Will the real Paul Makonda please stand up?

Watanzania wengi huwa tunakimbilia huku mitandaoni kufikisha taarifa na malalamiko mengi ambayo hatuwezi fuatilia au yenye kuhusisha njia ngumu kufika panapotakiwa.

Unaweza jiuliza anayemwita kiongozi bwege mitandaoni anashtakiwa lakini anayemsema kiongozi na kumkashifu kuhusu cheti kila siku mitandaoni haitwi kwa uchochezi wala kuhojiwa(wanajua kitakachotokea).
 
Lowasa ni unfit(mbovu kiafya) so hafau kuwa hata kiranja wa shule ya msingi
 
Hata ningekuwa mimi ndo huyo Paul makonda(kama yupo),nisingejitokeza.Ni hatari sana
 
Umejifunza nini kwenye sakata la Lowasa....ukililinganisha ni hili la Makonda...???
Lowassa ana masakata mengi unazungumzia lipi?

Kwa upande wa sakata la makonda bado sijajifunza lolote maana the saga continues .
 
Mkuu hebu toa ubashite wako hapa.... Rais ashindine na watu wasio kua na kichwa wala miguu....wakat mwingne musiwe mnamdhalilisha mh.kwa watu wajinga wajinga
Hahahah asante....lakini nasikitika umenihukumu mapema sana, mimi nimeandika tu kile nilichosoma Instagram kwa Mambi..whether naamini au la hilo ni suala jingine....Hongera lakini you have exercised your liberty of speech!
 
In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.

Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.

Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.

Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.

Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.

Yeye huyo mtu yuko wapi?

Sasa hivi anatumia jina gani?

Anafanya shughuli gani?

Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?

Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.

Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?

I'm getting so sick of this bullshit.

So will the real Paul Makonda please stand up...?

I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Je hii ni Remix ya Eminem ya Slim Shady???
 
Siyo Paul Makonda ni Paul Christian M. Whatever that Means stands but it's not Makonda. Let me tell you huyo mtu hatajitokeza kwa sababu ya mshiko na wale wataalamu suit nyeusi na miwani myeusi
 
In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.

Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.

Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.

Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.

Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.

Yeye huyo mtu yuko wapi?

Sasa hivi anatumia jina gani?

Anafanya shughuli gani?

Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?

Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.

Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?

I'm getting so sick of this bullshit.

So will the real Paul Makonda please stand up...?

I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?

May I have your attention please?
May I have your attention please?
Will the real Paul Makonda please stand up?
I repeat will the real Paul Makonda please stand up?
We're going to have a problem here

Y'all act like you never seen a white person before
Jaws all on the floor like Pam and Tommy just burst in the door
Started whoopin' her ass worse than before, they first get divorced
Throwing her over furniture
It's the return of the "Oh wait, no way, your kidding,
He didn't just say what I think he did, did he?"
And Rev Gwajima said
Nothing you idiots Rev Gwajima's dead, he's locked in my basement (ha ha)
Feminist women love Makonda, chicka chicka chicka Paul Makonda I'm sick of him
Look at him, walking around grabbing his you know what
Flippin' the you know who "yeah, but he's so cute though"
Yea I probably got a couple of screws up in my head loose
But no worse than what's going on in your parent's bedrooms
Sometimes I want to get on TV and just let loose, but can't,
But it's cool for Freeman Mbowe to hump a dead moose
My bum is on your lips, my bum is on your lips
And if I'm lucky you might just give it a little kiss
And that's the message that we deliver to little kids
And expect them not to know what a women's clitoris is.
Of course they gonna know what intercourse is, by the time they hit 4th grade,
They got the discovery channel don't they?
We ain't nothing but mammals,
Well some of us cannibals, who cut other people open like cantaloupes.
But if we can hump dead animals and antelopes
Then there's no reason that a man and another man can't elope
But if you feel like I feel I got the antidote.
Women wave your pantyhose, sing the chorus and it goes

I'm Paul Makonda, yes I'm the real Makonda
All you other Paul Makondas are just imitating
So won't the real Paul Makonda, please stand up,
Please stand up,
Please stand up
'Cause I'm Paul Makonda, yes I'm the real Makonda

I'm sick of you little girl and boy groups all you do is annoy me
So I've been sent here to destroy you
And there's a million of us just like me
Who cuss like me, who just don't give a *** like me, who dress like me
Walk, talk and act like me, it just might be the next best thing,
But not quite me

I'm like a head trip to listen to
'Cause I'm only giving you, things you joke about with your friends
Inside your living room
The only difference is I got the balls to say it in front of y'all drug dealers
And I don't gotta be false or sugar coat it at all
I just get on the mic and spit it, and whether you like to admit it (rip)
I just shit it better than 90 percent of you all politicians out there

So will the real Makonda, please stand up
And put one of those fingers on each hand up
And to be proud to be outta your mind and outta control
And one more time, loud as you can, how does it go?

