shuhudia na kuthibisha hizi taarifa za wana ndoa kujenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua kuwa ni za kweli.
Wengi katika hawa nilio waona ni wanawake, kwani Kupitia hizi saccos au vikoba wana kopeshana huko na kuingia kwenye huu uwekezaji.Nimeona kwa majirani, nimeona kwa marafiki, na nimeona kwa kampuni zinazo uza maeneo kwa mikopo.Wana nunua maeneo/viwanja kwa mikopo na wanalipia kidogo kidogo bila mume kujua.
Pia kuna hili la waangalizi wa nyumba (walinzi) kuwa wamiliki wa nyumba baada ya wenye nazo (walio jenga kwa siri) kufariki.
Je sababu ni nini?
1. yawezekana ndoa za sasa hazina utulivu kiasi watu wana amua kujihami?
2. Yawezekana ni kutokana na mwanamke kuwa ni mtafutaji na yeye?
Yawezekana hata wewe unajua sababu kadhaa wa kadhaa, ebu tushirikishane. Kuna mtu anaweza saidika...
Karibu
Huyo atakuta kifusi tu huko, jamaa wakishanionyesha baadae narudi na mabaunsa.... Navunja kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yameanza si miaka mingi sana iliyopita
Kuna kisa kimoja nakijua jamaa alikuwa na biashara yake na mke wake akimsaidia pindi anapoendea mzigo mpya
Siku moja akaijiwa na jamaa wawili na kumkuta mwenye duka yupo dukani peke yake
Wakamuuliza mama Fulani tumemkuta?
Jamaa akawaambia hayupo amesafiri kaenda kwao
Kwa hasira wakageukiana na kusema sasa itakuwaje
Kabla hawajaondoka jamaa akawauliza kwani kuna shida gani
Wakamwambia usijali
La ikabidi awabane na kusema lazima mniambie kuna nini baina yenu
Mwisho wakamwambia tumepungukiwa misumari ili tumalizie bati
Wapi?
Kwenye nyumba yake
Iko wapi?
Twende
Mwisho wake ulikuwa mbaya
Sent from my iPhone using Tapatalk
Malizia mkuu, kuna funzo kubwa hapaHaya mambo yameanza si miaka mingi sana iliyopita
Kuna kisa kimoja nakijua jamaa alikuwa na biashara yake na mke wake akimsaidia pindi anapoendea mzigo mpya
Siku moja akaijiwa na jamaa wawili na kumkuta mwenye duka yupo dukani peke yake
Wakamuuliza mama Fulani tumemkuta?
Jamaa akawaambia hayupo amesafiri kaenda kwao
Kwa hasira wakageukiana na kusema sasa itakuwaje
Kabla hawajaondoka jamaa akawauliza kwani kuna shida gani
Wakamwambia usijali
La ikabidi awabane na kusema lazima mniambie kuna nini baina yenu
Mwisho wakamwambia tumepungukiwa misumari ili tumalizie bati
Wapi?
Kwenye nyumba yake
Iko wapi?
Twende
Mwisho wake ulikuwa mbaya
Sent from my iPhone using Tapatalk
Huyo atakuta kifusi tu huko, jamaa wakishanionyesha baadae narudi na mabaunsa.... Navunja kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee,naona Mkuu umerudi tena na ushauri wako mujarabu.Mwanamke kwanza kosa kumuweka ndani ya nyumba. Wee gegeda huko huko muachane huko huko kama hutaki stress
Ni wehu tu kuamini kwamba ndani ya Maisha ya ndoa kuna siku mtaachanaAwali nilikuwa nikisia kama simulizi flani, lakini kuanzia miaka ya 2015 mpaka sasa, nime shuhudia na kuthibisha hizi taarifa za wana ndoa kujenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua kuwa ni za kweli.
Wengi katika hawa nilio waona ni wanawake, kwani Kupitia hizi saccos au vikoba wana kopeshana huko na kuingia kwenye huu uwekezaji.Nimeona kwa majirani, nimeona kwa marafiki, na nimeona kwa kampuni zinazo uza maeneo kwa mikopo.Wana nunua maeneo/viwanja kwa mikopo na wanalipia kidogo kidogo bila mume kujua.
Pia kuna hili la waangalizi wa nyumba (walinzi) kuwa wamiliki wa nyumba baada ya wenye nazo (walio jenga kwa siri) kufariki.
Je sababu ni nini?
1. yawezekana ndoa za sasa hazina utulivu kiasi watu wana amua kujihami?
2. Yawezekana ni kutokana na mwanamke kuwa ni mtafutaji na yeye?
Yawezekana hata wewe unajua sababu kadhaa wa kadhaa, ebu tushirikishane. Kuna mtu anaweza saidika...
Karibu
Sahihi kabisa mkuu, wanawake siku hz wanadanganyana na kutiana ujinga kwenye magroup yao mbali mbali. Mwanamke anachukua experience ya mtu mwingine hata Kama alikuwa hafanyiwi vitu vibaya, na kujipa yeye, huwa wanaji victimize hata Kama ndani kwake kuko poa. Siku hizi wanatundishana na ku embrace u single mother kuliko namna ya kudumu kwenye ndoa.Umesema kweli. Labda niseme kwa mtazamo wangu chanzo hasa ni huu utandawazi hasa kuenea kwa media eg magazeti, redio, TV na internet. Hivi vitu vinafanya wanawake wengi kudanganyana na kufuata mkombo. kwa mfano yule aliyekuwa mke wa Sugu ni mpotoshaji sana na mwanamke kama hajitambui anaweza akajikuta anafuata maelekezo yake kama msukule.