KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,769
- 39,536
Unaposema inashindikana vipi makonda halisi kwenda mahakamani kumfungulia mashtaka makonda bandia huku nyuma akiwa na mawakili machachari ni sawa na Mimi ninavyojiuliza inashindikana vipi kwa makonda anayesingiziwa kufoji vyeti kujitokeza hadharani na kukiri kuwa vyeti anavyo na wala hajatumia jina la mtu .
Wanaotuhumu ndio wanaopaswa kuthibitisha tuhuma zao.....
Nadhani hii ni kete nzuri ya kumuondoa Makonda kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa.......