Will the real Paul Makonda please stand up?

Will the real Paul Makonda please stand up?

Kwa hiyo maisha hayaendi kabisa?

Umeme hakuna?

Maji hakuna?

Mabaa yamefungwa?

Watu hawanywi bia?

Hawanywi viroba? Well...bado tunakunywa tu wakataze vipi
Akili ya kawaida tu inatosha kubaini kuwa kuna kundi la watu limeathiriwa na hicho. Na kwa muktadha wa andishi lako (thread) usingeshangazwa sasa na kuanza kuhoji maswali kama haya uliyohoji kwenye commment yako hii!
 
Hiyo ya kwamba nchi imesimama kisa suala la Makonda nayo ni exaggeration.

Ni yepi hasa yalosimama?
* Serikali haijaajiri tangu waseme wanahakiki vyeti, zaidi ya mwaka serikali haitoi ajira. Nakumbuka kuna mawakili, waliporipoti kazini wakarudishwa nyumbani kisa uhakiki unaendelea.
* Watu hawajapandishwa mishahara tangu uhakiki uanze.
* Wafanyakazi hawapandishwi madaraja tangu waseme wanahakiki vyeti.

...wewe unaita "exaggeration"? Huku Albert ana tuhuma nzito za kununua vyeti na bosi wake yupo kimya...
 
Kwa hiyo hayo yote yamesababishwa na hizo tuhuma za Albert or whatever his name is?

Yaani zilipoanza tu hizo tuhuma basi na mambo mengine yakasimama?
 
Kwenye mkutano wa mheshimiwa Rais na wafanyabiashara jijini Dar, JPM alisema kwenye kampeni yake ya urais hakuchangiwa na mfanyabiashara yeyote na akataka kama akikuwepo kwenye mkutano ule eti ajitokeze, walikuwepo wengi lakini hakuna aliyejitokeza.

Fikiria kwenye mkutano ule angesimama mfanyabiashara mbele ya kamera zile aseme yeye alimchangia Rais nini kingemtokea baada ya hapo? Na Paul Makonda original ndicho anachohofu.
 
Alafu iyo Makonda ni jina alikuja kuapa baadae kuliongeza kwenye vyeti....
 
Kwa hiyo hayo yote yamesababishwa na hizo tuhuma za Albert or whatever his name is?

Yaani zilipoanza tu hizo tuhuma basi na mambo mengine yakasimama?
Well, Inawezekana kuna mahali hatuelewani.

Nimesema kama uhakiki wa vyeti umefanya mambo mengi yazifanyike kwa mwaka mzima, kwa nini swala la mkuu wa mkoa kuwa na tuhuma za vyeti lisichukuliwe kwa umakini??

Sijasema mkuu wa mkoa amesaabisha hayo, ila kwa vile nae ameonekana na kashfa ya vyeti, bosi wake anatakiwa kufanya kama anavyowafanyia wengine wenye makosa kwenye serikali yake. Anne Kilango alitumbuliwa kwa siku tu, kisa katoa ripoti ya uongo, why not Makonda/Bashite??
 
amekuja na evidence zilo wazi kabisa na mantiki, hope soon atatoa copy za vyeti naamini na akitoa mtabisha pia!
Kopy zinagushika cha msingi aende mahakamani watakagua kila kitu hukumu itakayotolewa kila mtu ataikubali lkn sio hukumu ya mahakama ya kanisa la ufufuo jaji mkuu gwajima mtuhumiwa wa madawa ya kulevya
 
The problem is they are dealing with an electorate, Jamii ishaambiwa kuwa yule ni Daudi Albert Bashite, Sasa haijalishi ndugu yangu either iwe sahihi au isiwe sahihi tayari ni Zigo hilo la kisiasa na Linanyakua kura kutoka zile asilimia 58, bila kutoa majibu ya kueleweka atakicost chama chake na serikali yake, kwa hiyo hamna jinsi watu wakikomaa atavitoa tu hivyo vyeti la sivyo Wapinzani wataitumia hii Saga kuponda zoezi la uhakiki wa vyeti ionekane kama ni zoezi la kukamata wanyonge tu, wakubwa hawaguswi! Hapo ndipo utakapoona public opinion ikienda on their favor, na Sidhani kama CCM wako tayari waangamie kwa sababu ya mtu mmoja!

Cha pili, Source ya Utata wa elimu na jina la Makonda siyo Gwajima peke yake, Zipo source nyingine, kwa mujibu wa Gazeti la Uchunguzi la MwanaHalisi wamo majirani, Waliosoma na RC na hata kucheza naye, wote wanamjua kama Daudi Albert, Siyo Gwajima aliyewaambia bali ni watu wenyewe.

