Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
miaka ya 2000 div 3 ilikuwa dili, so huyo jamaa akaamua kutoa cheti kisha yeye akaenda kukaa tu uko aliko?
hivi watanzania mnajiona mlivyo??
Jamaa hakutoa cheti kwa ufahamu na utashi wake, Daudi Bashite alimtumia binamu wa huyo Paul Christian M. ili aweze kufanya forgery ya cheti.
Lakini mbona hili jambo ni jepesi sana, kumaliza huu utata, 'Paul Makonda' si alete vyeti vyake vya elimu tu? Mbona yeye anapewa special treatment ilhali ni mtumishi wa umma kama watumishi wa umma waliofukuzwa kazi na kunyimwa mafao yao kwa sababu ya forged education na identities?