Hahaa Ngabu umenichekesha
tuendelee na mjadala
Sijasema unamsingizia...na binafsi naamini hana hivyo vyeti
Nninachokiona kwako kwa kuwa unaamini Gwajima ni mzushi na tapeli
kitu ambacho binafsi naweza kabisa kukubaliana na wewe.....
unataka kwa sababu hiyo
huyu Paul Makonda apewe benefits of the doubt au aachwe kuandamwa na tuhuma
Mimi ninachokipinga ni mtu kusema hizi tuhuma hazina maana ni uzushi simply sababu Gwajima
ndie front man wa hizi tuhuma.....
Ninachopingana na wewe ni kitu kimoja tu
wewe unataka Gwajima athibitishe
Mimi nataka Makonda himself ndo ajibu hizi tuhuma
kwangu Gwajima ni irrelevant kwenye tuhuma hizi....
point yangu ya wewe na Gwajima kuwa personal iko based na thread ulizomuanzishia kumkejeli
ikiwemo moja ya leo...
Ok, sawa tuendelee.
Nianze na suala la Gwajima.
Hakuna kitu kilicho personal. Simjui na hanijui kabisa. Na kusema ukweli nimemjulia humu humu JF kipindi kile cha Dkt. Slaa kuondoka CHADEMA. Hizo kejeli ziko based na kile ninachokijua juu yake hususan maneno yake mwenyewe...sikuamini masikio yangu alivyomtukana kadinali Pengo.
Na nadhani umenisoma vibaya. Mimi si dismiss kabisa tuhuma dhidi ya Makonda.
Lakini nachosema ni kwamba, kama Makonda mwenyewe anasuasua kuzijibu hizo tuhuma kwa nini basi [1] wasimburute mahakamani ambako huko atalazimishwa kuzijibu na [2] kwa nini yeye huyo Gwajima asitusaidie kwa kutuonyesha huo ushahidi aliosema anao?
Now tell me Bossman, what is so unreasonable about that?
All I want is to get to the bottom of it, one way or the other.
Kama unakubali kumburuta mahakamani ni second or third option sina shida
mradi tukubaliane kuna option ya kwanza ambayo ni yeye Makonda kuja clean
au ya serikali kutoa tamko na msimamo wa serikali....na kutueleza ukweli ni upi..
Binafsi naona Gwajima ni very very irrelevant kwenye hii issue ....
Wapo waliosema vyuo alivyosoma ndo vijitokeze na kuonesha vyeti alivyo wasilisha
naonna hiyo ni better option...
Lakini kwa nini yeye hajibu au kulazimishwa kujibu? hilo tu huoni kuwa ni ishara ya ukweli wa tuhuma?
Au kwa nini Magufuli yuko quick kufukuza na kutolea matamko mambo mbalimbali lakini hili yuko kiimya?
Ni kweli. Yeye Makonda ndo anaweza kufunga huu mjadala. Hilo siwezi kabisa kukataa.
Kwangu ni very relevant maana kasema anao ushahidi wa kilicho kiini katika tuhuma nzima.
Kwa sababu hiyo naamini he can do us all a big favor kwa kutuonyesha huo ushahidi alonao.
Kukiwa na kesi mahakamani yeye ndo atakuwa ni mmoja wa key witnesses. Naamini hivyo ingawa mimi siyo kaka msomi.
Hilo la yeye na Magufuli wake kuwa kimya hakika linatia shaka. Hapo napo siwezi kukataa.
Tatizo lako mkuu una haraka mno. Mambo ya koromije huwa yanaenda polepole. Ukweli utajulikana tu na kuna mtu atakuja kuaibika hasa. Kila kitu kipo na nyaraka zote zipo na wahusika wote wapo.In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Kaka, hakuna Paul Makonda halisi au feki....Well, hata akili ya kawaida inahoji pia kuwa ni kweli huyo mtu yupo au hayupo?
Na hili la watuhumiwa wa madawa kumnunulia magari je umelisikia?
umelionaje? hadi card za magari zimewekwa online
na picha akitumia hayo magari pia
Wewe ni kilaza sana hakuna mtu anaitwa Paul makonda.Paskali amekujibu vizuri Ila umepotezea majibu yake.yupo Paul christian M.Yaani hayo yote hata mimi nimejiuliza pasipo na majibu.