Sasa ndo hoja inakuja, RC aeleze, Jina Paul Christian Makonda kaanza kulitumia wapi na lini na aliapa wapi kubadiri jina lake lote ambalo imeripotiwa kuwa silo alilotumia katika mtihani wa kidato cha nne hapo pamba?
Mkuu udaku na kura n vitu viwil tofaut....uhakiki wa vyet unaufaham unavyofanyika...? Vyet vya makonda n origin tatzo n Jina...? Uhakiki wa vyet vilikua n vile vyet fake kama vile vilivyokuwa vinatengenezwa pale bugurun na kariakoo...tatzo vya makonda n origin bal majina hapo ndo ugum wa kesi unapotokea...

Mwanahalisi...propaganda zingne hiz... Utafit haujafanyika...kwa sababu koromije na pamba sec n jiran..., vp rafk walio soma na makonda, vp mhusika wa Jina, vp ndugu wa mhusika wa Jina... Maswal meng yanatokea Katka tafit ya Mwanahalisi...

Pia nmeshakwambia hapo juu...angalia movie ilianzia kwa Nan....ikatungwa ma majina yakawa hiv..paul Christian muyenge na picha ya huyu bwana ukawekwa kwenye mitandao...baadae Jina lingne linakuja ambalo n Paul Christian mayanja....

Yaan n total illusion juu ya hayo majina...wenye vyet hawana hata uhakika wa majina...hii n hatar... Then taifa lifanyie kaz udaku wa kwenye mitandao yaan hamna hata chembe ya uhalisia kama ukiamua ku reason....

Wasom lazma tufanye reasoning mkuu...mtumish wa mungu kajikanyaga sana na Mwanahalisi hawajafanya utafit wowote...! Hii nafkr n vta ya ki social media na inapaswa iishie huku kwenye media...

Vyet vya makonda ameshavionesha kwa mwajir wake mda mrefu na atavionesha mahakaman tena kama watu watalipeleka hil swala mahakaman.....!

Mkuu niombe kukuacha... Huu udaku n hatar kwa taifa Zima...

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Mange Kimambi anasema huyu jamaa angekuwa ametumbuliwa zamani sana lakini kwa sababu bwana mkubwa nae yuko Insta..anashindana nae (yaani bwana mkubwa anashindana na Mange)...kwa hiyo kwa mujibu wa Mange ni kuwa bwana mkubwa ameamua kuipotezea issue hiii ili asimpe Mange ushindi.....
Mkuu hebu toa ubashite wako hapa.... Rais ashindine na watu wasio kua na kichwa wala miguu....wakat mwingne musiwe mnamdhalilisha mh.kwa watu wajinga wajinga

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Kaka Mimi in mwalimu na Nina miaka zaid ya 10 kazini. Issue kama ya Makonda zipo nyingi saaana hapa TZ, na hata maticha wengi wanatumia vyeti visivyo vyao. Hapa Necta ndiyo tatizo kama wanasikia issue kama hiyo vipi wanaikalia kimya? Mbona wakisikia walimu na watu wadogo wadogo wanalifanyia fasta? Kwa nini wasimwite mshukiwa na kumhoji kama yeye alivyokuwa jasiri wa kuwaita washukiwa wa uuzaji unga na kuwahoji? Necta haina meno?
 
Mkuu hilo la kutumia majina ndo habar wafanya kaz weng...police, jesh,wizaran wamejazana sana...ucchanganye mambo...necta watamuhoj mtu huyo kama boss ameamua kuhakiki vyet vyake...kumbuka vyet vya watu wengne Rais wala havipitii...lakn wateule wake n lazma apitie vyet vyao...

Sasa kuchanganya haya mambo Katka uhalisia lazma uchanganyikiwe...mwalim mwajir wako n wizara...wakat mkuu wa mkoa mwajir wake n Rais....yaan anaemteua...

Kwa hyo tunavyopga kelele hiv mpaka sawa vyet vyake viko mikononi mwa Rais wakat ww kama mwalim vyet vyako viko wizaran.

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni bandiko la mtu mwenye mawazo huru......na aliyeelimika.......

Kila mtu mwenye akili timamu na mawazo huru lazima atawaza hivyo.....unless kichwa chako kiwe ni boksi la wanasiasa......

Inashindikana vipi huyo Makonda halisi kwenda mahakamani...kumfungulia kesi Makonda bandia.....hali ya kuwa nyuma yake kuna mawakili machachali kama Lissu na Kibatala...!!??

Hizi ndio siasa za taifa letu....wanasiasa wamekosa ajenda kuu za kuijenga badala yake taifa limekuwa kama kijiwe cha wanywa kahawa.......

TIME WILL TELL....
Unaposema inashindikana vipi makonda halisi kwenda mahakamani kumfungulia mashtaka makonda bandia huku nyuma akiwa na mawakili machachari ni sawa na Mimi ninavyojiuliza inashindikana vipi kwa makonda anayesingiziwa kufoji vyeti kujitokeza hadharani na kukiri kuwa vyeti anavyo na wala hajatumia jina la mtu .
 
Back
Top Bottom