Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Sababu ni wanawake wengi kupenda kuendesha mambo yao kisirisiri,
Awali nilikuwa nikisia kama simulizi flani, lakini kuanzia miaka ya 2015 mpaka sasa, nime shuhudia na kuthibisha hizi taarifa za wana ndoa kujenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua kuwa ni za kweli.

Wengi katika hawa nilio waona ni wanawake, kwani Kupitia hizi saccos au vikoba wana kopeshana huko na kuingia kwenye huu uwekezaji.Nimeona kwa majirani, nimeona kwa marafiki, na nimeona kwa kampuni zinazo uza maeneo kwa mikopo.Wana nunua maeneo/viwanja kwa mikopo na wanalipia kidogo kidogo bila mume kujua.
Pia kuna hili la waangalizi wa nyumba (walinzi) kuwa wamiliki wa nyumba baada ya wenye nazo (walio jenga kwa siri) kufariki.

Je sababu ni nini?

1. yawezekana ndoa za sasa hazina utulivu kiasi watu wana amua kujihami?
2. Yawezekana ni kutokana na mwanamke kuwa ni mtafutaji na yeye?


Yawezekana hata wewe unajua sababu kadhaa wa kadhaa, ebu tushirikishane. Kuna mtu anaweza saidika...
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie niliolewa mwaka mmoja na wifi angu!akaniambiaga hizi ishu oya hakikisha unajenga nyumba yako ww km ww!ukwel sikua naelewa anamaanisha nn!yaan nikawa namuona muuaji fulan hv yaan sijui nisemeje[emoji1787]! Yy akajenga after 3yrs jumba jumba kweli[emoji1787]! Anayejua ni mamake!mishe zote ni mama tu na friends wachache!
Uzuri ana siri huyo..mm siwez..nna hasira !
Yaani wewe huwa hukosi story za kuchangia kila sehemu upo kama ardhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishapata kazi kinachofuata ni kufukuzwa!! Wenzetu huwa wanatafakari na kuchukua hatuaa mapema....
 
Malizia mkuu, kuna funzo kubwa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ilikuwa ni ugomvi mkubwa sana uliosababisha kuachana na nyumba ilibidi mama akubali kuwa hela ni za mmewe
Waliamua kumuandika mtoto wao kama ndio mmiliki wa nyumba
Yaani dunia hii
Mtoto kapata nyumba hata kazi hajaanza [emoji23][emoji23]



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ilikuwa ni ugomvi mkubwa sana uliosababisha kuachana na nyumba ilibidi mama akubali kuwa hela ni za mmewe
Waliamua kumuandika mtoto wao kama ndio mmiliki wa nyumba
Yaani dunia hii
Mtoto kapata nyumba hata kazi hajaanza [emoji23][emoji23]



Sent from my iPhone using Tapatalk
Aysee! Wanawake akili zao wanazijua wenyewe! Ona Sasa amesababisha ndoa ivunjike kwa upuuzi wake na hasa ubinafsi wake! Jinga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aysee! Wanawake akili zao wanazijua wenyewe! Ona Sasa amesababisha ndoa ivunjike kwa upuuzi wake na hasa ubinafsi wake! Jinga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wajinga sana wengine
Kama angekuta mwenye hasira mbaya zaidi naona angekuwa kaburini tu
Wengine wanasaidiana na wengine wanakuangusha
Tamaa zingine mbaya sana


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ndoa nyingi za siku hizi hazina upendo na uaminifu. Wanandoa wanawaamini ndugu zao zaid kuliko wenza wao

1.Mume/mke akijenga nyumba au kiwanja anaandika majina ya ndugu zake badala yake au ya wanae
(Wao wanaamini wakiachana hakuna kugawana mali pasu kwa pasu)

2. Wanaamini mmoja atafariki kabla ya mwenzir hivyo hataki mateso anaona bora awe na mali yake pembeni
Cha kujiuliza ni kwanini bado wanang'ang'aniana kuendelea kuishi pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom