Will the real Paul Makonda please stand up?

Will the real Paul Makonda please stand up?

Kwa hiyo Makonda kwa kuwa ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa ndio yupo juu ya sheria na ana kinga ya kutoshitakiwa kwa jinai yoyote.......!!??

What is your point.......

Ina maana wanaotuhumu....wameshindwa kulipeleka hili shauri mahakamani....!!?
Kwa sababu hiyo....!!??

Mbona unazidi kujitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani au polisi?

unapelekeja shauri la jinai mahakamani? si lazima upitie polisi?
na unajua polisi wana option ya kulipeleka shauri lolote mahakamani au wasipeleke?

Mbona Manji hapelekwi mahakamani na police wanamshikilia?
 
Mkuu mbona unajitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani kwa kumtuhumu mtu jinai?

Jinai zote zinaanzia polisi...
Na Police wote wa Dar wako chini ya mwenyekiti wa kamati ya mkoa ya usalama....ambae ndo boss wao
unaanzaje?
Sasa mbona Meya wa Ubungo amedai atafungua mashitaka dhidi ya buana Bashiteior
 
Nyani Ngabu acha kututoa ktk mstari , issue ya Paul ipo wazi kabisa .
Kwanza tambua mwenye cheti halisi aitwi Makonda (makonda liliongezewa mahakamani tu ili Kurasimisha cheti , kutoa ubini was yule Paul alisi , alikiongezea hakiwa chuo Ushirika Moshi )
Ukimtafuta MTU anayeitwa Paul makonda halisi uwezi kumpata ,na wewe unajua wazi please don't propagate your propaganda.
Kama kweli umemkusudia kumtafuta mwenye cheti mtafute Paul Albert M (iyo M sio Makonda, makonda iliongezewa mahakamani )
Ngoja tumalize issue za TLS then issues za Makonda zitafuata mana tunazibeba kwa uzito huo huo kama walivyowajibishwa walimu polisi na manesi waliofoji vyeti.Haki itatendeka
 
Lakini tusishangae hizi ngonjera za wanasiasa...kwani hazikuanza leo.....

Waliwahi kutuambua mtu fulani ni mwizi na hafai kuwa hata kiongozi wa mtaa huku wakiapa kuwa ushahidi wanao....lakini leo hii....wanakula naye na kunywa pamoja........bila aibu.......

THINK BIG
TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY
Mpwa, nadhani unataka umwagiwe omo saivi
 
In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.

Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.

Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.

Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.

Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.

Yeye huyo mtu yuko wapi?

Wakati Trump na wale birther movement wanamtuhumu Obama kuzaliwa Kenya
nani alikuja kutoa cheti chake cha kuzaliwa?si Obama mwenyewe?

why hii iwe tofauti?
why Rc asitoe vyeti vyake huu ubishani ukaisha?

Sasa hivi anatumia jina gani?

Anafanya shughuli gani?

Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?

Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.

Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?

I'm getting so sick of this bullshit.

So will the real Paul Makonda please stand up...?

I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
 
Sasa kama hivyo ndivyo ilivyo ukweli ni upi sasa?

Ukweli utajulikana vipi?

Au Kiafrika afrika watu hawajali ithibati.

Kwamba ikishadaiwa tu kwamba Paul Makonda jina lake si Paul Makonda bali ni Daudi Bashite, basi.

Mjadala unaanzia na kuishia hapo?

Oh well...
Kwa kukusaidia,ingia insta kwa kubwa la maadui utajibiwa hayo maswali yako yote.
Lakini pia ulipaswa ujue ni nani anapaswa kutekeleza jukumu la kuudhibitisha ukweli wa sakata lake.
Nikuulize kidogo.....mahala fulani pakivamiwa na majambazi,kazi ya wananchi ni nini?
Kama si kutoa ripoti/taarifa kwa mamlaka husika.
Na je mamlaka zisipotekeleza jukumu lake tumlaumu nani?
Mwananchi mtoa taarifa? au mamlaka husika?
 
Mbona unazidi kujitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani au polisi?

unapelekeja shauri la jinai mahakamani? si lazima upitie polisi?
na unajua polisi wana option ya kulipeleka shauri lolote mahakamani au wasipeleke?

Mbona Manji hapelekwi mahakamani na police wanamshikilia?

Hujasikia ya meya wa ubungo kutumia sijui 'private prosecution' kuwa atapeleka shauri mahakamani?

Eniwei mi ni kilaza tu so sijui zaidi ya nilivyosikia hivyo.
 
Hujasikia ya meya wa ubungo kutumia sijui 'private prosecution' kuwa atapeleka shauri mahakamani?

Eniwei mi ni kilaza tu so sijui zaidi ya nilivyosikia hivyo.

Hiyo private prosecution TZ ndo kwaanza naisikia
sidhani watu wote wanaomtuhumu wanaijua hiyo option
au ujasiri tu wa kuitumia hata kama wanaijua

tunaishi kwenye police state ....uhuru na ujasiri wa kumshtaki kiongozi sio kila mtu anaweza kuwa nao
 
Mbona unazidi kujitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani au polisi?

unapelekeja shauri la jinai mahakamani? si lazima upitie polisi?
na unajua polisi wana option ya kulipeleka shauri lolote mahakamani au wasipeleke?

