Will the real Paul Makonda please stand up?

Will the real Paul Makonda please stand up?

Swali la msingi ni; Kama kweli Makonda anasingiziwa ya Bashite, kwanini asiwashtaki hao kina Gwajima kwa kumchafua??

Maswali mengine ya msingi ni:

Kila mara mtu utapozushiwa ni lazima uwashitaki wanaokuzushia?

Hata Ridhiwani Kikwete kazushiwa mara kibao kuwa ni muuza madawa lakini sijaona akimshitaki mtu!

Na kwani kuna timetable ya mtu kwenda kushitaki? Yaani ukizushiwa leo basi kesho wewe unatinga mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa?
 
Kwani wale wanaofukuzwa kazi kwa vyeti bandia JE NAO WALIJJTOKEZA WENYE VYETI WENYEWE AU PALE TU WALIPOHISIWA KUTUMIA VYETI VISIVYO VYAO NA KUHOJIWA KISHA KUTUMBULIWA.....!! KINACHOTAKIWA HAPA NI HUYU BWANA KONDA BANDIA KUTUMBULIWA AKIONA ANAONEWA BASI ATATOA VYETI VYAKE OG
 
Kutapatapa na kisirani sasa hivi kimehamia kwenye magari, sijui baada ya magari ngoma itahamia wapi

Yaani akili za wabongo,, duuu ni utumbo wa kuku. Hata ishu za Tanzania kuna njaa zimepotea na njaa imetoweka...crappie
 
Maswali mengine ya msingi ni:

Kila mara mtu utapozushiwa ni lazima uwashitaki wanaokuzushia?

Hata Ridhiwani Kikwete kazushiwa mara kibao kuwa ni muuza madawa lakini sijaona akimshitaki mtu!

Na kwani kuna timetable ya mtu kwenda kushitaki? Yaani ukizushiwa leo basi kesho wewe unatinga mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa?
jumanne watu wanatinga mahakamani kumshtaki issue ya forgery na stolen identity ataenda kujibia hukohuko
 
Hapa kuna Paul Christian na Daudi Albert shida alipoongeza Makonda imemuondoa Paul Christian M. Hivyo njia rahisi ni kutumia reg number zao

DAUDI A. BASHITE.......
PAUL CHRISTIAN M. ......

KWA MFUMO huo tutaweza kuwafahamu wawili hao
 
Paul Makonda originali hayupo. Aliyepo (allegedly) ni Paul Christian.

Hata kama PM angekuwepo, unadhani anaweza kujitokeza kweli kama zinamtosha? Then asemeje...aliibiwa cheti? Alirubuniwa kukiuza au kukitoa temporarily ili Daud Albert Bashite akitumie kusomea uvuvi?
 
Hii ya kupewa gari na watuhumiwa wa madawa ya kulevya nayo siiamini, haiwezekani hii issue ya madawa almost igharimu kazi yake, afu apokee rushwa kutoka kwa wauzaji wa madawa, mmeshatuona watanzania vichwa vya kuku eeh
 
Issue siyo yeye ajitokeze.

Hoja ni hao walioweza kuweka mpaka kadi za magari ya watu wanashindwaje kumuibua huyo Paul Christian ambaye hakai kwenye briefcase?
 
Maswali mengine ya msingi ni:

Kila mara mtu utapozushiwa ni lazima uwashitaki wanaokuzushia?

Hata Ridhiwani Kikwete kazushiwa mara kibao kuwa ni muuza madawa lakini sijaona akimshitaki mtu!

Na kwani kuna timetable ya mtu kwenda kushitaki? Yaani ukizushiwa leo basi kesho wewe unatinga mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa?

Sidhani kama kuna aliyewahi kujitokeza hadharani na kusema Ridhiwani anauza madawa, zaidi huwa ni kelele za mitandaoni watu wakijificha nyuma ya vivuli. Pia, inawezekana kweli Ridhiwani anauza madawa, ndiyo maana anaamua kutochukua hatua za kisheria dhidi ya wanaomtuhumu.

