hawana undugu, mwale malecela alikuwa mchepuko wa babake mange, na kwasababu familia ya watoto wa ndani wa malecela walikuwa hawampendi le mutuz kwasababu ni mtoto wa nje wakiamini atapata mafao ya baba yao, mange naye akaingia kwenye mtego wa ugomvi huo, akamuaibisha hadi mwisho. worse enough le mutuz na mange hawajawahi hata kukutana na kuonana uso kwa uso, na kina mwale walimtumia mange kwasababu kichwa chake sio kizuri kumuadhibu mtu waliyemfuatilia na kumnyanyasa maisha yake yote bila kujua na wao watakufa bial kurithi hizo mali na le mutuz wanayemuwinda atakufa bila kurithi. wangejua wangepatanaga tu waishi kama ndugu kwa furaha kwasababu wote wameondoka na mzee malecela waliyekuwa wanampigiaga mahesabu ya kifo chake bado mzima hadi leo na siukute Mungu akawaondoa wote kabla mzee hajaitwa kama walivyotarajia. hili ni funzo kwa wote wanaochukia watoto wa kambo. jambo la ajabu ni kwamba, mange naye alikuwa mtoto wa kambo aliyetengwa sana na familia ya ndoa ya baba yake lakini huku akijua maumivu ya kutengwa kwa kosa lisilo lako (kosa ni la wazazi sio mtoto) aliendelea kumtesa mtoto wa kambo mwenzie hadi umauti ulipomfikia. kwasababu maumivu alikuwa anayajua, alitakiwa asiwe vile.Yes Kifo cha Le Mutuz kimemgusa sana Mange yaani amepigwa na baridi ,ukiacha mabeef yao ila wana undugu japo kwa mbali.
Mange sio binadamu wa kawaida. Ni mkuu wa mashetani katika umbo la binadamu. Kashavuka viwango vyote vya roho mbaya.mange amepoteza mtu muhimu sana wa kumuongelea na kumtukana, alikuwa anamwongezea habari na followers. amenuna hadi hajapost kifo chake. ila mange, kule ndani ya moyo wake, ana roho chafu ya shetani kabisa, ana roho ngumu kuliko sumu. no wonder anashabikia hata ushoga.
ni kweli, shetani anamtumia apendavyo, sio yeye. hakuna mtu unaweza kuwa na roho ngumu namna ile, sio kitu cha kawaida.Mange sio binadamu wa kawaida. Ni mkuu wa mashetani katika umbo la binadamu. Kashavuka viwango vyote vya roho mbaya.
Oyaa, ukiwa na mali zaa watoto wa kutosha. Achana na ustaarabu wa kimagharibi. Ukiweza panga maisha zaa mapema ungali unanguvu za kutafuta, usisubiri uwe tajiri ndio uwe na watoto hayo ni mawazo ya kipimbi mno.Pride ya mtu mwenye fikra za kimaskini,ni kuwa na watoto at early ages,Jay Z sijui ana umri gani na mtot9 wake wa mwisho kumzaa ana umri gani?
Just imagine,kwa pesa ya Membe au Pinda,ingekua huku uswahili kwenye kula tunda kimasihara,sijui wangekua na watoto wangapi,ajabu wanna watoto wachache sana.
Mjamaa anaonekana alikuwa hataki shida na mtu he was living his own life and he achievedR.I.P Le Mutuz .. alikua ananifurahisha unaweza kumuandalia lundo la matusi halafu yeye anayakusanya yote halafu anakutumia busu haha
Ndyooo inaumaa, mbna lemutuz kaongea mengi hadi yeye mange kusodomiziwa na yule kibabu wa kizungu.Hajaandika kwa sababu anajua sasa hivi watu wana mihemko. Ila nina amini leo huko alipo anatoa yote.
Hawa watu wamedhalilishana wote. Lemutuz anasema baba yake mange alifanyiwa mchezo wa sodoma ndio maana alijinyonga. Hii pia inauma eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mange sio binadamu wa kawaida. Ni mkuu wa mashetani katika umbo la binadamu. Kashavuka viwango vyote vya roho mbaya.
Umeumia na umepata muda wa kuandika yote Haya.No Way, Aisee.
Daaaah
Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa [ Hasa Madini Yake Ya Kimaisha Na Street Intelligence ] Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi + Deep Down Alikua Ana Utu Sanaaa.
Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years Experience At Downtown New York Mbelezzz.
What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.
Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.
Bwana Mungu Akawe Muongozo Sahihi Kwa Watoto Wake Na Familia Kwa Ujumla. Amen [emoji1488]
Acha uchokoziHV msiba wa lemutuz utafanyiwa wapi hotelini au kwa Bab ake
sidhani kama mzee malecela na mama malecela walikuwa wanamchukia, utafanyikia kwa babake bila shaka. halafu pia, ikumbukwe le mutuz alikuwa na pesa ya kutosha tu kuliko watu wanaotype kwenye jamiiforums hapa. hakuwa lofa kiasi hicho hadi mumdhanie aliishi kama kware.HV msiba wa lemutuz utafanyiwa wapi hotelini au kwa Bab ake
👍Sasa hiyo ndio inazuia mtu asife?
Reaction za wabongo kwenye misiba zinawezafanya mtu uangue kicheko uonekane umefurahia marehemu kufa
Kumbe alikuwa na mambo yake vzr tu alfu watu Wana msema Seema ovyosidhani kama mzee malecela na mama malecela walikuwa wanamchukia, utafanyikia kwa babake bila shaka. halafu pia, ikumbukwe le mutuz alikuwa na pesa ya kutosha tu kuliko watu wanaotype kwenye jamiiforums hapa. hakuwa lofa kiasi hicho hadi mumdhanie aliishi kama kware.
nyumba alikuwa nayo, ila kuna watu humu wanamsema vibaya wakati hawajui hata bei ya cement. au bei ya tofali. aliishi maisha ya middle class. wale wafadhili alikuwa anawatangazia matangazo hao asas na wengine, walikuwa wanampa pesa nzuri tu, na alikuwa ameajiri watu alikuwa anawalipa mshahara.Kumbe alikuwa na mambo yake vzr tu alfu watu Wana msema Seema ovyo