Mbona Manji hapelekwi mahakamani na police wanamshikilia?

Mbona unapenda kutumia neno kujitoa ufahamu...???....ina maana wewe mtu mliyetofautiana naye mitazamo basi amerukwa na fahamu......!???

Huamini katika mawazo huru au mawazo kinzani.....!!??

Au unaongozwa na mahaba na huna mawazo huru.....

Mbona unaongelea mambo ambayo hayajatokea.....!!??

Ina maana wakina Lissu au Gwajima walishalipeleka hili shauri polisi....na ikashindikana kulipeleka mahakamani.....!!??

Kwanini wasilipeke kwanza alafu tuone ikishindikana...!??

Sitaki kusikia kuwa na wewe umekuwa mtumwa wa porojo za wanasiasa kwamba unameza kila kitokacho kinywani mwa mwanasiasa pasi na kutumia akili yako kuchuja.....!!!
 
In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.

Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.

Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.

Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.

Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.

Yeye huyo mtu yuko wapi?

Sasa hivi anatumia jina gani?

Anafanya shughuli gani?

Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?

Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.

Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?

I'm getting so sick of this bullshit.

So will the real Paul Makonda please stand up...?

I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Ukiangalia mtiririko wa story yenyewe utakumbuka jina la cheti anachodaiwa kukitumia linasomeka mwisho muyenge, ila la makonda alikuja kulibuni mwenyewe na kuapa mahakamani
 
Hiyo private prosecution TZ ndo kwaanza naisikia
sidhani watu wote wanaomtuhumu wanaijua hiyo option
au ujasiri tu wa kuitumia hata kama wanaijua

tunaishi kwenye police state ....uhuru na ujasiri wa kumshtaki kiongozi sio kila mtu anaweza kuwa nao

Kwanza lifanyike hilo ndio tuone ikishindikana.....!!
 
Hakuna mtu aliyekwenda police kushitaki...

Hata Kama ni wajibu wa police,

Sidhani km wanaweza kupress hii issue forward Kama hakuna mshitaki,

Na mtupe mfano wa cases ambazo hakuna mshitaki

Makonda bana kimya,

Kukaa kimya ni moja ya tactics, lol
 
The Boss

Naona umeninukuu vibaya ila nimeona ulichoandika kuhusu wale birthers.

Hapo kuna tofauti kidogo.

Hao birthers sikuwahi kuwasikia hata siku moja wakidai wanacho cheti cha kuzaliwa cha Obama ambacho kinaonyesha alizaliwa Kakamega au kwingineko huko Kenya.

Au waliwahi kudai hivyo?

Licha ya hivyo, unajua ilimchukua muda gani Obama kukionyesha cheti chake?

Mimi pia nataka kuviona hivyo vyeti vya Makonda.

Kama yeye mwenyewe hataki kutuonyesha, na madhali kama Gwajima anasema yeye anavyo ofisini kwake.

Kwa nini sasa Gwajima asituonyeshe tu yeye mwenyewe kuliko kumsubiri Makonda?
 
Unahongwa na wauza madawa ya kulevya kuja kumchafua shujaa wetu wa Dar??

Kila siku makonda makonda who are you??
Huyo Bashite wenu si ndo huyo amehongwa magari na hao anaowaita wauza unga???.....tena ndo anaambatana nao kila sehemu?
Huwezi kumtetea mchafu kama wewe si mchafu zaidi yake.
 
Hiyo private prosecution TZ ndo kwaanza naisikia
sidhani watu wote wanaomtuhumu wanaijua hiyo option
au ujasiri tu wa kuitumia hata kama wanaijua

tunaishi kwenye police state ....uhuru na ujasiri wa kumshtaki kiongozi sio kila mtu anaweza kuwa nao

Well, meya wa Ubungo kwa kushirikiana na wasoma majiniasi akina Kibatala and co. wataenda mahakamani.

Hicho ndicho nilichosikia.
 
Hilo mkuu nami nimeishaliuliza humu sijapewa majibu...

Kweli Paul Christian Makonda hata anuani yake tu ya alipozaliwa au anapoishi sasa imekosekana????

Walau kuhoji wazazi wake au yeye atuthibitishie kuwa vyeti alivyonavyo huyo the so called Bashite ni vya kwake.

Ila mbona huyu RC Dar es Salaam tumemjua toka ni Rais wa TAHLISO na Rais wa vyuo vya Afrika Mashariki na alikuwa akifanya vizuri tu....akiwa mwanafunzi kipindi hicho

Hebu labda acha waende Mahakamani huko tutaujua ukweli....ila nionavyo mie ni jambo ambalo limeanzishwa kupotezea watu muda
 
Mimi pia nataka kuviona hivyo vyeti vya Makonda.

Kama yeye mwenyewe hataki kutuonyesha, na madhali kama Gwajima anasema yeye anavyo ofisini kwake.

Kwa nini sasa Gwajima asituonyeshe tu yeye mwenyewe kuliko kumsubiri Makonda?
Gwajima atatoa vyeti katika sehemu ya nne ama ya tano ya mahubiri yake.

Kwa sasa wewe subiri tu...
 
Back
Top Bottom