No.
Not analogous at all.
A green card is not everything to me.
Kwanza itategemea ni nani anasema niisalimishe.
Kama ni vijinga vijinga vya Instagram na vipambe vyao huko nitavionyesha middle finger tu.
Ila kama ni walionipa ndiyo wananitaka niisalimishe kwa sababu yoyote ile, nitaisalimisha.
Nina akili nyingi tu za kunitosha. Natambua kuwa na hiyo kitu ni istihaki na si haki.
Sasa kama aliyenipa ananitaka nimrudishie unadhani nitakataa?
I am not desperate. Never have been about anything.
And I have a great life, btw, if you must know.
Nina uwezo wa kuishi popote pale bila hata kutegemea kazi ya kuajiriwa.
Kwa hiyo ndiyo, walionipa wakitaka niisalimishe kadi yao nitafanya hivyo. Lakini siyo wajinga wajinga wengine.
Una jingine?