Hahahhahaaaaa....huwez kuelewa maana kwa sasa ndo taifa lilipofkia...reasoning capacity kwa Vijana watz imerudi mpaka negative...Sasa tuko kwenye maisha ya udaku na kuulazmisha serikal iufanyie kaz...haya ndo madhara ya kutokua hoja dhabit kwenye siasa na vyama vyetu...c ccm wala ukawa issue zao n kufanyia kaz mambo ya kidaku...Sielewi ulichokiandika, kwani umetumia lugha nisiyoifahamu...ebu rudia kuandika kwa kiswahili ama hata kiingereza, kijerumani au kispanish, nitakuelewa.
Baada ya hoja ya ufisad kufalik, Sasa imebd tuanze kuish kidaku hasa kwa kuangalia personal lyf...taifa hil linaenda kuhangamia vibaya sana...
Kama nguvu kaz n daily kujadil udaku baac hakuna kingne zaid...ngoja tukasal bana
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app