Kesi ya Makonda iko tofauti; Moja, Makonda ana luxury ambayo Ridhiwani hana, nayo ni kujisafisha na kuzika tuhuma dhidi ya elimu yake bila kutumia nguvu yoyote. All he has to do, ni kuonyesha vyeti tu. Mbili, Makonda kama kiongozi wa uma, ni wajibu wake kuzi-address tuhuma zozote zinazoathiri uongozi wake. Tatu, wanaomtuhumu Makonda hawajifichi, wamejitokeza hadharani. Nne, siyo lazima kushitaki, ila ni lazima kulinda heshima, utu na jiina lako, specially kama wewe ni kiongozi wa uma. Tuhuma za Makonda, yeye na Mkulu walitakiwa kuzi-address bila hata ya kuangalia nani anazileta.
 
Unategemea Tanzania hii atajitokeza mtu aseme ndio Paul?swali lingine ni wanafunzi na walimu wa Pamba na Kolomije waliosoma na Paul wako wapi?nasikia kuna ambao wamejitolea kuthibitisha lakin ni mahakamani tu kama mashahidi na sio kwenye media
You know why mahakamani tu? Wanahitaji kidogo dogo kwanza then wakikuangusha isiwe taaaaabu.! Hawa wakina Gwajima na mdogo wake Paul wanajua wanachofanya considering kazi zao wote ni sanaa inayohitaji sana social acceptability..
 
Maswali mengine ya msingi ni:

Kila mara mtu utapozushiwa ni lazima uwashitaki wanaokuzushia?

Hata Ridhiwani Kikwete kazushiwa mara kibao kuwa ni muuza madawa lakini sijaona akimshitaki mtu!

Na kwani kuna timetable ya mtu kwenda kushitaki? Yaani ukizushiwa leo basi kesho wewe unatinga mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa?
Mfano mwingine ulio hao na utakaoeleweka zaidi ni Lowasa.

Ametajwa kama fisadi kwenye ile list of shame ya chadema na kupigiwa kelele kama fisadi kwa miaka nenda rudi, hatujaona akishitaki wala kutoka hadharani na kukanusha kama yeye sio fisadi kama alivyokuwa anatuhumiwa for all that time akiwa anatuhumiwa, na baadae ghafla akawa sio fisadi.
 
I'm getting so sick of this bullshit.

So will the real Paul Makonda please stand up...?

I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Come on Nyani Ngabu, I have heard of absurdities before but this one surely takes the prize.

We have all seen and heard from the man who claims to be Paul Makonda. Whether you agree or not, the man who claims to be God's rep in Dar definitely and categorically calls himself Paul Makonda!

The man who we are all dying to see is Daud Bashite. Apart from pictures claimed to be his as a young man, which resemble our very own Paul Makonda, we have yet to see or hear from him in person!

If I were you, the appropriate title of this thread ought to be will the real Daud Bashite please stand up? Just like you I am also sick and tired of this BS!
 
Hii ya kupewa gari na watuhumiwa wa madawa ya kulevya nayo siiamini, haiwezekani hii issue ya madawa almost igharimu kazi yake, afu apokee rushwa kutoka kwa wauzaji wa madawa, mmeshatuona watanzania vichwa vya kuku eeh

Issues zingine hata hazi-make sense.

Hivi hao wanaoitwa wauzaji wa madawa walitiwa hatiani na mahakama ipi?

Sababu hao hao waliokosoa kutajwa kwa watu bila ushahidi ndiyo vinara wa kutaja majina.
 
..All he has to do, ni kuonyesha vyeti tu. Mbili, Makonda kama kiongozi wa uma, ni wajibu wake kuzi-address tuhuma zozote zinazoathiri uongo...
Kuna mteule mmoja wa Rais alizushiwa kwamba ni form four failure na ni mtu wa hotel tu. Mheshimiwa Rais mwenyewe alijitokeza hadharani kumtetea. Kwa nini huyu haonyeshi vyake huu uzushi ukaisha?