I'm paul Makonda, yes I'm the Paul Makonda
All you other Paul Makondas are just imitating
, yes I'm the real Makonda

Who cuss like me, who just don't give a **** like me, who dress like me
Walk, talk and act like me, it just might be the next best thing,
But not quite me
I'm like a head trip to listen to
'Cause I'm only giving you, things you joke about with your friends
Inside your living room
The only difference is I got the balls to say it in front of y'all drug dealers
And I don't gotta be false or sugar coat it at all
I just get on the mic and spit it, and whether you like to admit it (rip)
I just shit it better than 90 percent of you all politicians out there
So will the real Makonda, please stand up
And put one of those fingers on each hand up
And to be proud to be outta your mind and outta control
And one more time, loud as you can, how does it go?
I'm paul Makonda, yes I'm the Paul Makonda
All you other Paul Makondas are just imitating
, yes I'm the real Makonda
All you other Paul Makondas are just imitating
 
Hahahah asante....lakini nasikitika umenihukumu mapema sana, mimi nimeandika tu kile nilichosoma Instagram kwa Mambi..whether naamini au la hilo ni suala jingine....Hongera lakini you have exercised your liberty of speech!
Unaona Sasa...tatzo lako n kumsoma mange kimambi...! Hapa tuna jadil kuhusu huu udaku unaopelekea Vijana wote tusahau issue za msing kama ajira mpya na vitu kupanda bei bla mpangilio na serikal kutotoa tamko lolote kuhusu vitu kupanda bei...

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
....Asante next time nitakuwa makini zaidi.....asante kwa ukumbusho!
 
The Boss

Kwa nini sasa Gwajima asituonyeshe tu yeye mwenyewe kuliko kumsubiri Makonda?
Kaka, sasa unataka Gwajima aonyeshe cheti cha nani? Maana Paul Makonda ni nonexistent. Daudi Bashite alipata daraja sifuri matokeo yake ya awali, hivyo hana cheti chenye jina la Daudi Bashite.
Kuendelea mbele ndipo akanunua cheti cha Paul Christian Muyenje/Muyenji? na kusoma certificate in fishery.

Ninavyoelewa hapa kinachohitajika ni cheti cha kidato cha nne chenye jina Paul Makonda! Hichi siyo Gwajima, Bashite, TISS wala NECTA wanacho. Hapa ndipo penye utata.
 
Ninachoshangaa mimi ni kitendo cha eti 'Mange' anaweza kupata copy ya kadi ya gari na kuipost mtandaini,,,, lakini eti anacho cheti cha 0 leo wiki ya tatu hajakitoa..... na kwa tunavyomfahamu mange alivyokuwa mmbea wa dunia, awe na cheti asikitume mtandaoni hadi leo, sio yeye. Hii kitu ni kelele tu, no one with undeniable evidence.
Daraja sifuri uwa halitolewi na cheti...sasa cheti kitatoka wapi?
 
Kesi ya Makonda iko tofauti; Moja, Makonda ana luxury ambayo Ridhiwani hana, nayo ni kujisafisha na kuzika tuhuma dhidi ya elimu yake bila kutumia nguvu yoyote. All he has to do, ni kuonyesha vyeti tu. Mbili, Makonda kama kiongozi wa uma, ni wajibu wake kuzi-address tuhuma zozote zinazoathiri uongozi wake. Tatu, wanaomtuhumu Makonda hawajifichi, wamejitokeza hadharani. Nne, siyo lazima kushitaki, ila ni lazima kulinda heshima, utu na jiina lako, specially kama wewe ni kiongozi wa uma. Tuhuma za Makonda, yeye na Mkulu walitakiwa kuzi-address bila hata ya kuangalia nani anazileta.
Chief hili linawezekana kwenye jamii za watu wanaojielewa, lakini siyo kwa watanzania. Watanzania wamezoea mediocrity, ndiyo maana wao wanaona sawa kuwa na kiongozi mwenye disguised identity, ati kwa kuwa ana 'uthubutu' wa kupiga kelele zisizo na faida!
 
Kaka, sasa unataka Gwajima aonyeshe cheti cha nani? Maana Paul Makonda ni nonexistent. Daudi Bashite alipata daraja sifuri matokeo yake ya awali, hivyo hana cheti chenye jina la Daudi Bashite.
Kuendelea mbele ndipo akanunua cheti cha Paul Christian Muyenje/Muyenji? na kusoma certificate in fishery.

Ninavyoelewa hapa kinachohitajika ni cheti cha kidato cha nne chenye jina Paul Makonda! Hichi siyo Gwajima, Bashite, TISS wala NECTA wanacho. Hapa ndipo penye utata.
Aonyeshe vyote alonavyo ofisini kwake
 
Paul Makonda yupo VOT radio ,mmiliki ni Rage aliekuwa mbunge wa Tabora,,,paul akiulizwa kuhusu hili sakata hataki kuongelea kabisa anacheka tu
 
Hiyo ya kwamba nchi imesimama kisa suala la Makonda nayo ni exaggeration.

Ni yepi hasa yalosimama?
Hukumwelewa alichokisema...amesema nchi imesimama kwa uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, na siyo kwa ajili ya disguised identity ya Paul Makonda...

Watu wengine wanasema ati 'Makonda' ni mchapa kazi, kathubutu kuwataja 'wauza unga'. Ingawa mimi sijaona uthubutu na uchapakazi wake, lakini, kama tukitumia hivyo kama vigezo vya kumsamehe na hizi tuhuma za forgery na disguised identity, basi serikali iwarudishe kazini wale wote waliofukuzwa kwa sababu kama hizi za vyeti feki vya elimu. Maana miongoni mwa hao waliofukuzwa, kuna waliokuwa wakichapa kazi kwenye maeneo yao ya kazi, lakini mkono wa sheria haukujali hilo. Sasa kwanini 'Paul Makonda' apewe special treatment?
 
Back
Top Bottom