Hivi atakuwa ni shujaa kweli? Nadhani angekuwa shujaa kama angethubutu kutoa gamba lake halisi!Unahongwa na wauza madawa ya kulevya kuja kumchafua shujaa wetu wa Dar??
Kila siku makonda makonda who are you??
Jiulize kwa nini hawajafanya hivyo, au zua uzushi mwingine.Huwa ni jukumu la jeshi la polisi kusikiliza tuhuma, fununu au tetesi za uwepo wa jinai na kufungua jalada la uchunguzi, kama hawachunguzi basi wameamua kufumbia macho tu na labda hawataki, lakini kimsingi tulipaswa kusikia kuwa Jeshi la Polisi linamchunguza mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kuhusu tuhuma za kutumia vyeti vya mtu mwingine kinyume cha sheria.
Mbona Benjamin Netanyahu kule Israel anachunguzwa tuhuma za rushwa?. Kwa nini polisi hapa Tanzania haifanyi hivyo juu ya Tuhuma za Makonda?
There you go again
Nakueleza kitu kimoja unajibu kingine
Nimekueleza tu jinsi ilivyo ngumu kwa mtu wa kawaida kupata haki zako
sijasema haiwezekani wala watu wasiende....
Suala la vyeti vya Makonda njia nyepesi na ya haraka ni serikali kutoa tamko
waseme tu wamechunguza nakukuta ni uongo mtupu
au waseme ni kweli wamtimue....
Sidhani kama inahitaji mtu wa kawaida a risk maisha yake aende mahakamani
Kuna risks nyingi mno kwa mtu wa kawaida kujaribu kumshtaki RC
The Real Paul Makonda ndiye huyo Daudi Bashite.In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Jiulize kwa nini hawajafanya hivyo, au zua uzushi mwingine.
Wanaotaka kujua nani ni nani Tanzania waende RITA
Wanaotakakuona cheti cha elimu ya mtu waende shule/chuo alikosomea.
Mpumbavu na lofa hurukia mambo bila kufikiri.
Hoja ya kwamba Paul halisi atakuwa anaogopa kujitokeza haina mashiko.
Kama wameweza kuweka mpaka kadi za magari yanayodaiwa ya Makonda wanashindwaje kumuibua mtu huyo hata picha tu?
Ninachoshangaa mimi ni kitendo cha eti 'Mange' anaweza kupata copy ya kadi ya gari na kuipost mtandaini,,,, lakini eti anacho cheti cha 0 leo wiki ya tatu hajakitoa..... na kwa tunavyomfahamu mange alivyokuwa mmbea wa dunia, awe na cheti asikitume mtandaoni hadi leo, sio yeye. Hii kitu ni kelele tu, no one with undeniable evidence.Unavoongea kama una muhim sana kwa jamii ya tanzania ati your getting sick ww kama nani? Issue ya makonda iko wazi na sasa anamambo makubwa kuliko hayo ya vyeti leo ujinga wake na uroho wake umebainishwa hadharan yaaan watu wanakwapua pesa yy anakwapua magari ya watu dah.
😀😀😀😀😀😀😀😀The real Paul Makonda is the one and only Paul Makonda, aliyesoma Moccobs, akateuliwa DC na sasa ni RC, mengine yote ni uongo mtupu!.
Ila huko nyuma kuna mtu aliitwa Daudi Albert Bashite, huyu alizaliwa Kolomije, akasoma Kolomije na kumalizia Nyanza. Akafeli la saba, lakini akafanya maarifa akasoma Pamba sekondari ya serekali, alipomaliza form IV alipata zero, na hadithi ya Daudi Bashite ikaishia hapo.
Kukatokea mtu anayeitwa Paul Christian M, ambaye alisoma Chuo cha Nyegezi, baadae Mbegani na mwisho Muccobs, kwenye hayo majina ya Paul Christian M, ndipo kwenye M, likaongezewa jina laMakonda, hivyo Paul Christian Makonda is one and only.
Paskali