Jinsi anavyozidi kuchelewa ndivyo watu wanavyozidi kumchokonoa na kuibuka na makubwa zaidi
 
Sidhani kama kuna aliyewahi kujitokeza hadharani na kusema Ridhiwani anauza madawa, zaidi huwa ni kelele za mitandaoni watu wakijificha nyuma ya vivuli. Pia, inawezekana kweli Ridhiwani anauza madawa, ndiyo maana anaamua kutochukua hatua za kisheria dhidi ya wanaomtuhumu.

Kesi ya Makonda iko tofauti; Moja, Makonda ana luxury ambayo Ridhiwani hana, nayo ni kujisafisha na kuzika tuhuma dhidi ya elimu yake bila kutumia nguvu yoyote. All he has to do, ni kuonyesha vyeti tu. Mbili, Makonda kama kiongozi wa uma, ni wajibu wake kuzi-address tuhuma zozote zinazoathiri uongozi wake. Tatu, wanaomtuhumu Makonda hawajifichi, wamejitokeza hadharani. Nne, siyo lazima kushitaki, ila ni lazima kulinda heshima, utu na jiina lako, specially kama wewe ni kiongozi wa uma. Tuhuma za Makonda, yeye na Mkulu walitakiwa kuzi-address bila hata ya kuangalia nani anazileta.
Nyie mnaosema amefoji cheti mbona mmeshindwa kutuonyesha hiyo copy ya cheti kilichofojiwa / chenye ziro hadi leo?

Mnategemea tuwaamini watu ambao mnajitia mnacheti halafu hamkiweki hadharani, kama sio majungu ni nini?
 
Nyani.

Hayo maswali yako majibu yake yana umuhimu sana kwa muskabali mzima wa sakata hili, natamani hata muhusika mmoja wapo angeyaona na kutupa majibu kwa sababu naamini yangetupa conclusion.

Lakini la kujiuliza zaidi ni hii double standard iliyowazi kabisa.

Unafahamu fika kwamba sasa hivi kuna sheria ya mtandao ambayo inathibiti makosa yote ya kimtandao ikiwa ni pamoja na kusambaza habari za uongo zinazolenga kumchafua mtu.

Na mpaka sasa hivi kuna watu wengi tu ambao wameshakutana na msumeno wa sheria hii, lakini cha kustahajabisha tangu hizi tuhuma za bwana Bashite zianze kusambaa hatujaskia hata muhusika yeyote aliyekamatwa kwa kusambaza uzushi huu, badala yake sio TCRA wala Makonda mwenyewe yaani wote wamekaa kimyaa tu na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ya uzushi huu.

Sasa ninacho jiuliza kama kweli hiyo sheria ya mtandao ipo, ni kwanini tuhuma hizi wazipuuze wakati na hili nalo ni kosa kama makosa mengine ya kimtandao?

Ni kwanini wasiwakamate wale wote wanaomchafua Makonda akiwemo Sugu kama kweli tuhuma hizi hazina ukweli wowote?

Are all these allegations not cyber crime? The reluctance of authority to handle this saga accordingly confirms there is a wee bit of truth in these allegations.
 
Nyie mnaosema amefoji cheti mbona mmeshindwa kutuonyesha hiyo copy ya cheti kilichofojiwa / chenye ziro hadi leo?

Mnategemea tuwaamini watu ambao mnajitia mnacheti halafu hamkiweki hadharani, kama sio majungu ni nini?

Ni kazi ya ziada kujadili na watu wa aina yako. Wapi nimesema kuna mtu kafoji cheti??
 
Kutapatapa na kisirani sasa hivi kimehamia kwenye magari, sijui baada ya magari ngoma itahamia wapi

Yaani akili za wabongo,, duuu ni utumbo wa kuku. Hata ishu za Tanzania kuna njaa zimepotea na njaa imetoweka...crappie
we ni mnyanganyi Fa fa fc club
 
Back
Top Bottom